Hadithi: Nililala na maiti ili niwe maarufu

george aloyce

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
1,177
1,822
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~01

Ni miaka mitano imepitatangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua rahisi sana nilipambana na kupigana zaidi na maisha pamoja kwamba nilikua nmesomea masuala ya uuguzi lakini nilipata changamoto nyingi hasa kwenye utafutaji wangu wa ajira. Niliishi kwa marafiki huku nikipambana kwa njia nyingi sikuchagua kazi nilifanya kazi zilizo za halali kujipatia kipato hatimaye nilifanikiwa kupanga chumba changu na kuanza kujitegemea kwa biashara ya kuuza maji pamoja na kujichanganya kwenye kusukuma matoroli.

Baada ya msoto wa muda mrefunilipata kazi hospitalini sekta ya mochuary. Nilipewa nyazifa ya kuwa msimamizi mkuu wa wafanyakazi wote wa pale mochoary, ilikiwa ni furaha kwangu lakini si sana kwasababu sikupenda kufanya kazi kitengo hicho cha Mochuary lakini kutokana na ugumu wa maisha niliokuwa nao nilikuwabali, hata hivyo msimamizi mkuu wa hospitalini hapo aliniahidi kwamba nifanyanye kazi kwa muda kidogo aone mwenendo wangu kama ataridhishwa nao atanipangia kitengo kingine. Basi kutokana na kwamba nilikuwa nikiishi maeneo ya vingunguti mbali na hospitalini nilipoajiriwa nimuomba boss msaada wa pesa kidogo ili nihamie maeneo jirani na hospitali ili iwe rahisi kwangu kufanya kazi kwa ufanisi na bila changamoto.

"Nimekuelewa Devi lakini hapa hospitali kuna nyumba kwa ajili ya watumishi, unaweza ukahamia hapa ukakaa kwa muda wakati ukiendelea kujipanga zaidi na maisha" Aliambia boss. "Asante boss" Nilimjibu. Alinitolea mkataba na kunipa niliusoma kwa makini na kuusaini kwani ilikuwa ni hospitali ya mtu binafsi. Nilipewa card ya benki pamoja na viambata vingine vya kuhifadhi. "Mr. Devi utaanza kazi jumatatu hizi siku mbili tatu fanya taratibu zako za kuhamia hapa hospitali pamoja na kujiweka sawa kiakili kwa ajili ya kuanza kazi" Aliniambia boss. "Sawa boss Nashukuru pia kama hakuna lingine boss naomba niage nikatekeleze yale uliyoniambia".Niliaga na kurudi nyumbani.

Siku iliyofuata nilianza jitihada za kuhamia pale hospitalini, nilihamia kwenye chumba kikubwa, choo na maji vyote vilikuwa ndani kwa ndani. Pia kulikuwa na sebule kubwa hakika nilifurahi na kujisemea moyoni " Oooh Thanks god nimepata ajira nitayabadilisha maisha yangu kwa miaka mitano nitahakikisha hili sebule linajaa kila aina ya furniture" Niliongea peke yangu huku nikitembeza macho kwenye sebule ile.

Ilikuwa ni siku ya Jumatatu asubuhi nilianza majumu yangu ya kikazi pale hospitalini kama kawaida. Kazi nilizotakiwa kuwajibika nazo ni kupokea maiti na kuhakikisha zimeoshwa vizuri na kupuliziwa manukato mazuri kisha zinapewa namba na kuhifadhiwa kwenye majokofu maalumu ya kuhifadhia maiti. Hatimaye siku zilienda mbio kama difenda huku nikendelea na kazi yangu lakini nilihitaji kuwa mke, chakushangaza kila mwanamke niliyemtongoza na kumueleza ukweli wa kazi yangu penzi lilikufa papohapo, hata manesi wa fild waliofika hospitalini hapo waliogopa kama ukoma.

Taratibu nilianza kuichukia kazi yangu kidogo kidogo nikashawishika kwenda kwa mgangaili nipandishwe cheo kazini. Mganga aliniuliza kazi yangu sikusita nilimuambia. Akafanya manyanga yake na mwisho akaniambia. "Bwana Devi nyota yako ni sana endapo utaitumia vizuri hata hiyo kazi yako utaiacha maana utakuwa bilionea ndani ya nchi na hata nje ya mipaka ya nchi ila tu kwa kutekeleza haya nitakayokuambia sema tawire." Aliniambia mganga "Tawire mganga" Nilijibu huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua ni mambo gani mganga anataka niyatekeleze ili niwe maarufu.

"Devi ili uwe maarufu shariti la kwanza utatakiwa kufanya mapenzi na maiti baada ya hapo haitapita wiki utaona muujiza wako" aliniambia mganga. Nilimtolea macho ya mshangao na kumuuliza . "Mh mganga yani nikafanye mapanzi na maiti kabisa" Nilimuuliza. "Ndio maana yake hilo ndilo Shariti lako, utajiri ni mgumu sana usifikiri ni rahisi kama kutawaza tak* lako mshenzi wewe" Aliniambia mganga na kumalizia na tusi.

"Heee babu mbona unanitusi tena" Nimuuliza. Akabehua kama mtu aliyeshiba sana kisha akaniambia. "Sio mimi niliyokutukana ni mizimu maana unataka vitu vya bwerere unadhani utajiri ni matak* kwamba kila mtu awe nayo mpuuzi wewe" Aliongeza mganga maneno hayo. Moyoni nikasema "mh ama kweli hiki kizaa zaa lakini ni kweli utajiri haupatikani kirahsi acha nitekeleze agizo kwani nani ataniona, nitafanya siri yangu" Nilikubali, mganga akanipa vidawa dawa na maneno kadhaa kisha tukaagana.

Jioni niliwaambia wafanyakazi wenzangu ambao wana shifti za usiku kwamba "Junior na Roberty, leo mkapumzike muangalie familia zenu nitawasaidia Shift yenu ya usiku"_Niliwaambia ili niweze kutekeleza azima yangu kirahisi. Nao walifurahi sana " Hayo ndio mambo bwana Devi kazi ni kusaidiana" Aliniambia Junior. Basi usiku nilibaki mwenyewe eneo la Mochwari, mara ikafika gari aina ya Toyota Pckup, ilikuwa imebeba maiti na kwa bahati nzuri ilikuwa ni maiti ya kike ambayo ilikuwa na utambulisho wa jina la KURUTHUMU JABIR, niliipokea maiti ile na kuwakabidhi waoshaji wa kike, wakaiosha vizuri baadae wakanikabidhi niiifadhi.

Mpaka kufikia saa saba usiku hakukuwa na mtu pale hospitalini zaidi manesi wa usiku waliokuwa wanapitapita kwa mbali, basi nikazama ndani ya chumba cha mochuary na kuitoa ile maiti ya Kuruthumu kwenye Jokofu kisha nikaiweka sakafuni na kuitoa sanda ikabaki uchi kama ilivyozaliwa. "Hii ndio nzuri kwanza bado ya motomoto" nilijiambia mwenyewe kisha nikazima taa mule mochuary pakawa giza totoro, nikavua nguo zangu ili nianze kazi, ile natumbukiza mnara wangu ndani ya utam wa ile maiti ghafla nikasikia sauti "assssssssss" macho yalinitoka kwa mshangao sijakaa sawa ghafla ile maiti ikataka kunikukimbatia niliruka pembeni haraka na kuwahi kwenye swichi ya umeme, ile nawasha taaa.........

Naaaam, huu ndio mwanzo tu wa mkasa huu wa kweli ulioandikwa na mwandishi George pangalas je unasoma mkasa huu ukiwa wapi? Jibu ili nikutag sehemu ya pili.
 
Yaani nilichocheka ni pale uliposema boss akakupa card ya bank na vitu vingine uhifadhi

Mkiwa mnaleta chai muwe makini na viungo vya kuweka Sasa bank card boss anakupa Kwa maana Gani au card yake unamtunzia ww?

au ofisn kwenu account anawafungulia yeye Kwa jina lake ngoja niachane na story yenyewe nisije ona vihoja vingine vinavyokuja kwenye EP 2 ambayo mwandishi amesisitiza ni true story
 
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~01

Ni miaka mitano imepitatangu nilipokuja Dar es salaam kutafuta maisha haikua rahisi sana nilipambana na kupigana zaidi na maisha pamoja kwamba nilikua nmesomea masuala ya uuguzi lakini nilipata changamoto nyingi hasa kwenye utafutaji wangu wa ajira. Niliishi kwa marafiki huku nikipambana kwa njia nyingi sikuchagua kazi nilifanya kazi zilizo za halali kujipatia kipato hatimaye nilifanikiwa kupanga chumba changu na kuanza kujitegemea kwa biashara ya kuuza maji pamoja na kujichanganya kwenye kusukuma matoroli.

Baada ya msoto wa muda mrefunilipata kazi hospitalini sekta ya mochuary. Nilipewa nyazifa ya kuwa msimamizi mkuu wa wafanyakazi wote wa pale mochoary, ilikiwa ni furaha kwangu lakini si sana kwasababu sikupenda kufanya kazi kitengo hicho cha Mochuary lakini kutokana na ugumu wa maisha niliokuwa nao nilikuwabali, hata hivyo msimamizi mkuu wa hospitalini hapo aliniahidi kwamba nifanyanye kazi kwa muda kidogo aone mwenendo wangu kama ataridhishwa nao atanipangia kitengo kingine. Basi kutokana na kwamba nilikuwa nikiishi maeneo ya vingunguti mbali na hospitalini nilipoajiriwa nimuomba boss msaada wa pesa kidogo ili nihamie maeneo jirani na hospitali ili iwe rahisi kwangu kufanya kazi kwa ufanisi na bila changamoto. "Nimekuelewa Devi lakini hapa hospitali kuna nyumba kwa ajili ya watumishi, unaweza ukahamia hapa ukakaa kwa muda wakati ukiendelea kujipanga zaidi na maisha" Aliambia boss. "Asante boss" Nilimjibu. Alinitolea mkataba na kunipa niliusoma kwa makini na kuusaini kwani ilikuwa ni hospitali ya mtu binafsi. Nilipewa card ya benki pamoja na viambata vingine vya kuhifadhi. "Mr. Devi utaanza kazi jumatatu hizi siku mbili tatu fanya taratibu zako za kuhamia hapa hospitali pamoja na kujiweka sawa kiakili kwa ajili ya kuanza kazi" Aliniambia boss. "Sawa boss Nashukuru pia kama hakuna lingine boss naomba niage nikatekeleze yale uliyoniambia".Niliaga na kurudi nyumbani.

Siku iliyofuata nilianza jitihada za kuhamia pale hospitalini, nilihamia kwenye chumba kikubwa, choo na maji vyote vilikuwa ndani kwa ndani. Pia kulikuwa na sebule kubwa hakika nilifurahi na kujisemea moyoni " Oooh Thanks god nimepata ajira nitayabadilisha maisha yangu kwa miaka mitano nitahakikisha hili sebule linajaa kila aina ya furniture" Niliongea peke yangu huku nikitembeza macho kwenye sebule ile.

Ilikuwa ni siku ya Jumatatu asubuhi nilianza majumu yangu ya kikazi pale hospitalini kama kawaida. Kazi nilizotakiwa kuwajibika nazo ni kupokea maiti na kuhakikisha zimeoshwa vizuri na kupuliziwa manukato mazuri kisha zinapewa namba na kuhifadhiwa kwenye majokofu maalumu ya kuhifadhia maiti. Hatimaye siku zilienda mbio kama difenda huku nikendelea na kazi yangu lakini nilihitaji kuwa mke, chakushangaza kila mwanamke niliyemtongoza na kumueleza ukweli wa kazi yangu penzi lilikufa papohapo, hata manesi wa fild waliofika hospitalini hapo waliogopa kama ukoma. Taratibu nilianza kuichukia kazi yangu kidogo kidogo nikashawishika kwenda kwa mgangaili nipandishwe cheo kazini. Mganga aliniuliza kazi yangu sikusita nilimuambia. Akafanya manyanga yake na mwisho akaniambia. "Bwana Devi nyota yako ni sana endapo utaitumia vizuri hata hiyo kazi yako utaiacha maana utakuwa bilionea ndani ya nchi na hata nje ya mipaka ya nchi ila tu kwa kutekeleza haya nitakayokuambia sema tawire." Aliniambia mganga "Tawire mganga" Nilijibu huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua ni mambo gani mganga anataka niyatekeleze ili niwe maarufu.

"Devi ili uwe maarufu shariti la kwanza utatakiwa kufanya mapenzi na maiti baada ya hapo haitapita wiki utaona muujiza wako" aliniambia mganga. Nilimtolea macho ya mshangao na kumuuliza . "Mh mganga yani nikafanye mapanzi na maiti kabisa" Nilimuuliza. "Ndio maana yake hilo ndilo Shariti lako, utajiri ni mgumu sana usifikiri ni rahisi kama kutawaza tak* lako mshenzi wewe" Aliniambia mganga na kumalizia na tusi. "Heee babu mbona unanitusi tena" Nimuuliza. Akabehua kama mtu aliyeshiba sana kisha akaniambia. "Sio mimi niliyokutukana ni mizimu maana unataka vitu vya bwerere unadhani utajiri ni matak* kwamba kila mtu awe nayo mpuuzi wewe" Aliongeza mganga maneno hayo. Moyoni nikasema "mh ama kweli hiki kizaa zaa lakini ni kweli utajiri haupatikani kirahsi acha nitekeleze agizo kwani nani ataniona, nitafanya siri yangu" Nilikubali, mganga akanipa vidawa dawa na maneno kadhaa kisha tukaagana.

Jioni niliwaambia wafanyakazi wenzangu ambao wana shifti za usiku kwamba "Junior na Roberty, leo mkapumzike muangalie familia zenu nitawasaidia Shift yenu ya usiku"_Niliwaambia ili niweze kutekeleza azima yangu kirahisi. Nao walifurahi sana " Hayo ndio mambo bwana Devi kazi ni kusaidiana" Aliniambia Junior. Basi usiku nilibaki mwenyewe eneo la Mochwari, mara ikafika gari aina ya Toyota Pckup, ilikuwa imebeba maiti na kwa bahati nzuri ilikuwa ni maiti ya kike ambayo ilikuwa na utambulisho wa jina la KURUTHUMU JABIR, niliipokea maiti ile na kuwakabidhi waoshaji wa kike, wakaiosha vizuri baadae wakanikabidhi niiifadhi. Mpaka kufikia saa saba usiku hakukuwa na mtu pale hospitalini zaidi manesi wa usiku waliokuwa wanapitapita kwa mbali, basi nikazama ndani ya chumba cha mochuary na kuitoa ile maiti ya Kuruthumu kwenye Jokofu kisha nikaiweka sakafuni na kuitoa sanda ikabaki uchi kama ilivyozaliwa. "Hii ndio nzuri kwanza bado ya motomoto" nilijiambia mwenyewe kisha nikazima taa mule mochuary pakawa giza totoro, nikavua nguo zangu ili nianze kazi, ile natumbukiza mnara wangu ndani ya utam wa ile maiti ghafla nikasikia sauti "assssssssss" macho yalinitoka kwa mshangao sijakaa sawa ghafla ile maiti ikataka kunikukimbatia niliruka pembeni haraka na kuwahi kwenye swichi ya umeme, ile nawasha taaa.........

Naaaam, huu ndio mwanzo tu wa mkasa huu wa kweli ulioandikwa na mwandishi George pangalas je unasoma mkasa huu ukiwa wapi? Jibu ili nikutag sehemu ya piliView attachment 2842496
Story ya kitoto ya kipumbavu, haina mvuto na hata haipendezi. Msidhani kila mtu tu anaweza kuwa mtunzi. Hii story kasimulie vilaza wenzio siyo kuja kujaza tu server hujui kuandika, hujui kutunga na huna akili ya kutunga.
 
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~02 & 03 & 04

Majira ya saa 8 usiku nilijitosa na kuingia ndani ya chumba cha Mochwari. Nikaichukua ile maiti ili maiti ambayo ilifika juma lilelile kisha nikailaza sakafuni ili niweze kutimiza azima yangu yani sharti nililopewa na mganga. " Hii ndio nzuri kwanza bado ni ya motomoto" Nilijisema huku nikiitoa ile maiti sanda na kuiacha uchi kabisa kisha nikasogea mpaka ilipo swichi ya taa na kuzima tama. Giza likachukua nafasi yake nami bila kulaza damu nikashusha suruali yangu mpaka magotini. Taratibu nikaanza kuingiza mnara wangu ndani ya utam wa ile maiti. Gafla nikasikia ikigugumia "asssssssss" Nilishutuka sana na kutoa macho kama mjusi kafiri aliyebanwa na mlango, sijakaa sawa mara ile maiti ikataka kunikumbatia, haraka niliruka pembeni na kukimbilia ilipo swichi ya taa.

Nikaiwasha. Maiti ilikuwa imetulia tuli sakafuni kama vile hakuna chochote kilichotokea. Niliushika moyo wangu kwa mikono miwili kwa jinsi ulivyokuwa unadunda, nilihisi unataka kuondoka mahala ulipo na kukimbilia mgongoni. Nilikuwa nahema balaa mithili ya mshindi wa mbio aliyetoka kukimbia mbio za kilometa hamsini kutokana na hofu niliyokuwa nayo. "Hivi kilichonitokea ni kweli ama ni wenge tu limepata baada ya kufanya kituko hichi ambacho binadamu yoyote hawezi kufanya?"_Nilijiuliza ningali bado nimesimama pale karibu na swichi ya taa. Mwisho nilikata shauri kwamba maadamu nimeshakojoa basi niirudishe maiti kwenye jokofu. Nikafanya hivyo. " Mh ama kweli utajiri ni kazi kweli kweli usione mtu anapita na gari lake na wewe ukatamani kizembe yani mimi ndio wa kufanya mapenzi na maiti hadi kumwagia ndani kweli dah hii itakuwa siri yangu na sitasema popote maana ni aibu ya mwaka hii" Nilijisemea moyoni mwangu huku niikifunga vizuri sanda ile maiti ambayo ilitoa macho bila hata kupepesa. Kila nilipoiangalia machoni mpaka niliogopa mwenyewe. Basi nilipomaliza kkuirudisha ndani ya jokofu nilitoka nje ya chumba cha maiti (mochuari) kisha nikaenda ndani kwangu kulala kwani tayari usiku ulishakomaa.

Nilipofungua mlango wa chumba changu na kuruhusu macho yangu yatazame juu ya kitanda changu. Nilipatwa na mshtuko mkubwa sana ulionifanya nikodoe macho kwa mshangao huku kinywa changu kikiwa wazai kutokana na kile nilochokiona. Haikuwa mzaha wala maigizo ya Bulicheka, juu ya kitanda changu kulitanda vitita vya shilingi elfu kumikumi huku vikiwa vimefungwa na ruberband. Yalikuwa mi mabunda ya pesa zisisohesabika kwa haraka. "Haya ndio mambo sasa niliyokuwa nayataka japo yule mganga ana mitusi kama vile ametafuta Mavi lakini ameinisaidia. Sasa hivi Devi na mimi nitaitwa bilionea, yani watoto wa kike watanikoma nitawatafuta hao ohooo ! Mimi tena acha pakuche kwanza" Niliongea peke yangu huku nikizitandaza zile pesa kitandani na kuzilalia . Furaha niliyokuwa nayo ilipitiliza kiasi kwamba iliufukuza usingizi niliokuwa nanao Hata hivyo wahenga walisema usiku hata uwe mrefu vipi ni lazma patakucha, hatimaye palikucha. Nikaenda ofisini kwa bosi na kuomba ruhusa anipe siku mbili nina matatizo ya kifamilia. Bosi alinikubalia lakini hakujua lengo langu kwamba nilitaka nijichane na kuenjoy kwa hizo siku mbili pamoja na kuweka mambo yangu fiti.

Basi baada ya kupata ruhusa kutoka kwa bosi, nikaingia bafuni na kuoga haraka haraka kama bata bila hata kujisugua, nikatoka bafuni na kujikausha maji kwa taulo ksha nikavaa T-shirt yangu nyeupe yenye lebo NBA hapo kati nikatupia jinsi langu la blue lenye rangi ya kukolea na chini nikatinga gonga sneki zangu maarufu kama mkuki moyoni ambazo nilizikolez kiwi kama vile naenda ukweni kisha nokachuku begi langu dogo na kulishindilia mabunda kadhaa ya pesa mpaka likajaa top zingine nikaacha ndani. Mbio nikatoka pale hospitali nilipokuwa naishi nakuta bodaboda, "unaelekea wapi?" Aliniuliza dereva bodaboda. "Nipeleke bandarini chapu wanakouza magari" Nilimwambia bodaboda, haraka nilipelekwa. Huko bandarini nilichagua gari langu safi aina ya TOYOTA IST nikabakiwa na kama laki tano hivi, hapo tayari nilishakata kadi, leseni nilikuwa nayo, nilishalipa mambo mengine kama bima na makorokoro madogomadogo. Nikabakiwa na hiyo laki tano. "Raha ya pesa ni kuenjoy kila starehe ya hii dunia maisha yenyewe mafupi haya, hizi pesa zilizobaki nikatafute malaya wa kuenjoy naye usiku huu mpaka asubuhi" Nilijisemea moyoni kisha nikaondoka na gari langu pale bandarini na kwenda kununua pisi ya kwenda, ambapo niliichukua na gari langu na kwenda kutulia nayo maeneo ya Coco beach.

