Nifanye nini katika hili?

Nifanye nini katika hili?

Duuh kumbe mzeebaba huishi nae??
Mkuu ningekuwa naishi naye mimi si ningekuwa namlamba vitasa deyle
Unaoaje katika umri mdogo? Je wajua kwamba unatombewa?
Unajua mkuu hayo mambo siyaweki sana akilini ila now nimejua ukweli yapo maana hamna alichokuwa anakosa mkuu hamna alichotaka akakikosa inakuwaje mtu aseme anataka kuondoka hivihivi tu nimeamini kuna kitu alafu alipoenda kaenda kufanya kazi ambayo malipo hajui nimetulia nasubiria kuondoka tu
 
Hao dawa yao huwa ni hii
1. Usimpe talaka
2. Usimpigie simu na wala usimuulize atarudi lini
3. Usimuombe arudi nyumbani
4. Pesa ya matumizi ya mtoto unakuwa unatuma bila hata kuongea nae ila unatumia namba yako wewe mwenyewe na ushahidi wa miamala tunza.
5. Akituma sms usimjibu labda aseme mtoto anaumwa.
Umefunga mjadala
 
Nimepambana nalo gazeti mpaka nimelimaliza

Sjui wanawake wa namna hii wanatakaga nn

nakushauri usimuache,mpe likizo akatulize akili kwao baadae atakuwa sawa
Unamlaumu bure binti wa watu, imagine mume ana 25 mke wake atakuwa na umri gani. Wote watoto, story zao za kitoto sijaona la maana hata moja hapo
 
Mkuu ningekuwa naishi naye mimi si ningekuwa namlamba vitasa deyle

Unajua mkuu hayo mambo siyaweki sana akilini ila now nimejua ukweli yapo maana hamna alichokuwa anakosa mkuu hamna alichotaka akakikosa inakuwaje mtu aseme anataka kuondoka hivihivi tu nimeamini kuna kitu alafu alipoenda kaenda kufanya kazi ambayo malipo hajui nimetulia nasubiria kuondoka tu
Pole mkuu 😄
 
Unamlaumu bure binti wa watu, imagine mume ana 25 mke wake atakuwa na umri gani. Wote watoto, story zao za kitoto sijaona la maana hata moja hapo
Wewe wa maana una nini la maana ambacho wengine wanaona nichamaana kwako maana hata wewe sio wa maana mwenyewe
 
Basi hapo pia ni janga aisee, kwa umri wenu ashki ziko juu, kukaa mbalimbali ni kutafuta majanga.
Mkuu haya mambo ya umri alafu sisi tunayaendekeza sana sana mimi binafsi nafanya kazi na mcroasia ana miaka 22 ameoa na ana watoto wawili haya mimi mkubwa kwake why nionekane mdogo
 
Toka uliposema hujaona la maana wewe ushajiona wa maana
Na kuhusu chai uliza kama nimepata mlo wa asubuhi umekariri chai wewe kunywa chai 😂😂😂😂
 
Ninyi bado watoto inabidi mpaka mkue kwanza

Acha kumpapasa papasa ifumue haswa

Hicho kipochi nyau usikionee rehemu

Siju nyingine akiiwa amekasirika mburute kwichi kwich nzito ya maana


Ukimaliza mpe nauli aende

Akiomba nauli omba kipapio umwambie niage kabisa

Kama hujui penzi utaumia sana lkn hivyo ndivyo penzi linapaswa liwe

Huyu. Akipata mzee wa umri haki humpati tena

Mapenzi ni drama

Bila. Drama kwishinia
 
Ninyi bado watoto inabidi mpaka mkue kwanza

Acha kumpapasa papasa ifumue haswa

Hicho kipochi nyau usikionee rehemu

Siju nyingine akiiwa amekasirika mburute kwichi kwich nzito ya maana


Ukimaliza mpe nauli aende

Akiomba nauli omba kipapio umwambie niage kabisa

Kama hujui penzi utaumia sana lkn hivyo ndivyo penzi linapaswa liwe

Huyu. Akipata mzee wa umri haki humpati tena

Mapenzi ni drama

Bila. Drama kwishinia
Kwishaaaaah ni bardiii enyeweee mkuu nimenyaka maneno mkuu shukrani
 
Mkuu haya mambo ya umri alafu sisi tunayaendekeza sana sana mimi binafsi nafanya kazi na mcroasia ana miaka 22 ameoa na ana watoto wawili haya mimi mkubwa kwake why nionekane mdogo
Kijana mwenye miaka 20-30 huwezi mfananisha na mzee wa miaka 45 mkuu.

Huo ndo ukweli, wewe unaweza kuvumilia ipwiru na mitego, mkeo anaweza??
 
Kwema wakuu, naombeni ushauri ili nipite kwa amani.
Mimi ni kijana wa miaka 25, nina familia na mtoto mmoja.

Mwaka huu mwezi wa 6 nilirudi, mzazi mwenzangu akaomba aende kwao, nikakubali. Nilipokuwa nyumbani nikaanza kutembelea marafiki. Rafiki yangu mmoja ambaye tunafanya kazi pamoja tukaamua kwenda kujipongeza. Vitu vilikwenda vizuri na hatimaye tukaenda nyumbani kwangu.

