Hapo sioni tatizo kabisa, kama network yako hutaki itoke nje na nje kuingia ndani huoni njia rahisi ni kudisconnect kutoka kwenye net? Njia ya pili piga mabati (au foil paper) kuzunguka chumba na chini tumia Foil paper, hakikisha chini ya mlango kumezibwa na foil. Radio freq zitakuwa zimezuiwa kuingia ha kutoka!!Kwa mwenye Uelewa na Teknolojia ninayoweza tumia hapaa...
lengo ni Baadhi ya Vitu vyangu visijulikane vipo wapi kabsaa...
na kiwe kama chumba cha xperiments zangu.....
.
.