Nifanye nini niweze kupenda? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nifanye nini niweze kupenda?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Bra-joe, Sep 25, 2012.

 1. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  Nina miaka 35, sijawahi kupenda wala kuumizwa ktk mahusiano, huwa nashangaa sana naposikia mtu anampenda sana mke/mpenzi wake wakati mimi huwa hisia hizo sizipati hata nikijifanyisha haziji. Binti hata awe mzuri vipi haingii moyoni, yani huwa natamani tu, pia huwa siwezi kum-bembeleza au kufumbia macho vikosa vidogo vidogo anavyofanya mpenzi wangu. Je, nitawezaje kuiondoa hii hali?
   
 2. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Tuko wengi kumbe,.....yaani mimi ndio zero kabisa kwenye mambo hayo.
   
 3. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Vipi nyie ni Members wa CHAPUTA?
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  mkuu tubadilishane mioyo, maana mie sichelewi kupenda halafu mara zote nimeumia!
   
 5. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ahahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 6. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,590
  Likes Received: 796
  Trophy Points: 280
  Kupenda hakutafutwi na wala hufanyi kazi ili kupenda; sasa kama haijatokea ukampenda mtu haimaanishi kuwa hutompenda mtu kamwe, ukikutanaye naye utampenda tu hata kama ukiwa na miaka 52.

  Lakini kingine, kwa maisha ya kawaida ya jamii zetu ulitakiwa uwe na familia kama ndio mpango wako. Hivyo pamoja na kutompenda mtu bado unahitaji kumvumilia na kumuelewa kama umeamua kuanzisha naye familia, muone kama dada yako maana dada huwezi kufuta udada hata kama kakuudhi vipi.
   
 7. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Unayejifanya hujawahi kupenda, dawa yako iko jikoni (limbwata). Utakuja kujikuta unapenda sana na wewe hupendwi kabisaaa.
   
 8. manshiroo

  manshiroo Senior Member

  #8
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 2, 2012
  Messages: 151
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  jamvi lina mambo hili hebu nihame jukwaa manake huku kuna wenyewe
   
 9. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #9
  Sep 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  ahahahahahaaaaaaaaaaaaaaaa_ndio nini hiki...lo!
   
 10. Elijah

  Elijah JF-Expert Member

  #10
  Sep 25, 2012
  Joined: May 28, 2012
  Messages: 1,671
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  shuntama
   
 11. mdida

  mdida JF-Expert Member

  #11
  Sep 25, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 1,608
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  loh! hujawahi kupenda? ukija kupenda utakuwa kichekesho maana utafanya hata visivyotakiwa, ndo maana hata watoto hutakiwa kucheza michozo yao wakiwa wadogo wasipocheza hujeza ukubwani. nakushauri huu ndo muda penda bwana utakuja penda ukiwa mzee afu ujutie muda wa ujana.
   
 12. Root

  Root JF-Expert Member

  #12
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 26,146
  Likes Received: 12,853
  Trophy Points: 280
  Kweli hata upendo wa kawaida hauna basi we si binadamu au huba hisia
   
 13. Toria

  Toria JF-Expert Member

  #13
  Sep 25, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 1,181
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  heeeeee ndugu mi nlijua hata ulishafanyiwa vioja ndo ukatokewa na hiyo hali but hujawah kupenda kabsaaaaaaaa?this is weird lakn sijui ndo tuseme hujakutana na the one au?

  Hebu jaribu kuwa close na binti yeyote anaekuvutia japo kidogo then ujidedicate kwake hata kiungouongo maybe after a time utajikuta mambo yanaflow automaticaly
   
 14. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #14
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  ndugu badala ya kutoa msaada unatuuliza swali. chaputa ni nini?
   
 15. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #15
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ungekuwa kweli unajua ushauri/nasaha......Wadada wakazi wako wasingekuwa wanatiwa mimba ovyo ovyo tu
   
 16. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #16
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  upendo huo ninao, tena umepitiliza, kwani natumia hata sehemu ya mali zangu kusaidia ndugu na jamii inayonizunguka. Tatizo ni kumpenda mwanamke ki-mapenzi.
   
 17. i

  issabela Senior Member

  #17
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 27, 2012
  Messages: 148
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Cjakuelewa vizuri ina maana hujawah kuwa na mahusiano au ukiw kwny mahusiano humpendi umetaman kdogo 2
   
 18. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #18
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  ndugu umenena kama unajua jinsi ninavyoishi, yani 100% ya ushauri wako ndiyo ninavyoishi. Lkn nifanye nini niweze kumuweka mama watoto moyoni?
   
 19. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #19
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Pengine ungejaribu kumwona daktari maana naona kama haupo sawa. inawezekana wewe ni abnormal.
   
 20. Bra-joe

  Bra-joe JF-Expert Member

  #20
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,559
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  ndugu hivyo nimefanya mara nyingi sana, kibaya zaidi binti anapenda mpaka kwangu inakuwa kero.
   
Loading...