Habari zenu wote wanaJF.
Nafarijika sana napokutana na thread kama hizi maana inaonesha ni jinsi gani watu wanapenda technologia, watanzania tukiendelea hivi hivi tutafika mbali sana.
Naomba nilijibu swali lako km ifuatavyo. watu wengi sana wanapenda mambo ya ujasusi yaan spying na wanapoteza muda wao mwingi kuingia google na ku search application za spying, naomba kusema hautafanikiwa na utapoteza muda wako tu. kama kweli unania ya kujua technologia basi achana na google, maana yanakufunga uwezo wako wa akili ya kufkiria kwa upana zaidi, usimwache mtu kufkiria kwa ajili yako ndipo utafika mbali. na mm sitakwambia hasa kitu gani ufanye lakini ntakupa mwanga. Kwanza kwenye network kikubwa cha kwanza ni Waves, yaan waves ni mawimbi yanayosafiri kutoa habari sehem moja kwenda ingine. unapoongea kwenye simu na mwenzio, yale mawimbi ndo yanayofanya mkaelewana na kuskilizana, hata kwenye redion tv na internet, zote ni waves, kwahiyo ukifanikiwa kukata mawimbi basi umefanikiwa kila kitu. tafuta material yote yanayohusu waves na usome, nini wave, inatabia gani, inasafiri vipi, mahesabu yake, usisubiri kuambiwa maana hutajua, tafuta mwenyewe, na usisome kama vile unataka kujibu mtihani, hapana soma kwa lengo la kujua. ukimaliza hapo soma sasa networking yenyewe inasafiri vipi, vyombo gani vinatumia kusafirisha hayo mawimbi, mfano simu wanawasiliana vipi, inaenda kwenye mnara upi, inpita station gani na base ipi mpaka inamfikia mlengwa unaeongea nae. ukishafahamu hizo, sasa soma security networking, ukimaliza hapo refresh your mind halafu waza kwa undani kabisa utapata jibu lako. just note that kila sentensi unayoisoma jiulize mara mbili kwanini imeandikwa vile, weka logic, utafika mbali sana. kwaharaka mfano umefanya umesingiziwa kufanya uhalifu basi toa betri na line kwenye simu yako, Zima tv, redio na laptop na u disconnect kwenye soccet ya umeme, kwasababu hivo vitu ni rahisi kukamata waves na hasa hasa redio. kinginge cha mwisho, soma programming language kama java, c na c++, zitakusaidia pia. I nadhani nimejibu swali lako kwa upana mkubwa na ,mzuri tu, kukupa kabisa software au application siwezi, na wala hamna mtu anaeweza kukupa kwasababu sijui nia yako ni ipi sitaki kuwa mmoja wa wale atakaechomwa na Mungu kwa kusaidia uhalifu wa mtu mwingine, fanya yte kwa kuongeza elimu na sio uhalifu ndugu. ASANTE