Nifanyaje ili chumba changu kisiwe na NETWORK KABISA......

eeeti unasema umefanya uharifu wa mitandao kwa muda mrefu then leo unaulizia signal jammer nashindwa kuelewa kidogo ulikuwa unafanya uharifu wa aina gani na hata kama ulikuwa unafanya hizo tool ulikuwa hutengenezi wewe so hatuna budi kukuita script kiddie sababu huwezi kutengeneza tool zako mwenyewe...
.
NAHISI UNATUMIA UTI WA MGONGO KUFIKIRI
ila hujijui
kwa uti wa mgongo wako unavyokutuma... Unadhani utafanya hacking kwenye chumba kisicho na network access
call me a script kiddie,
kwa vyovyote vile utakavyo ruksa....
C++
= script kiddie
.
.
 
Last edited by a moderator:
Awwww i never thought guys mko vzr kiasi hiki nlikua sikai kbs jamvi hili kila thread najifunza kitu,Mungu awazidishie hekima.
 
mkuu unawaogopa TRA wakija kukushuru kodi nini? au una lingine jipya?
Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa...
lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
na kiwe kama chumba cha xperiments zangu.....
.
.
 
Tunnelguru voucher are now for 8000/= pdproxy now is 5000/= only call 0688148836

.
sandru sasa unavyoficha huku watajuaje sasa.........

:shetani: :shetani: :shetani:
.
.
 
Last edited by a moderator:
Utakua muharibifu, na haufati maadili ya hacker. Huu msaada haukufai, maana ukiupata tutakuchochea kufanya uharibifu wako.
 
Kipindi cha nyuma nlipokua naangalia show called Mythbusters on discovery, kuna baadhi ya experiments zilihitaji kusiwe na any network interference, ilipofika muda kama huo walikua wana2mia "FARADAY'S CAGE". Ni simple cage imetengenezwa kwa wavu kama ule wa mbu, kuna physics ya namna electromagnetic waves inakua cancelled kwene huu wavu n stuff sikuwahi kufatilia kwa undani material ya waya pia(Google it)! Ila walipokua wakiweka equipment zao ndani kunakua hamna EM Signal kabsa
 
Habari zenu wote wanaJF.
Nafarijika sana napokutana na thread kama hizi maana inaonesha ni jinsi gani watu wanapenda technologia, watanzania tukiendelea hivi hivi tutafika mbali sana.
Naomba nilijibu swali lako km ifuatavyo. watu wengi sana wanapenda mambo ya ujasusi yaan spying na wanapoteza muda wao mwingi kuingia google na ku search application za spying, naomba kusema hautafanikiwa na utapoteza muda wako tu. kama kweli unania ya kujua technologia basi achana na google, maana yanakufunga uwezo wako wa akili ya kufkiria kwa upana zaidi, usimwache mtu kufkiria kwa ajili yako ndipo utafika mbali. na mm sitakwambia hasa kitu gani ufanye lakini ntakupa mwanga. Kwanza kwenye network kikubwa cha kwanza ni Waves, yaan waves ni mawimbi yanayosafiri kutoa habari sehem moja kwenda ingine. unapoongea kwenye simu na mwenzio, yale mawimbi ndo yanayofanya mkaelewana na kuskilizana, hata kwenye redion tv na internet, zote ni waves, kwahiyo ukifanikiwa kukata mawimbi basi umefanikiwa kila kitu. tafuta material yote yanayohusu waves na usome, nini wave, inatabia gani, inasafiri vipi, mahesabu yake, usisubiri kuambiwa maana hutajua, tafuta mwenyewe, na usisome kama vile unataka kujibu mtihani, hapana soma kwa lengo la kujua. ukimaliza hapo soma sasa networking yenyewe inasafiri vipi, vyombo gani vinatumia kusafirisha hayo mawimbi, mfano simu wanawasiliana vipi, inaenda kwenye mnara upi, inpita station gani na base ipi mpaka inamfikia mlengwa unaeongea nae. ukishafahamu hizo, sasa soma security networking, ukimaliza hapo refresh your mind halafu waza kwa undani kabisa utapata jibu lako. just note that kila sentensi unayoisoma jiulize mara mbili kwanini imeandikwa vile, weka logic, utafika mbali sana. kwaharaka mfano umefanya umesingiziwa kufanya uhalifu basi toa betri na line kwenye simu yako, Zima tv, redio na laptop na u disconnect kwenye soccet ya umeme, kwasababu hivo vitu ni rahisi kukamata waves na hasa hasa redio. kinginge cha mwisho, soma programming language kama java, c na c++, zitakusaidia pia. I nadhani nimejibu swali lako kwa upana mkubwa na ,mzuri tu, kukupa kabisa software au application siwezi, na wala hamna mtu anaeweza kukupa kwasababu sijui nia yako ni ipi sitaki kuwa mmoja wa wale atakaechomwa na Mungu kwa kusaidia uhalifu wa mtu mwingine, fanya yte kwa kuongeza elimu na sio uhalifu ndugu. ASANTE
 
HMS
.
nimezielewa vizuri kabsa point zako...
.
ila sijajua unamgusia nan..
kama ni mimi sawa ila utakuwa umekosea k2 hk
.
Umenichukulia mm kama n bigginner sana ktk mambo haya kiasi cha kuitegemea Search engine ila siwez kusema chochote mana hutakiw kujua mm na fanya nn...
.
NAOMBA NIWEKE SUALA HILI VIZURI
.
sina maana nataka chumba kwaajili ya Hacking, mana huwez fanya shughuli hz ktk chumba kisichokuwa na NETWORK KABISA..
.
.
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa...
lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
na kiwe kama chumba cha xperiments zangu.....
.
.

Sasa apo unataka uchanganye hardware na software mana kwa uelewa Wang kwa kutumia circuit husika utaeza ku'eliminate signal frequencies kwa range bandwidth flan out of your area lakin kwa watu wasikufikie na ku'access data zako itabid utumie computer software flani ebu be specific mkuu
 
wata NIFIKIAJE BILA network mkuu.. Ukisha disable NETWORK SIGNAL umeua kila ki2 software za nin tena kaka..
.
 
.
wata NIFIKIAJE BILA network mkuu.. Ukisha disable NETWORK SIGNAL umeua kila ki2 software za nin tena kaka..
.

Bas #HMS yuko sawa tafuta materials ambazo zenyew zitakua zina reflect electromagnetic waves ambazo zimebeba Network signals zipo nyingi tuu mkuu
 
Nimejibu in general. hasa kwa wale beginners, ndo maana nkaanza na habari wana JF. kwako sikua na jibu sahihi, na najua kama wewe sio beginner, kiufupi beginner hawezi kuwa na mawazo ya ku disconnect network. nimekusoma sana, hlf nimekupata vizuri mzee. ping/
 
hapo Dopee kiongoz me na release Ip uki ni ping/
.
Ip release/
 
Well, kwa haraka haraka ningekuwa mimi ningejenga hivi hiyo room,

1. Ukuta wote usukwe kwa nondo(mesh) 16mm bila kuacha nafasi ina maana nodo na nondo zinaungwa na welding
na ningetumia lead blocks au plates.

2.Jenga undergroung hiyo room na ikimalizika zungushia winding ambazo baadae utazipa power utengeneze strong magnetic filed.

Hayo ni mawazo yangu tuu mkuu.
 
Hahaha apa hata israel mtoa roho hatopita nn waves
 
Back
Top Bottom