Nifanyaje ili earning iongezeke adsense

Nifanyaje ili earning iongezeke adsense

karimu mtila mohamedi,

Nimemuona NullPointer kupitia post #19 amekuka makavu kama Sospeter Muhongo fulani hivi but TRUST me, of all advices uliopata hadi sasa na ule utaoendelea kuupata, tumia ushauri wa NullPointer kama base ya vyote! Je, hivi hufahamu kwamba wanao-click hizo adsense ni watu kama mimi na wewe? I hope unafahamu hata kama watu wa IT watakuambia ya kwao! Sasa ikiwa wanao-click adsense ni watu kama mimi na wewe; ulishajiuliza ni watu wa ngapi kati ya sote ambao tumechangia mada hii hapo kabla walikuwa wanaifahamu blog yako? Mimi binafsi nilikuwa siifahamu my chance to click your adsense was 0%!

Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa hoja ya kwanza ya NullPointer ya kutangaza blog yako purposely in order to drive traffic in! Haya mambo ya coding sijui nini na nini ni supportive tools tu and not otherwise! Google IT folks are too smart than many IT folks outside the ring kwahiyo huwezi kutumia maujanja yako ya IT kirahisirahisi tu halafu ukaanza kuzivuna za Google; no way! There's no easy money with Google Adsense!

Pili; hapa ni kama ndo umeitangaza blog yako ndio maana mtu kama mimi na probably wengine tumeweza kuifahamu kwa mara ya kwanza! Another questiom; hivi umeshawahi kujiuliza why should I visit your blog tomorrow and tomorrow or even few hours from now? I hate to say this, but if I wanna be honest to you; sina sababu ya kunifanya nitembelee tena blog yako; today or even after! Nakera enh? Inawezekana lakini huo ndio ukweli wenyewe... sina hiyo sababu!

Maudhi niliyokuletea hapo juu yanaleta hoja ya pili ya NullPointer... kwamba, andaa/tengeneza/tafuta original contents! Hakuna code yoyote ambayo ina-trick surfing yako na kujikuta umeingia JF bila kupenda... unakuja mwenyewe kwa mahaba yako tena bila kukulazimisha mtu! WHY? There's something in JF... contents! Good for JF because it's User's Based Content lakini kwa issue kama yako, ni Blogger's Based Content kwahiyo ni wajibu wako kutengeneza contents; ama wewe mwenyewe au kuwalipa watu! Remember; kuna watu wanaishi kwa kazi ya Contents Writing!

Endapo baada ya mimi kuingia kwenye blog yako ningekuta some contents of my interests, kesho ningerudi tu kama ambavyo narudi kila wakati JF kwa matarajio yale yale ya kukuta CONTENTS! Ukitanganza blog yako na watu wakatembelea na kukuta contents, based na preference ya mtu na ubora wa contents zako; asilimia fulani ya wale wanaotembelea kwa mara ya kwanza unaweza kuwa-retain coz' wamekuta kitu ambacho kesho tena watakuja kuangalia kama kuna pishi lingine! Asikudanganye mtu; traffic ndio msingi wa kila kitu na anayekuambia kinyume chake anakutengenezea short-cut which, in most cases doesn't work well!

Kwa bahati mbaya sana, Bloggers wengi wa Tanzania wame-fail ktk hili!

Tatu; hivi umeshawahi kuya-study vizuri matangazo ya Adsense yanacyojitokeza? Hili bado sijalithibitisha lakini bado nalifanyia kazi! At least for now, nimegundua kwamba endapo kwenye blog X umefungua content inayozungumzia masuala ya smartphones; basi more likely Adsense pop-ups of similar subjects zitaanza kujitokeza! The same for online education or else! Ni very rare kamba umefungua contents kuhusu smart tv halafu yakaja matangazo ya mitumba! If to some extent nipo right; hivi sasa ni MENU ipi kwenye blog yako naweza kufungua kisha adsense za issue husika zikaanza ku pop-up? Hii maana yake ni kwamba, hata ukiamua kuandika contents, ktk hali ya kawaida utaandika basing on your available categories and pages which are: HOME, KITAIFA, MAGAZETI, MICHEZO, AJIRA, KIMATAIFA, ENGLISH NEWS, WASILIANA NASI!!! Inawezekana am not well informed about this particular subject but, kwa ufahamu wangu, hakuna Google Adsense for those categories! Si kwamba hazitatokea kabisa lakini hazina sababu za kutokea! REMEMBER, Adsense zinachokonolewa toka huko ziliko kwa kutumia Keywords zilizopo kwenye contents zako! Sasa sijui ni habari gani ya kitaifa utakayoandika hata ikaiweza kuyachokonoa matangazo ya adsense ya Samsung Smart TV!