Tulipofika nyumbani tukaanza utani, hata tukampigia simu mzazi mwenzangu tukamdanganya kwamba nimekamatwa na nimepelekwa polisi. Alijibu kuwa kesho atakuja mapema. Baada ya hapo tukaanza story, tukaendelea kucheka mpaka tukalala.

Saa nane usiku nikasikia geti linagongwa. Nilipotoka nikakuta ni jirani yangu pamoja na mama mdogo na mume wake. Wakanuliza kuna shida gani kwa kuwa wamesikia nimekamatwa. Niliwaeleza ilivyokuwa na waliponiambia aliyesema hivyo ni rafiki yangu, nikacheka na kusema ilikuwa ni utani.

Siku kumi baadaye mzazi mwenzangu akarudi nyumbani, na ndipo matatizo yalianza. Alianza kununa kila mara. Nilipomuuliza alinieleza mambo mengi ambayo sikuyajua. Kitu kikubwa alichokisema ni kwamba:
"Nimeambiwa nilienda kunywa pombe kwa sababu nililazimishwa kuwa naye, kwamba simpendi ila najilazimisha."

Nilipomuuliza nani aliyemwambia hivyo, akasema ni yule jirani ambaye alikuja usiku, na jirani huyo kaambiwa na mama mdogo. Nilimwambia aachane na hayo kwa sababu ni kama kufukua makaburi.

Baada ya hapo akaanza kutaka kwenda kwa baba mdogo wake (anayekaa karibu), lakini nilikataa kwa sababu tayari aliwahi kukutana naye alipokuwa kwao. Usiku mzima akanuna, asubuhi nikatoka zangu. Ghafla akanitumia sms kuwa anataka aende kwao, hataki kukaa na mimi na nimwambie sehemu ya kuacha ufunguo. Nikamwambia akienda aache mtoto. Tukabishana, nikafunga mlango na geti nikatoka.

Baadaye mama mdogo akanipigia akisema nirudi tuongee, lakini nilichelewa kurudi. Niliporudi nikawakuta wanacheza. Mzazi mwenzangu akampigia simu baba mdogo wake akimwambia kuwa naogopa labda nitampiga. Baba mdogo akanitaka tuongee kwenye simu. Tuliongea vizuri, akanishauri nitulie. Lakini muda mfupi baadaye akampigia tena na kumwambia kuwa akikugusa tu, nitalipeleka polisi. Nilichukia sana.

Baadaye mzazi mwenzangu akaja kwangu, akalia na kuomba msamaha. Nikamsamehe ili mambo yaishe. Siku chache baadaye akaniomba tena aende kwa baba mdogo, nikampeleka mwenyewe na nikawaacha. Jioni akaniomba nimchukue, nikafanya hivyo.

Lakini siku moja nilichunguza sms zake na nikakuta ujumbe wa shangazi yake ukisema: "Tembea kidogo, kama haji nijulishe nikuitie toyo." Nikashangaa walikuwa wanazungumza nini kuhusu mimi, lakini nikapuuza.

Tangu amerudi kutoka kwao akaanza tabia za kutaka kila kitu akipate, kazi za nyumbani haziendi vizuri, chakula hakieleweki. Nikimwuliza analalamika kuwa namnyanyasa. Nilipuuza.

Kuna siku tulipanga kumwachisha mtoto kunyonya, lakini akasema ni mpaka mtoto awe na mwaka na nusu. Nilijiandaa kwa lishe ya mtoto, nikamnunulia unga na vingine. Lakini alipika uji wa ulezi akaweka mafuta ya alizeti. Nilipomuuliza akasema ni uji wa kawaida. Nikamwambia: "Huo siyo uji mzuri, umeweka mafuta ya alizeti, hamnazo kabisa." Akalia sana, akasema nimemdharau.

Siku nyingine akanitumia sms: "Naomba nauli niondoke, nimechoka haya maisha." Nikamjibu amuombe huyo anayemwendea. Akasisitiza nimpe nauli nimrudishe kwao. Aliposema nikiwa sina hela, akajibu: "Kama hutanipea nauli basi jiandae kwa yatakayoendelea humu ndani mpaka utanipa mwenyewe."

Nikamwambia nadhani na wewe umejiandaa. Akanijibu: "Ya kunywa pombe na kutunyima sehemu ya kulala." Kuna siku nililala kitandani katikati, akadai sitaki walale vizuri. Nilipuuza. Usiku nikawakuta wanacheka na mtoto, nikaingia chumbani. Kesho yake akaniambia ataondoka. Nikamwambia sina mafuta, tukaita toyo na akaondoka saa sita mchana kwenda kwa baba mdogo. Saa nane akanitumia sms: "Nitazoea tu haya maisha. Utaendelea kuharibu maisha ya wengine mpaka lini?"

Akanieleza pia anaenda kuanza maisha upya, na atambadilisha mtoto jina mpaka dini. Nikamwambia afanye hivyo kama anataka.

Kwa sasa muda wangu wa kurudi kazini umewadia. Ameondoka na ufunguo.
Naombeni mnishauri nifanye nini.

Poleni kwa gazeti hili refu, imebidi niandike yote ili mnielewe. Pia naomba msamaha kwa mwandiko wangu.
Mna miaka mingapi. Naona ni utoto mwingi anyways mkikua mtaa cha. 😂 😂
 
Back
Top Bottom