Nifanyaje ili chumba changu kisiwe na NETWORK KABISA......

Nifanyaje ili chumba changu kisiwe na NETWORK KABISA......

Doh!!! ebwanaee mi siwezi kusanuka kiiovyo coz wana ndo wameshatangulia ila kiufupi na urefu ni hivyoo jammers is ur solution mkuu,,..:happy:
au kama vipi sio mbaya kufanya underground.. it may help:evil::evil:
am out!!
autospy:cool2:
 
Sasa kama hyo jammer itakata na majiran si balaa hlo
________________
 
.
Aaaaaaaaaaaah mkuu sizani kama kuna haja sana ya kuvijua hivyo vitu...
ila cha muhimu ni NO NETWORK SERVICE
.
nime ishi kwa kufanya uharifu wa mitandao muda mrefu sana.................
.
naona spying zinakuwa kwa kasi sana

Mkuu, ni kweli ulichoandika ama? Sijajua nature ya kitu unachofanya lakini kiufupi si salama kufanya kkwa kutumia network yako au ya nyumbani, hata kama unatumia sock5 na layer ngapi za kujihami lakini IT IS NEVER SAFE, fraudsters wana msemo wao wanasema NEVER SHIT WHERE YOU EAT!! Ingekuwa kwa wenzetu hapo LE wangeshabisha hodi mlangoni kwako kitaaambo, sema Tanzania hakuna wataalam, au hata kitu unachokifanya hakina madhara kama kuhack account za watu za fb na kuspoof simu za washkaji zako, hiyo haina madhara! Next time tumia publick wifi, tena mbali na maeneo yako, hiyo usb dongle hata kama haijasajiliwa LE wanaweza kutriangulate wakanarrow down mpaka kwenye nyumba yenu, wakifanya uchunguzi wa dakika mbili tu wanagundua maeneo hayo ni wewe tu ndiyo una idea ya programming, wakichoma ghetto kwako wakakamata laptop tu wanaushahidi wa kila kitu, I wonder hata kama umeincript drives zako! A real hacker or fraudster will never surface on the clear web boasting ameishi kwa uhalifu wa mitandaoni then naomba msaada wa kujua signal jammer tu!:lock1:
 
CYBERTEQ

Kamwe siwezi tumia muda wangu ku hack fb accounts
.
FACEBOOK WANAANGALIA UNACHOKIANDIKA HATA KABLA YA KU POST TAMBUA HILO
.
ila napenda sana kutumia VPN mana siziamini sana hz ip address hidder
.
huwa napenda sana LOCATION yangu ionekane niko IRAN
.
na kuhusu hacking sisikiliz simu za washkaji wala si hack fb accounts
 
Last edited by a moderator:

Location weka North Korea, kule ndio hata simu yenye kamera hairuhusiwi.
 
Last edited by a moderator:
yaani hapa mtajisema weee watu wana note,.mwisho wanajua nyie ni nani na nini mnajua kuhusu ''network hider.'' na uwezo wenu kwa ujumla.
 
Location weka North Korea, kule ndio hata simu yenye kamera hairuhusiwi.

.
huwa hawaangalii sheria za nchi zinasemaje kwaujumla..
BALI NI UASAMA WA NCHI NA JAMAA KAMA MAREKANI (FBI)
mana wao ndo vi hele hele wakubwa.....
 
google radio frequency shieldind
Fundamentals:
Radio Frequency Shielding
Radio frequency (RF) shielding involves the
construction of enclosures for the purpose
of reducing the transmission of electric or
magnetic fields from one space to another.
With the increase in sensitive computer and
electronic equipment, the issues of
interference, unauthorized surveillance, and
protection from high voltages have become
increasingly important.
All electronic and computer systems radiate
certain frequencies of radio and magnetic
waves. These signals can be received by
special surveillance equipment,
compromising the privacy of their source. In
some cases, they can interfere with, or may
be affected by, other equipment in the
vicinity. Radio frequency shielding
enclosures are used in these situations to
reduce the levels of RF radiation that enters
or leaves the enclosed space.
One of the characteristics of copper is its
high electrical conductivity. This feature,
combined with its other physical properties,
ductility, malleability, and ease of soldering,
make it an ideal material for RF shielding.
Sheet copper can be formed into essentially
any shape and size, and electrically
connected to a grounding system to provide
an effective RF enclosure.
RF shielding enclosures are usually designed
to filter a range of frequencies under
specified conditions. Most often, they are
constructed for government or corporate
groups with particular requirements.
Properly designed and constructed copper
enclosures can provide a high degree of
effectiveness to suit practically any demand.
Home Disclaimer Link to Us
 
kama unataka kudesign kifaa chako mwenyewe, jarb kuchunguza frequency za network, then design kifaa kitakachokuwa na uwezo wa kuintroduce noise (disturbing wave) zenye frequence na amplitude kama ile uliyodetect. ila hiyo noise iwe out of phase by nyuz 180. fanya hivo kwa kila signal utakayodetect..
mmmmmh eeeti anasema amekuwa muharifu wa mitandao na avatar yake inaonyesha yuko vizuri so anachotakiwa kufanya ni kuchapa code kupata hiyo tool otherwise atakuwa script kiddies
 
Mkuu, ni kweli ulichoandika ama? Sijajua nature ya kitu unachofanya lakini kiufupi si salama kufanya kkwa kutumia network yako au ya nyumbani, hata kama unatumia sock5 na layer ngapi za kujihami lakini IT IS NEVER SAFE, fraudsters wana msemo wao wanasema NEVER SHIT WHERE YOU EAT!! Ingekuwa kwa wenzetu hapo LE wangeshabisha hodi mlangoni kwako kitaaambo, sema Tanzania hakuna wataalam, au hata kitu unachokifanya hakina madhara kama kuhack account za watu za fb na kuspoof simu za washkaji zako, hiyo haina madhara! Next time tumia publick wifi, tena mbali na maeneo yako, hiyo usb dongle hata kama haijasajiliwa LE wanaweza kutriangulate wakanarrow down mpaka kwenye nyumba yenu, wakifanya uchunguzi wa dakika mbili tu wanagundua maeneo hayo ni wewe tu ndiyo una idea ya programming, wakichoma ghetto kwako wakakamata laptop tu wanaushahidi wa kila kitu, I wonder hata kama umeincript drives zako! A real hacker or fraudster will never surface on the clear web boasting ameishi kwa uhalifu wa mitandaoni then naomba msaada wa kujua signal jammer tu!:lock1:
umeona eeeh script kiddie
 
mmmmmh eeeti anasema amekuwa muharifu wa mitandao na avatar yake inaonyesha yuko vizuri so anachotakiwa kufanya ni kuchapa code kupata hiyo tool otherwise atakuwa script kiddies

.
KWA UNACHO KILENGA NIMEKUSOMA MKUU....
kaangalie tena ni nini maana ya hyo red.....
then jiulize kama ninachotaka kukifanya hapa ni hack au sio...
.
.
 
CYBERTEQ

Kamwe siwezi tumia muda wangu ku hack fb accounts
.
FACEBOOK WANAANGALIA UNACHOKIANDIKA HATA KABLA YA KU POST TAMBUA HILO
.
ila napenda sana kutumia VPN mana siziamini sana hz ip address hidder
.
huwa napenda sana LOCATION yangu ionekane niko IRAN
.
na kuhusu hacking sisikiliz simu za washkaji wala si hack fb accounts
kumbe unataka ku hack nini sasa
 
Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa...
lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
na kiwe kama chumba cha xperiments zangu.....
.
.
Fanya hilo suala kama experiment yako ya kwanza
 
.
KWA UNACHO KILENGA NIMEKUSOMA MKUU....
kaangalie tena ni nini maana ya hyo red.....
then jiulize kama ninachotaka kukifanya hapa ni hack au sio...
.
.
eeeti unasema umefanya uharifu wa mitandao kwa muda mrefu then leo unaulizia signal jammer nashindwa kuelewa kidogo ulikuwa unafanya uharifu wa aina gani na hata kama ulikuwa unafanya hizo tool ulikuwa hutengenezi wewe so hatuna budi kukuita script kiddie sababu huwezi kutengeneza tool zako mwenyewe...
 
vitu vyako unamaanisha dusheleleee au chululuuuuuu?
 
Back
Top Bottom