Nifanye nini mimi?

Nifanye nini mimi?

CHAGUA MMOJA KATI YA HAWA WAWILI.
1. YESU KRISTO (Pacifist)
Mathayo 5:44 imeandikwa wapendeni adui zenu.
Mathayo 18: 22 Samehe 7 ×70.
Math 22: 39, 19: 19, Luk 10: 27 Imeandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako.

2. MUHAMMAD (Kiongozi wa kikundi cha Waislamu)
Al kisasi khaki, jino kwa jino
 
Bahati nzuri mungu saidia nikaenda mlimali nikapata nikauza m12 nikahama hiyo sehemu jumla. Sasa kuna rafik yangu ambaye alikuwa katibu wa mwenyekiti nikampa kama posho ya m1 after kuwa ameleta mteja. Na hadi waleo ni rafik yangu na ndio kanambia kinachoendelea huko.
Huyo alobaki na meno 20 mdomoni anaomba niende nimpe msamaha after **** anaisha na familia yake karibia inaisha coz mtoto wake wa kwanza alianguka na hyo pkpk nae akawa r.i.p. Mke wake nae after kuona hayo akatoroka kwa kuogopa kuwa jamaa kaiangia kwa waganga ndio wanamaliza familia yake. Sasa jamaa yupo kachanganyikiwa na familia kwa kupitia huyo rafiki yangu katibu wananihitaji niende kumtolea msamaha coz wameenda kila sehemu kuanzia kwa waganga, mapastor, mashehe, hawa wanantembea na misalaba na mishumaa jibu ni moja tu. ATI MTAFUTE MLIYEMDHULUMU MIAKA HIYO MUMUOMBE MSAMAHA. Swaili ni nifanyeje hapo bandugu. Pale ambapo hujaelewa uliza ntakujibu.
Ufanyeje vipi, kwani mchawi unaporoga watu, huelewi dawa ya kuneutralize au kwa lugha nyingine 'kurogoloa'?

Af mi sipendagi stori hizi za kichawi na kishirikina, maana hazina fomular wala mantiki.
 
Ufanyeje vipi, kwani mchawi unaporoga watu, huelewi dawa ya kuneutralize au kwa lugha nyingine 'kurogoloa'?

Af mi sipendagi stori hizi za kichawi na kishirikina, maana hazina fomular wala mantiki.
mda mwingne kuweni hata na akili kidogo. Yaani mawazo yako unataka kila mtu ayafuate ndugu. Toka juu hadi chini ni wapi uchawi umeongelewa au kutajwa hapo. Tatizo umetumia kamasi badala ya ubongo afu nakuomba iwe mwisho kuchangia ninachokiandika jf.
 
CHAGUA MMOJA KATI YA HAWA WAWILI.
1. YESU KRISTO (Pacifist)
Mathayo 5:44 imeandikwa wapendeni adui zenu.
Mathayo 18: 22 Samehe 7 ×70.
Math 22: 39, 19: 19, Luk 10: 27 Imeandikwa mpende jirani yako kama nafsi yako.

2. MUHAMMAD (Kiongozi wa kikundi cha Waislamu)
Al kisasi khaki, jino kwa jino
japo siamini mambo ya bibilia na quran ila naomba nikujibu hivi:
mimi naamini kuwa hata kama nimehusika hapo ni wao wameamua kuniweka hapo coz mim after kupata zangu nilihama jumla nikaendelea na maisha yangu na mpaka sasa hata hiyo story nilikuwa nimeisahau kitambo sana coz hata mtoto wangu wa mwaka 2012 saiv ana miaka 14 sasa mda huo wote leo hii mtu kafeli kivyake wadai kuwa chanzo ni hicho nimebaki njia panda na ndio maana nikauliza nifanye nini mimi?
 
JF VAR CHECK

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom