Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 28,275
- 81,910
Marahaba dogoUjambo
Marahaba dogoUjambo
Wewe tutakuja pigana hapa...Marahaba dogo
Nyokoo🤣 mtoto wa aftatu unaniletea drama za 70s unazitoa wapi wewe kinda kabisa! Hebu tulia hapo tukupe madini bwana!Wewe tutakuja pigana hapa...
Mi sio dogo kiasi cha kukuamkia wewe.
Mimi na wewe hatuna haja ya kuamkiana wee ujui mi wa 70 ngap wala sijui ww wa 90.ngapi 😂😂😂🙌🙌
Ndo nasemaje tutakuja siku kupigana hapa alafu ukashangaaa..Nyokoo🤣 mtoto wa aftatu unaniletea drama za 70s unazitoa wapi wewe kinda kabisa! Hebu tulia hapo tukupe madini bwana!
Bora tuuane tu kuliko kuamini huu ushubwada! Kama vipi eka nida hapa! Wadogo zangu pia wana ndevu hunitishi!Ndo nasemaje tutakuja siku kupigana hapa alafu ukashangaaa..
Mtoto wa aftatu ana nn ndevu kama hizi
Au unataka nianze kutuma nida yangu hapa
Umeona join yangu inasema ngapi..Bora tuuane tu kuliko kuamini huu ushubwada! Kama vipi eka nida hapa! Wadogo zangu pia wana ndevu hunitishi!
Kwendraa!! Nyie ndio mlikuwaga mnajoin mitandao wakati mpo masomoni akili ziko huku na huku! Mnatongozana fesibuku weee!🤣Umeona join yangu inasema ngapi..
Hup ndo mwaka nimemaliza veta pale changombe baada ya kutoka advance...
Unalo la.kuongea hapo. 😂😂😂🙌🙌🙌
Mda na join ulikua kidato cha ngap sema kweli
😜😜😜 Hapana..K
Kwendraa!! Nyie ndio mlikuwaga mnajoin mitandao wakati mpo masomoni akili ziko huku na huku! Mnatongozana fesibuku weee!🤣
Hukukimbia uzi?🤣😜😜😜 Hapana..
Sema nikikumbuka kipindi najiunga humu daaaah..
Niliwahi andika uzi niliweka zile "" xaxa, xie, xawa"""
Walimishambulia sana aiseee aibu
Nilifuta chap na kuomba msamaha..Hukukimbia uzi?🤣
Ukanyoosha wadogo zako😅Nilifuta chap na kuomba msamaha..
Majamaa jau sna.
Badae na mi ndo nikawa mwamba sasa ahahahahah
Kuna madam mmoja sijui nilifanya nn.mimi humu aiseee alinichamba mpaka sa akaja kunitetea aiseeee hatareee kuna matukio nikikumbuka natulia tuUkanyoosha wadogo zako😅
Pole sana mwanetu!Kuna madam mmoja sijui nilifanya nn.mimi humu aiseee alinichamba mpaka sa akaja kunitetea aiseeee hatareee kuna matukio nikikumbuka natulia tu
Leo umeamua mkuu kampeni ya jeshi la mtu mmoja! Jitahidi kuwataja tuwaepuke😁
Bila shaka ni fesibuku.Umempaste kutoka wapi?
Amedai ni historia yake kweli🤭Bila shaka ni fesibuku.
Hiyo story lazima utaikuta kwenye pages kadhaa kila mmoja akidai ni story yake ya kweli.Amedai ni historia yake kweli🤭
Hii kasheshee hii!Hiyo story lazima utaikuta kwenye pages kadhaa kila mmoja akidai ni story yake ya kweli.