Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,379
- 30,354
Kuna mtu kwa kiasi fulani kajaribu kujibu tatizo lako.Kwanini karo la choo linajaa haraka nifanyenini kisiwe kinajaa haraka?
Kama ambavo mada inajieleza hapo juu,
Naomba ushauri wako wa hali na mali, shimo au karo la choo changu kilijaa miaka 5 ya kukitumia nikaita wale wanao nyonya na magari wakakafanya hiyo kazi na kikawa kitupu kama mwanzo.
Cha ajabu baada ya kukitumia kwa mwaka 1 na nusu tu kimejaa tena wakati idadi ya familia yaani watu hawajaongezeka nilitegemea itachukua tena angalau miaka mingine hata 4 au 3 kuja kujaa, sasa nimetumia mwaka 1½ tu kimejaa, tatizo ni nini na nini nifanye ili angalau kisiwe kinajaa haraka hivo?
Ukinisaidia ushauri na mbinu za kufanya utakuwa umewasidia na wengine ambao wanapitia mada hii ahsanteni sana na samahani kwa usumbufu.
Karibuni sana.
Aksante sana kwa ushaur wenuKuna mtu kwa kiasi fulani kajaribu kujibu tatizo lako.
Inaelekea hapo ulipojenga kuna high water table.
Maji yanayo jaa hayatokani mia kwa mia na choo cha nyumba yako, bali na maji ya ardhini.
Kimsingi hilo ni tatizo kubwa.
Njia rahisi ni kujenga septic na soak pit.
Ambapo soakpit iwe na mabomba yenye matobo(french drains) za kupeleka maji yaliyo ozeshwa na kusafishwa na septic tank hadi mitaroni.
Huyo hata mimi nmemuona ila tatizo gharama zake kumbwa eti mil3 mkuu kwa usawa huu wa vyuma[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna uzi fulani nilishawahi kuuona humu ,lakini nilijaribu kuutafuta sikuupata tena,kuna jamaa alikuwa anajitangaza anatengeneza Bio septic,yaani anadai hiyo Bioseptic huchimbi shimo kubwa lamaji taka,bali anaweka kitu kwenye kashimo kadogo tu ,na choo chako hakitojaa milele.
Huyu hapa tatizo ana bei sanaKuna uzi fulani nilishawahi kuuona humu ,lakini nilijaribu kuutafuta sikuupata tena,kuna jamaa alikuwa anajitangaza anatengeneza Bio septic,yaani anadai hiyo Bioseptic huchimbi shimo kubwa lamaji taka,bali anaweka kitu kwenye kashimo kadogo tu ,na choo chako hakitojaa milele.
Ok mkuu asante japo vingerza vingi sisi wengine tuna aleji na kiingerza[emoji23][emoji23]ukishachimba lile zege utakalo mwaga liwe juu ya usawa wa ardhi kwa atleast 30cm, ila wengine kutokana na ufinyu wa ardhi, anataka pale juu ya zege la soak away pit aweze kupata nafasi labda ya parking, kwa hiyo anataka finishing level ya mfuniko wa soak away pit unakuwa usawa wa ardhi!
kinachotokea mvua ikinyesha kidogo, maji yakiongezeka ardhini (water table) ina overflow inakulazimu kuita nyonya mavi lije kunyonya maji ! wakati kazi ya soak away pit ni kuwezesha maji yako yanyonywe kwenda ardhini, ila kwa kuwa shimo lako linakuwa liko usawa wa ardhi linakuwwa linashindwa kupumua ! lakini ukiacha hiyo atleast 30cm haliwezi ku overflow,
jisaidie maporiniKwanini karo la choo linajaa haraka nifanyenini kisiwe kinajaa haraka?
Kama ambavo mada inajieleza hapo juu,
Naomba ushauri wako wa hali na mali, shimo au karo la choo changu kilijaa miaka 5 ya kukitumia nikaita wale wanao nyonya na magari wakakafanya hiyo kazi na kikawa kitupu kama mwanzo.
Cha ajabu baada ya kukitumia kwa mwaka 1 na nusu tu kimejaa tena wakati idadi ya familia yaani watu hawajaongezeka nilitegemea itachukua tena angalau miaka mingine hata 4 au 3 kuja kujaa, sasa nimetumia mwaka 1½ tu kimejaa, tatizo ni nini na nini nifanye ili angalau kisiwe kinajaa haraka hivo?
Ukinisaidia ushauri na mbinu za kufanya utakuwa umewasidia na wengine ambao wanapitia mada hii ahsanteni sana na samahani kwa usumbufu.
Karibuni sana.
Hii ya Bioseptic tank ni nzuri tatizo ni hilo la gharama.Huyu hapa tatizo ana bei sana
Hhahaha usinambie mademu wa JF wanapenda "kunyamba mafi" LOLHahahaha we jamaa Banaaa
Acha tuu ndo maana Mademu wwngi wakali wa JF wanakuzimia kwa Maushauri kama haya[emoji115] [emoji30] [emoji30]
Kikweli sijawahi kuulizia. Mi shimo langu la matairi halijawahi kuniangusha... Nakunya repsonsibly kabisaaaa...Mkuu zinaitwaje hizo dawa za kichina?
Mkuu sijawahi kuulizia. Ngoja ntacheki na meneja wa PK bar pale Tegeta. Ye ndo anazitumia kwa sana. Alikuwa ananyonya mzigo kila baada ya miezi mitatu, tangu aanze kuzitumia huu ni mwaka wa pili sasa hajafanya hayo mambo tena...Zinaitwaje mkuu wangu nipe jina lake nizitafute angalau mzigo ushuke kidogo vyuma ni tatizo Mkuu
[emoji1] poa poa mkuu!Kikweli sijawahi kuulizia. Mi shimo langu la matairi halijawahi kuniangusha... Nakunya repsonsibly kabisaaaa...
Ntacheki na jamaa then ntakushtua na wewe ukunye bila kuwa na mawazo...[emoji1] poa poa mkuu!
Nitashukuru [emoji3]Ntacheki na jamaa then ntakushtua na wewe ukunye bila kuwa na mawazo...