Suhendra
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 1,858
- 3,668
Ndoa zina hitaji watu ambao wamekomaa kiakili unless otherwise ndo kama mtoa madaYeye mwenyewe mtoto
Wakwe wanaitafuta wamchape eti

Wewe umeshakuwa kuishi na Mwanamke inahitaji akili 1.bint au Mwanamke ukianza kumkubalia kila jambo ambalo unaona halina maana sana ujuwe hapo utapandwa kichwani mpaka kifo au kuachana 2. Akikwambia nataka kwenda mahal kila mara ujuwe Kuna kitu ananufaika nacho kama vile dudu jipya so kataa ikilazimisha mwambie nenda halafu Fanya mambo Yako kuwa busy 3. Kumbuka Upendo wa muda mrefu haulazimishwiKwema wakuu, naombeni ushauri ili nipite kwa amani.
Mimi ni kijana wa miaka 25, nina familia na mtoto mmoja.
Mwaka huu mwezi wa 6 nilirudi, mzazi mwenzangu akaomba aende kwao, nikakubali. Nilipokuwa nyumbani nikaanza kutembelea marafiki. Rafiki yangu mmoja ambaye tunafanya kazi pamoja tukaamua kwenda kujipongeza. Vitu vilikwenda vizuri na hatimaye tukaenda nyumbani kwangu.
Tulipofika nyumbani tukaanza utani, hata tukampigia simu mzazi mwenzangu tukamdanganya kwamba nimekamatwa na nimepelekwa polisi. Alijibu kuwa kesho atakuja mapema. Baada ya hapo tukaanza story, tukaendelea kucheka mpaka tukalala.
Saa nane usiku nikasikia geti linagongwa. Nilipotoka nikakuta ni jirani yangu pamoja na mama mdogo na mume wake. Wakanuliza kuna shida gani kwa kuwa wamesikia nimekamatwa. Niliwaeleza ilivyokuwa na waliponiambia aliyesema hivyo ni rafiki yangu, nikacheka na kusema ilikuwa ni utani.
Siku kumi baadaye mzazi mwenzangu akarudi nyumbani, na ndipo matatizo yalianza. Alianza kununa kila mara. Nilipomuuliza alinieleza mambo mengi ambayo sikuyajua. Kitu kikubwa alichokisema ni kwamba:
"Nimeambiwa nilienda kunywa pombe kwa sababu nililazimishwa kuwa naye, kwamba simpendi ila najilazimisha."
Nilipomuuliza nani aliyemwambia hivyo, akasema ni yule jirani ambaye alikuja usiku, na jirani huyo kaambiwa na mama mdogo. Nilimwambia aachane na hayo kwa sababu ni kama kufukua makaburi.
Baada ya hapo akaanza kutaka kwenda kwa baba mdogo wake (anayekaa karibu), lakini nilikataa kwa sababu tayari aliwahi kukutana naye alipokuwa kwao. Usiku mzima akanuna, asubuhi nikatoka zangu. Ghafla akanitumia sms kuwa anataka aende kwao, hataki kukaa na mimi na nimwambie sehemu ya kuacha ufunguo. Nikamwambia akienda aache mtoto. Tukabishana, nikafunga mlango na geti nikatoka.
Baadaye mama mdogo akanipigia akisema nirudi tuongee, lakini nilichelewa kurudi. Niliporudi nikawakuta wanacheza. Mzazi mwenzangu akampigia simu baba mdogo wake akimwambia kuwa naogopa labda nitampiga. Baba mdogo akanitaka tuongee kwenye simu. Tuliongea vizuri, akanishauri nitulie. Lakini muda mfupi baadaye akampigia tena na kumwambia kuwa akikugusa tu, nitalipeleka polisi. Nilichukia sana.
Baadaye mzazi mwenzangu akaja kwangu, akalia na kuomba msamaha. Nikamsamehe ili mambo yaishe. Siku chache baadaye akaniomba tena aende kwa baba mdogo, nikampeleka mwenyewe na nikawaacha. Jioni akaniomba nimchukue, nikafanya hivyo.
Lakini siku moja nilichunguza sms zake na nikakuta ujumbe wa shangazi yake ukisema: "Tembea kidogo, kama haji nijulishe nikuitie toyo." Nikashangaa walikuwa wanazungumza nini kuhusu mimi, lakini nikapuuza.
Tangu amerudi kutoka kwao akaanza tabia za kutaka kila kitu akipate, kazi za nyumbani haziendi vizuri, chakula hakieleweki. Nikimwuliza analalamika kuwa namnyanyasa. Nilipuuza.
Kuna siku tulipanga kumwachisha mtoto kunyonya, lakini akasema ni mpaka mtoto awe na mwaka na nusu. Nilijiandaa kwa lishe ya mtoto, nikamnunulia unga na vingine. Lakini alipika uji wa ulezi akaweka mafuta ya alizeti. Nilipomuuliza akasema ni uji wa kawaida. Nikamwambia: "Huo siyo uji mzuri, umeweka mafuta ya alizeti, hamnazo kabisa." Akalia sana, akasema nimemdharau.
Siku nyingine akanitumia sms: "Naomba nauli niondoke, nimechoka haya maisha." Nikamjibu amuombe huyo anayemwendea. Akasisitiza nimpe nauli nimrudishe kwao. Aliposema nikiwa sina hela, akajibu: "Kama hutanipea nauli basi jiandae kwa yatakayoendelea humu ndani mpaka utanipa mwenyewe."
Nikamwambia nadhani na wewe umejiandaa. Akanijibu: "Ya kunywa pombe na kutunyima sehemu ya kulala." Kuna siku nililala kitandani katikati, akadai sitaki walale vizuri. Nilipuuza. Usiku nikawakuta wanacheka na mtoto, nikaingia chumbani. Kesho yake akaniambia ataondoka. Nikamwambia sina mafuta, tukaita toyo na akaondoka saa sita mchana kwenda kwa baba mdogo. Saa nane akanitumia sms: "Nitazoea tu haya maisha. Utaendelea kuharibu maisha ya wengine mpaka lini?"
Akanieleza pia anaenda kuanza maisha upya, na atambadilisha mtoto jina mpaka dini. Nikamwambia afanye hivyo kama anataka.
Kwa sasa muda wangu wa kurudi kazini umewadia. Ameondoka na ufunguo.
Naombeni mnishauri nifanye nini.
Poleni kwa gazeti hili refu, imebidi niandike yote ili mnielewe. Pia naomba msamaha kwa mwandiko wangu.
Age ya mkeo ??Kwema wakuu, naombeni ushauri ili nipite kwa amani.

Ni 24 ni kweli wanamuendesha alafu ni kwamba wanamtesa mwananguAge ya mkeo ??
Maana kama kuna namna flani uyo Uncle na Aunt yake wanataka kuendesha ndoa yako na mkeo bado anautoto mwingi
Nje ya tanzania mkuu kichwa kinanuma nawaza nikawe liveUnafanya kazi mikoani au nje ya Tanzania?
Kwenye suala la elimu nadhani hunifikii hata tone ila ndoa za utotoni zipi mkuu suala ni ushauriNilipoona Tu 25yrs nimeassume umri WA mke wako na huo mwandiko basi,...
Hivi wazazi mbona mmejisahau Sana kwenye hili suala la ndoa za utotoni?,. Eti
Mkuu ni utani tu mamen alafu hamna utoto kumbuka tumetoka kuzimua manKuna kitu hukisemi ulipokua umelewa either Kuna kitu umekisema au umekifanya na kwanini umtanie mzazi mwenzio uko polisi huo ni utoto uliopitiliza anyway nawe Kuna mahali umekosea ujitafakari mdogo wangu
Mkuu nakuelewa sana tu ila mkuu kwa aina ya kazi ninayoifanya nitakufa bila ndoa alafu bila mtoto tatizo ni aina ya kazi mkuu wanguHebu mkae mkue Kwanza maana hata balehe bado
Hata sijui kama mnakojozana
Muache akae kwao akue na wewe ukue Kwanza muda WA kuona ukifika ndo muanze mapema
Watoto wadogo acheni kukurupukia. Ndoa na mapenzi

Mkuu nakuelewa ila kwenye msimamo nakataa unajua kwanini kwasababu aina ya kazi ninayoifanya muda mwingi nakuwa na hasira alafu nashindwaga kujicontrol ahsante kwa ushauriKama mwanaume lazima uwe kiongozi wa familia punguza utoto wewe tayari ni baba maswala ya utani wa kijinga hilo ni tatazo.
Ndio maana hata huyo mwanamke hakueshimu wala kukusikiliza, nadhani pia hamjapishana umri hiyo nayo ni changamoto.
In general umeshindwa kumcontrol huyo mama mtoto sababu haupo mature enough cha msingi hakikisha huyo mtoto unamwangalia na kumpa huduma stahiki kama baba.
😂😂😂😂😂😂 Kubalababake man nimecheka kinoma sema basi tu alafu siyo kwamba namg'ang'ania sana hapana na hilo la nduguze ni kweli kabisa maana walimwambia kwa aina ya kazi yangu anaenda kuwa mjane siku si nyingiMkeo kakuzoea sana
Umeoa mwanamke mwenye akili za kitoto
Unashindwa kusimama kama mwanaume
Ndugu wa mke hawakuelewi ww
Mke wako yupo kwenye husiano jipya na yy ndo kapenda zaidi 😁Hapo anakuona ww unatoa harufu ya maharage maharage flan juzi jioni
🤣😂😂😂😂😂😂 Kubalababake man nimecheka kinoma sema basi tu alafu siyo kwamba namg'ang'ania sana hapana na hilo la nduguze ni kweli kabisa maana walimwambia kwa aina ya kazi yangu anaenda kuwa mjane siku si nyingi