Nifanye nini niweze kupenda?

uiwii ama kuna experience fulan ulishakukuta sio lzm iwe kwako inaeza kua frm ur friends,family members then ukajijengea ukuta whn it comes to girls.. otherwise bado hujampata uliempenda.

ndugu hali hii ninayo tangu nilipoanza kuwajua mabinti, kwa nini asingetokea hata mmoja nikampenda?
 
my dear pengine umeshwahi kupenda ila unayaogopa mapenzi!hebu nikuulize
familia yako ina historia gani kimahusiano?utotoni mwako ulikua katika familia ya aina gani?
wazazi wako wanapotray aina ipi ya wanandoa ?
kwako mapenzi unayatazama vipi ukitazama ulivyokuwa na jamii iliyokuwa imekuzungukuka?
 
Labda makuzi ulokulia. Umeshawahi kuona baba au mama yako akipenda/ wakipendana.

Kuna watu wana kuwa affected na makuzi kwa kushuhudia ukatili wa mama au baba zao.

Ukiwa umelelewa na single mother asojiheshimu...Mama aso na mpenzi mmoja anatumia mwili wake kutafuta pesa..anakuwa tapeli wa mapenzi; ili lina weza kukufanya wewe kama mtoto wa kiume usiwe na imani kabisa na kiumbe anayeitwa mwanamke. Na ndio maana kama unavyosema hukawii kuchukizwa nao. Inawezekana huna trust nao.

Nina mfano wa familia fulani watoto wote ni hit and run kwa kuwa mama yao alikuwa anawasomesha kwa kutumia mabwana.

Otherwise kama walivyosema wengine bado hujakutana na wa kuuteka moyo wako...

natamani ningekuwa wewe, angalau nijue mtu akipenda huwa anajiskiaje.
 
Unaweza kufafanua kwa nini unajiona unatamani na hupendi.

Umekaa na huyo mama watoto wako muda gani?

Bado unamtamani? AU unatamani kwa wengine na si yeye?

Je tamaa yako ni ya muda mfupi au mrefu...nikiwa na maana je unakinai haraka?

Kama unaweza mtamani mamam watoto toka mzae mpaka leo na huna dalili za kuacha kumtamani...na mapenzi yamo humo humo.

Issue ni kama unatamani wadada tofauti tofauti...kwani hapo huko hatarini.
naishi na mwanamke na tuna watoto 2, tatizo langu ni kutamani badala ya kupenda.
 
Nivigumu wanaume kukiri kuwa tume wai kupenda au kuumizwa.

Mwanaume ana huwezo wa kuvumilia ili mradi asiseme.

Binadamu wa kawaida aliye kamili lazima apende!
 
my dear pengine umeshwahi kupenda ila unayaogopa mapenzi!hebu nikuulize
familia yako ina historia gani kimahusiano?utotoni mwako ulikua katika familia ya aina gani?
wazazi wako wanapotray aina ipi ya wanandoa ?
kwako mapenzi unayatazama vipi ukitazama ulivyokuwa na jamii iliyokuwa imekuzungukuka?

nimelelewa na wazazi wote 2 na sikuwahi kushuhudia wakigombana mpaka nakwenda kuanza maisha yangu mwenyewe, na baadhi ya kaka/dada zangu wanandoa nzuri tu, pia mimi naishi na mwnamke na tunawatoto 2 na tunaishi kwa furah tu, tatizo kumuweka mwanamke moyoni ndiyo shida.
 
Kuna matatizo ya aina nyingi sana kwenye mahusiano now days!
 
hujapata wa kukukuna ambapo hujawahi kukunwa wewe,....ushawai kupigwa deki wewe???''''mbado......
 
ipo ya kawaida, ila ni m-binafsi sana ktk mapenzi, napenda kujiridhisha mimi bila kujali sana upande wa pili.
hili ndio tatizo!dah ngoja kesho tutaongea zaidi nikiwa na akili nzuri sa hizi si unajua mafoleni ya jiji letu hili inavochosha!
 
Unaweza kufafanua kwa nini unajiona unatamani na hupendi.

Umekaa na huyo mama watoto wako muda gani?

Bado unamtamani? AU unatamani kwa wengine na si yeye?

Je tamaa yako ni ya muda mfupi au mrefu...nikiwa na maana je unakinai haraka?

Kama unaweza mtamani mamam watoto toka mzae mpaka leo na huna dalili za kuacha kumtamani...na mapenzi yamo humo humo.

Issue ni kama unatamani wadada tofauti tofauti...kwani hapo huko hatarini.

naishi mama watoto wangu zaidi ya miaka kumi kwa sasa, na bado ninamtamani tu, huwa na bahati mbaya ya kutakwa na mabinti lkn huwa nawatamani tu , na mahusiano ya nje huwa hayadumu kwani hii hali huwa nashindwa kuificha, hata mama watoto anaijua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom