Nifanyaje ili earning iongezeke adsense

Nifanyaje ili earning iongezeke adsense

ichek mtanzaniatiday.blogspot.com alafu Anglia template iliyopo ya simple ila ina balaa lake
 
Adsense ni ujanja ujanja na kuweka tricks kibao template pekee sio suluhisho

Kuna tips kibao za kufanya upige hadi dola 100 kwa siku
Nitafute 0713774746
 
template sio ishu ni ujanja ujanja tu in short kama ni mwoga sana kutumia trick u will never get money za kutosha as a blogger inatakiwa kua mjanja .m natumia trick na account haifungwi ,pia nina adsense account nauza 15000 tu nichek 0765321403 au 0675968762
 
Mm naomba kujua kuweka tangazo kufunika habari mtu akikosea kdg anafungua tangazo, unawekaje tangazo kufunika habari
 
Mm naomba kujua kuweka tangazo kufunika habari mtu akikosea kdg anafungua tangazo, unawekaje tangazo kufunika habari

Unajua kutumia css, kama hujui basi mpe mtu hiyo template yako anayejua css akufanyie makeke then akurudishie ikiwa na trick
 
Adsense ni ujanja ujanja na kuweka tricks kibao template pekee sio suluhisho

Kuna tips kibao za kufanya upige hadi dola 100 kwa siku
Nitafute 0713774746
Khaliciouz mimi niliambiwa na google kuwa blogspot za kiswahili hazisapoti adsense, help me with this!
 
Back
Top Bottom