Hivyo basi, ikiwa umeupokea ushauri wa NullPointer kuhusu CONTENTS basi nami ningekushauri uongeze angalau CATEGORY moja zaidi kuhusu kile ambacho unaamini kina matangazo mengi ya adsense! Kama ningekuwa mimi, ningeongeza category Electronics or something like that ambayo itakuwa inabeba contents za hiyo category! Hapa ndipo inakuja hoja ya Heri lee assuming anayosema yote kuhusu mapato yako ni kweli; kweli kabisa! Hapa anaweza kudhani ni maujanja yake ya ki-IT ndiyo yanamletea mapato kumbe blog yake ipo kwenye niche market ambayo kimsingi ni category yenye matangazo mengi online! Remember, blog ya mdau anasema ime-base kwenye masuala ya kompyuta na simu... hiyo ni niche market yenye matangazo mengi tu lakini ni ngumu sana uwe unasoma habari za magazeti halafu yatokee matangazo!

Anyway, nisije nikajaza page manake sie wengine kuandika sio issue!!!
mkuu umetoa maelezo mazuri but lengo langu lilikua ni kumpinga #nullpointer alijaribu kudanganya na kupotosha jukwaa kwamba kigezo kikubwa cha kupata dollar nyingi kwa siku ni kuwa na views wengi na huo ni uongo totally, kuwa na views wengi ni kigezo but sio major factor angalia hapa.. nimepata page views 1295 na zimeingiza 7.06$.so ni factor nyingi za kuzingatia sio kua na watembeleaji wengi.
mapesa.PNG
 
Google like to usepage views” because visitors can account for more than one page view. You could have 20 visitors that account for 80 page views, where page views refers to the total number of times visitors looked at your pages. Repeat viewers get counted each time they visit your site.

For example, When you earned an estimated $2,62 from 67 page views, then your page RPM would equal ($2,62/ 67)*1000 = $39,30

What-Does-Page-RPM-mean.jpg

What Does Page RPM Mean? Does that mean you get $39,30 or do you just get the $2,62?

When your RPM is $39,30 you do not earn $39,30 for every 1000 pageviews. You only get paid by clicks and actually you get the $2,62.

What-Does-Page-RPM-mean-1.png

The $39,30 RPM is an estimate of what Google expect you to make when you get 1,000 page views, if you continue at the current rate of $2,62 per 67 Page views or $3,93 per 100 Page views.

Assuming all goes well and your adsense account mantain an average Page RPM of $39,30 then you can reasonably expect to make $39,30 per 1,000 page views.

This may not be relevant to you, but RPM has no effect on earnings. It will change constantly, especially when you are basing it on quite low page views, and its pretty much irrelevant until you are receiving thousands page views every day.

When checking your RPM you need to look at averages over a period of time, at least 30 days because anything less will be unreliable due to daily fluctuations.

Remember, you are not getting paid for RPM, you are still getting paid for the number of clicks you got.

you want more money from your blog from adsense? THEN CONTENT IS KING AND OF COURSE TRAFFIC (TARGETED TRAFFIC) NOT JUST ANY TRAFFIC.. HOW DO YOU WRITE QUALITY CONTENT? CONTENT THAT IS UNIQUE, CONTENT THAT IS FRESS.. HONESTLY I PERSONALLY DONT WRITE MY CONTENT BUT A SOFTWARE DOES IT FOR ME.

How about a software that does the research for you and also writes impeccable content at the push of a button? AI Article Rewriter isn't an average article spinner. It's going to take premium quality content from the web and turn it 100% Copyscape Proof unique content by spinning Unicodes (language that browsers use to read content).The result is 100% unique content to the browsers and search engines without any visible changes to the human eye. The content will read like it's been hand written by a premium writer!! You can now have hundreds of pages of premium content in a matter of minutes!! Thousands of dollars and dog hours saved!

YOU JUST INSERT YOUR DESIRED KEYWORD AND JUST CLICK... HURRAY YOU HAVE YOUR ARTICLE.
I WILL HELP YOU TODAY TO HAVE A COPY BOTH FOR WINDOWS AND MAC VERSION PLUS I WILL ALSO GIVE YOU ADSENSE MAXCLICKS WORDPRESS THEME, BOTH FOR FREE.. WHAT YOU WILL NEED TO DO IS JUST CALL +255676953511.

KABLA YA KUPIGA... YOU NEED TO HAVE A BUDGET OF DOMAIN NAME REGISTRATION AND 1RY OF HOSTING YOURWORDPRESS MONEY SITE
uko sawa kabisa nilichokua namweleza ni kwamba kuwa na page views wengi sio kigezo cha ku-pata kipato kikubwa na kuna factors nyingi.kama unavyojua ukiwa na high rpm ni kigezo cha kupata high earning.. ie ukifika page views 1000, rpm=estimated earning. so kuna jamaa ana views 1200 akamwambia ni wachache sana hawezi kupata chochote.. angalia kama hizi data zangu za leo zina prove alikua anadanganya..
noti.PNG
 
karimu mtila mohamedi,

Nimemuona NullPointer kupitia post #19 amekuka makavu kama Sospeter Muhongo fulani hivi but TRUST me, of all advices uliopata hadi sasa na ule utaoendelea kuupata, tumia ushauri wa NullPointer kama base ya vyote! Je, hivi hufahamu kwamba wanao-click hizo adsense ni watu kama mimi na wewe? I hope unafahamu hata kama watu wa IT watakuambia ya kwao! Sasa ikiwa wanao-click adsense ni watu kama mimi na wewe; ulishajiuliza ni watu wa ngapi kati ya sote ambao tumechangia mada hii hapo kabla walikuwa wanaifahamu blog yako? Mimi binafsi nilikuwa siifahamu my chance to click your adsense was 0%!

Hapo ndipo unapokuja umuhimu wa hoja ya kwanza ya NullPointer ya kutangaza blog yako purposely in order to drive traffic in! Haya mambo ya coding sijui nini na nini ni supportive tools tu and not otherwise! Google IT folks are too smart than many IT folks outside the ring kwahiyo huwezi kutumia maujanja yako ya IT kirahisirahisi tu halafu ukaanza kuzivuna za Google; no way! There's no easy money with Google Adsense!

Pili; hapa ni kama ndo umeitangaza blog yako ndio maana mtu kama mimi na probably wengine tumeweza kuifahamu kwa mara ya kwanza! Another questiom; hivi umeshawahi kujiuliza why should I visit your blog tomorrow and tomorrow or even few hours from now? I hate to say this, but if I wanna be honest to you; sina sababu ya kunifanya nitembelee tena blog yako; today or even after! Nakera enh? Inawezekana lakini huo ndio ukweli wenyewe... sina hiyo sababu!

Maudhi niliyokuletea hapo juu yanaleta hoja ya pili ya NullPointer... kwamba, andaa/tengeneza/tafuta original contents! Hakuna code yoyote ambayo ina-trick surfing yako na kujikuta umeingia JF bila kupenda... unakuja mwenyewe kwa mahaba yako tena bila kukulazimisha mtu! WHY? There's something in JF... contents! Good for JF because it's User's Based Content lakini kwa issue kama yako, ni Blogger's Based Content kwahiyo ni wajibu wako kutengeneza contents; ama wewe mwenyewe au kuwalipa watu! Remember; kuna watu wanaishi kwa kazi ya Contents Writing!

Endapo baada ya mimi kuingia kwenye blog yako ningekuta some contents of my interests, kesho ningerudi tu kama ambavyo narudi kila wakati JF kwa matarajio yale yale ya kukuta CONTENTS! Ukitanganza blog yako na watu wakatembelea na kukuta contents, based na preference ya mtu na ubora wa contents zako; asilimia fulani ya wale wanaotembelea kwa mara ya kwanza unaweza kuwa-retain coz' wamekuta kitu ambacho kesho tena watakuja kuangalia kama kuna pishi lingine! Asikudanganye mtu; traffic ndio msingi wa kila kitu na anayekuambia kinyume chake anakutengenezea short-cut which, in most cases doesn't work well!

Kwa bahati mbaya sana, Bloggers wengi wa Tanzania wame-fail ktk hili!

Tatu; hivi umeshawahi kuya-study vizuri matangazo ya Adsense yanacyojitokeza? Hili bado sijalithibitisha lakini bado nalifanyia kazi! At least for now, nimegundua kwamba endapo kwenye blog X umefungua content inayozungumzia masuala ya smartphones; basi more likely Adsense pop-ups of similar subjects zitaanza kujitokeza! The same for online education or else! Ni very rare kamba umefungua contents kuhusu smart tv halafu yakaja matangazo ya mitumba! If to some extent nipo right; hivi sasa ni MENU ipi kwenye blog yako naweza kufungua kisha adsense za issue husika zikaanza ku pop-up? Hii maana yake ni kwamba, hata ukiamua kuandika contents, ktk hali ya kawaida utaandika basing on your available categories and pages which are: HOME, KITAIFA, MAGAZETI, MICHEZO, AJIRA, KIMATAIFA, ENGLISH NEWS, WASILIANA NASI!!! Inawezekana am not well informed about this particular subject but, kwa ufahamu wangu, hakuna Google Adsense for those categories! Si kwamba hazitatokea kabisa lakini hazina sababu za kutokea! REMEMBER, Adsense zinachokonolewa toka huko ziliko kwa kutumia Keywords zilizopo kwenye contents zako! Sasa sijui ni habari gani ya kitaifa utakayoandika hata ikaiweza kuyachokonoa matangazo ya adsense ya Samsung Smart TV!

Hivyo basi, ikiwa umeupokea ushauri wa NullPointer kuhusu CONTENTS basi nami ningekushauri uongeze angalau CATEGORY moja zaidi kuhusu kile ambacho unaamini kina matangazo mengi ya adsense! Kama ningekuwa mimi, ningeongeza category Electronics or something like that ambayo itakuwa inabeba contents za hiyo category! Hapa ndipo inakuja hoja ya Heri lee assuming anayosema yote kuhusu mapato yako ni kweli; kweli kabisa! Hapa anaweza kudhani ni maujanja yake ya ki-IT ndiyo yanamletea mapato kumbe blog yake ipo kwenye niche market ambayo kimsingi ni category yenye matangazo mengi online! Remember, blog ya mdau anasema ime-base kwenye masuala ya kompyuta na simu... hiyo ni niche market yenye matangazo mengi tu lakini ni ngumu sana uwe unasoma habari za magazeti halafu yatokee matangazo!

Anyway, nisije nikajaza page manake sie wengine kuandika sio issue!!!
angalia na hii.. nadhani umenipata nilichokua nabishana na jamaa.. because alimwambia mtoa post kwa page views 1200 ni wachache na hawezi kupata chochote.. mbona mimi hapa mpaka saivi leo nimepata page views 1372 na zimeingiza 7.60$ hicho ndio kilikua kiini cha mabishano..
adse.PNG
 
Kabla hujaanza blogging kwa lengo la kupata hela kutoka adsense,, Ungejaribu kuelewa jinsi admob inavyofanya kazi.. Advertiser wanapotengeneza campaign zao kwenye admob, wana specify keywords ambapo zikiwa izo keywords zipo kwenye blog yako then tangazo lake (advertiser) litaonyeshwa kwako na utapata kile kiasi alicho bid yule mteja; Jiulize? Watangazaji wangapi wa google wanaandika "udaku, michezo, habari, and so on kama keyword zao! Hii inamaanisha hautapata targeted ads hata moja utakacho ambulia ni public ads ambazo bids zao ni $0.00000001, kisha una lalamika eti; nina views nyingi na kipato ni kidogo!, You can have just 100 page views and still make $$$, INATEGEMEA PLANNING YAKO, JST FIND A NICHE AMBAYO INA HIGH MONTHLY SEARCHES WITH LOW COMPETITION,, HOW DO YOU DO THAT? ?????
ASK HOW...
 
mkuu umetoa maelezo mazuri but lengo langu lilikua ni kumpinga #nullpointer alijaribu kudanganya na kupotosha jukwaa kwamba kigezo kikubwa cha kupata dollar nyingi kwa siku ni kuwa na views wengi na huo ni uongo totally, kuwa na views wengi ni kigezo but sio major factor angalia hapa.. nimepata page views 1295 na zimeingiza 7.06$.so ni factor nyingi za kuzingatia sio kua na watembeleaji wengi.
Technically, sina shida kabisa na issue ya kuwa na visitors wachache na still waka-generate more income kuliko mwenye visitors wengi... ni possible kabisa kwa hoja yako lakini vile vile ni sahii pia kwamba, the more the visitors you have the more the chance unaongeza provided vigezo vingine vimekidhi. Kwa hiyo blog yako wewe, I still believe concentration yako kwenye niche market inakusaidia sana, to the point kama ungekuwa na visitors wengi zaidi basi probably ingekuwa ni bora maradufu. Lakini hata hivyo sawa na nilivyosema awali, kuwa na visitors wengi peke yake haitoshi na kwa blog ya mleta mada kwavile ilivyo na aina ya content zake; hata kama akiwa na visitors mara 50 ya sasa bado haiwezi kuwa na msaada mkubwa kwake unless ageukie matangazo local kama ilivyo kwa akina Le Mutuz!! So, kumalizia, nakubaliana na wewe; kwa aina ya blog yako WEWE still you can make money with adsense
 
Kabla hujaanza blogging kwa lengo la kupata hela kutoka adsense,, Ungejaribu kuelewa jinsi admob inavyofanya kazi.. Advertiser wanapotengeneza campaign zao kwenye admob, wana specify keywords ambapo zikiwa izo keywords zipo kwenye blog yako then tangazo lake (advertiser) litaonyeshwa kwako na utapata kile kiasi alicho bid yule mteja; Jiulize? Watangazaji wangapi wa google wanaandika "udaku, michezo, habari, and so on kama keyword zao! Hii inamaanisha hautapata targeted ads hata moja utakacho ambulia ni public ads ambazo bids zao ni $0.00000001, kisha una lalamika eti; nina views nyingi na kipato ni kidogo!, You can have just 100 page views and still make $$$, INATEGEMEA PLANNING YAKO, JST FIND A NICHE AMBAYO INA HIGH MONTHLY SEARCHES WITH LOW COMPETITION,, HOW DO YOU DO THAT? ?????
ASK HOW...
mkuu nakuunga mkono 100%...umenyoosha maelezo kama inavyotakiwa tena kisomi..big up..
 
Technically, sina shida kabisa na issue ya kuwa na visitors wachache na still waka-generate more income kuliko mwenye visitors wengi... ni possible kabisa kwa hoja yako lakini vile vile ni sahii pia kwamba, the more the visitors you have the more the chance unaongeza provided vigezo vingine vimekidhi. Kwa hiyo blog yako wewe, I still believe concentration yako kwenye niche market inakusaidia sana, to the point kama ungekuwa na visitors wengi zaidi basi probably ingekuwa ni bora maradufu. Lakini hata hivyo sawa na nilivyosema awali, kuwa na visitors wengi peke yake haitoshi na kwa blog ya mleta mada kwavile ilivyo na aina ya content zake; hata kama akiwa na visitors mara 50 ya sasa bado haiwezi kuwa na msaada mkubwa kwake unless ageukie matangazo local kama ilivyo kwa akina Le Mutuz!! So, kumalizia, nakubaliana na wewe; kwa aina ya blog yako WEWE still you can make money with adsense
thanks for good replies.nimepata kujua mambomengi sana through this discussion regaring mm ndo mtoa mada.but naomba unijuze tricks zingine ambazo zitasaidia earning apart from hiyo ya traffic,vitu gani niviweke au nivipunguze kwenye hiyo blog yangu mtilah.blogspot.com
 
We jamaa nenda kadanganye watu wengine sasa maana umezidi kutunga uongo. 2000 views upate $25 Google imekua kampuni ya ndugu yako?. Hehehe Its a waste of time kubishana na wewe sababu uko tayari kudanganya kuonekana u r making money when the truth is that you are not.
views wengi sio msingi wa blog cheki hapa jana na leo..
earnings.PNG
 
Kuongeza ads hazitokusaidia chochote. Visits 1200 kwa siku hata hiyo 0.5 ni either mtu ameclick ad au unatudanganya.
Njia ya pekee hapo ni wewe kutafuta traffic tu, blog yako uwepachika matangazo ya ovyo mengi sana pale juu ambayo ni unnecessary, usianze kupachika ati tangaza nasi wakati hata traffic huna. Futa juu hapo sijui dr. chen sijui nani coz umeweka huku hawakulipi chochote, baki na adsense then tafuta original content na ujitangaze kwenye social media kuvutia watu. Unahitajiufikishe impressions angalau 50K+ kwenda juu kwa siku kama unataka kuona angalau hela kidogo.
Hizo 1200 hata uweke matangazo mia huchomoki
cheki hapa...
notizz.PNG
 
hivi kwa website iyo AdSense inafaa
 
thanks for good replies.nimepata kujua mambomengi sana through this discussion regaring mm ndo mtoa mada.but naomba unijuze tricks zingine ambazo zitasaidia earning apart from hiyo ya traffic,vitu gani niviweke au nivipunguze kwenye hiyo blog yangu mtilah.blogspot.com
YAANI SASAHIVI NDIO MATANGAZO SIYAONI KABISA NIKIINGIA KWENYE BLOG YAKO, INAWEZEKANA TEMPLATE YAKO, HAIPO RAFIKI NA ADS, CHAKUFANYA BADILI TEMPLATE, ILA NAKUTAHADHALISHA KUNA VIJANA MATAPELI SANA HUMU...........TEMPLATE AMBAYO IPO FAMILIA NA ADS NI CODE NIRVANA, JAPO HAIWI INDEXED NA GOOGLE, KUNA MSHIKAJI KANIINGIZA MJINI, YAANI NAMFANYIA MAZOEZI NIMPATE VIPI....
 
dah mkuu kafanyaje tena tujuze kuna uzi nimemuona anajikweza
niliomba blog template inayoonyesha adsenses hata kama unatumia posts za kiswahili, akasema nitoe 10,000 ili anitumie, nikampa, yaani template aliyonipa, sio original ila amei backup kwenye blog yake, nikimpigia simu hapokei... WEWE Heri lee said KAMA UNAYO TEMPLATE NZURI TUONGEE BASI,
 
ok template ninayo nzuri.. je alikupa template gani.. nicheki kwa 0784234391
 
niliomba blog template inayoonyesha adsenses hata kama unatumia posts za kiswahili, akasema nitoe 10,000 ili anitumie, nikampa, yaani template aliyonipa, sio original ila amei backup kwenye blog yake, nikimpigia simu hapokei... WEWE Heri lee said KAMA UNAYO TEMPLATE NZURI TUONGEE BASI,
NICHEK NITAKUPATIA TEMPLATE KALI YA KISWAHILI UTARUDISHA FEEDBACK HAPA
 
Kwan Google wanaruhusu kutumia kiswahili? Wakigundua hawakufungii? Wengine ndio tunaanza. Msaada wenu unahitajika
 
Back
Top Bottom