Dodoma comfort
JF-Expert Member
- Apr 20, 2024
- 462
- 818
- Thread starter
-
- #161
Yaah hiyo quotation nimekubali๐๐พ๐๐พMdogo wangu mimi nakuunga mkono sana, sema wakuu wengine wanakunanga kweli kweli๐๐.
Sema nini "At your highest moment, be careful because that is when devil come for you" Denzel washington.
Kwahiyo kumbe wewe ulileta uzi hapa ili tukufariji na sio kukuelezea hali halisi ilivyo??Tatizo wabongo mko kweny negative sana yaan hata kumfariji Mtu changamoto๐๐
Kijana anacheza na lighter kwenye petrol ๐Kama jinga
Muda wa kupigwa na kitu kizito kichwani ukifika hautoyaamini macho na masikio yako.Mapenzi matamu mkuu ,ukiwa na yule anaekupenda Kwa dhati๐๐
Hayanaga miongozo...
Wee mdanganye tu!Hayanaga miongozo...
Sasa mbona unamtukana kijana wakati mwenzako yuko inlove ๐ na mtoto mwenzake?
Shwaaa wahuni wanaruka naeAkifika tu chuo first yr huna chako
Akili kichwani
Subiri afike chuo ndio utajua mbivu na mbichiWajumvi wanasema ukimkuta demu bikra anatulia.lakn ๐๐