Nifanye nini niweze kupenda?

Mkuu hujawahi kupenda wakta mi ndo nimetoka kupigwa cha mbavu sio mda mda mrefu nimejibiwa "we kaka mi nilishapendwa na ntaendelea kupendwa so sihitaji kupendwa na wewe"nipo naugulia cha mbavu hapa!
 
loh! hujawahi kupenda? ukija kupenda utakuwa kichekesho maana utafanya hata visivyotakiwa, ndo maana hata watoto hutakiwa kucheza michozo yao wakiwa wadogo wasipocheza hujeza ukubwani. nakushauri huu ndo muda penda bwana utakuja penda ukiwa mzee afu ujutie muda wa ujana.

nataka sana kupenda ndiyo maana nimekuja hapa, nafanyaje ili niipate hiyo hisia ya kumuweka mtu moyoni kimapenzi?
 
loh! hujawahi kupenda? ukija kupenda utakuwa kichekesho maana utafanya hata visivyotakiwa, ndo maana hata watoto hutakiwa kucheza michozo yao wakiwa wadogo wasipocheza hujeza ukubwani. nakushauri huu ndo muda penda bwana utakuja penda ukiwa mzee afu ujutie muda wa ujana.

Mtoto wangu wa kiume, umri miaka mitano...jumamosi ya wiki iliyokwisha aliniacha hoi...alisema hivi..."Baba bidaye nitavaa nguo za kisharo baro, afu nikiwa natoka yaani natembea kisharo baro wasichana wakiniona watanipenda na kunikiss"

Sijaelewa hadi leo...
 
Unayejifanya hujawahi kupenda, dawa yako iko jikoni (limbwata). Utakuja kujikuta unapenda sana na wewe hupendwi kabisaaa.

wazo lako ni zuri, lkn nitamjuaje huyo wa kunipa limbwata? Hapa shida yangu kupata hisia ya kumuweka mtu moyoni kimapenzi, hata akinitenda poa tu.
 
Kajiangalie kwenye kioo usikute unajinsia tofauti na unavyoonekana mkuu
POLE SANA...HUENDA ULIPENDA USIPO P;ENDWA ZAMANI
 
Cjakuelewa vizuri ina maana hujawah kuwa na mahusiano au ukiw kwny mahusiano humpendi umetaman kdogo 2

nimekuwa na mahusino mengi, kwa sasa naishi na mwanamke tuna watoto 2, tatizo ni kumuweka mpenzi moyoni, mara zote huwa natamani tu.
 
Chama cha Punyeto Tanzania....Swali hilo ni moja ya mwelekeo wa ushauri ninaotaka kukupa!! Je wewe ni mwanachama wa CHAPUTA?

hapana, naishi na mwanamke na tuna watoto 2, tatizo ni kumuweka mtu moyoni ki-mapenzi, huwa natamani tu.
 
upendo huo ninao, tena umepitiliza, kwani natumia hata sehemu ya mali zangu kusaidia ndugu na jamii inayonizunguka. Tatizo ni kumpenda mwanamke ki-mapenzi.

uiwii ama kuna experience fulan ulishakukuta sio lzm iwe kwako inaeza kua frm ur friends,family members then ukajijengea ukuta whn it comes to girls.. otherwise bado hujampata uliempenda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom