ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 16,693
- 39,481
Ni wapi huko nimesahau etNipo..
Ila nipo kule nilipokua napahitaji alhamdullilah
Ni wapi huko nimesahau etNipo..
Ila nipo kule nilipokua napahitaji alhamdullilah
Nipp bunju mwenzako daaahNi wapi huko nimesahau et
yap maana wanakera sana na ni watu wenye akili zao nataka kujua wanaziacha wapi na kuingia jf empty headedLeo umeamua mkuu kampeni ya jeshi la mtu mmoja! Jitahidi kuwataja tuwaepuke
Kwa ule mshangazi 😁Nipp bunju mwenzako daaah
Ndio an hapa karudi.Kwa ule mshangazi 😁
Pole umeyavulia nguo yaogeNdio an hapa karudi.
An heka heka huyo
Ahahahhaa daaah sema leo kajua kunivunja moyo..Pole umeyavulia nguo yaoge