Japo ilikuwa ni siku ya kazi, eneo hilo la Coco beach lilikuwa limechangamka. Huku watu wengi wakionekana kufurahia kwa kila burudani iliyokuwepo maeneo hayo.

Hali ya hewa iliyokua kati na kati, ilianza kubadilika taratibu. Mawingu yakajikusanya na dalili zote za mvua zikajitokeza.
“Laura ni vyema tukaondoka muda huu, maana naona mvua kubwa inataka kuja si vibaya tukaenda kutatafuta lodge tujipumzishe.” Nilimwambia Laura malay niliyennunua baada ya kuona mabadiliko dhahiri ya hali ya hewa. Laura akakubaliana na uamuzi wangu tukanyanyuka na kuondoka.

Muda huo kiza kilishatanda, si cha weusi wa wingu, bali kiza cha kuutukuza usiku.
Usiku wenye hila,usiku wenye dhila; usiku wenye balaa, usiku wenye hadaa.
Usiku ambao laiti kama ningelifunuliwa yanayojiri mbele yangu, nisingeliitamani mizunguko na mwanamke yule siku siku ile.
Mvua kubwa ikaanza kunyesha, anga likazidi kukunja ndita. Radi zikazidi kugomba kwa fujo, hatimaye na umeme nao ukazimika na kukatawala giza nene maeneo mengi ya jiji la Dar -es- salaam.

Safari yangu ya kutoka Coco beach na kwenda kutafuta Lodge, ikaingia dosari. Gari likakwama kwenye tope kubwa ambalo lilikuwa linatitia.
Nikashuka na kujitahidi kuisukuma gari hiyo ndogo, lakini wapi ilikuwa sawa na kujaribu kunpitisha ngamia kwenye tundu la sindano.
Mvua ikanyesha hasa, ukungu ukatawala, radi nazo hazikukoma kumulika.
Nilijaribu kuomba msaada kwa magari machache yaliyopita, haikua bahati; hakuna dereva aliyeonesha uungwana wa kunisaidia
Hatimaye saa sita ikafika, tukiwa palepale tukisubiri huruma ya Muumba pengine atatokea mtu muungwana atusaidie kusukuma gari itoke kwenye matope.

Lakini ghafla tukiwa palepale eneo lilipokwama gari, kwa mbali takaanza kusikia sauti ya binti akilia kwa nguvu, tukatazamana kana kwamba kila mmoja alihitaji uthibitisho juu ya usikivu wa mwenzie kwa sauti hiyo.
Naam!
Tuliporuhusu macho yatazame kule sauti hiyo ilipokuwa inatokea, Ndipo tulipomuona binti wa miaka isiyopungua 20 akiwa kaloa chepe chepe usiku ule na mvua mbaya zaidi alishikilia tumbo lake kiashiria kwamba ana njaa sana.
Haraka Laura akashuka mbio garini na kwenda kumshika mkono na kumuuliza kulikoni" , akarejea naye mpaka garini nilipo.

Ajabu nilipomuuliza nini kimemsibu, binti yule alijibu kilugha lugha ambayo sikujua ni kikabila gani tukashindwa kabisa kuelewana, Laura akamfunika na shuka lake la kimasai kinasai kumsitiri na baridi, maana hakuvaa nguo nzito, juu alivaa kibode cha kata mikono.

Ni uungwana kusaidia, japo, kuna wakati watu wenye moyo wa kusaidia wnaponzwa na huruma zao.
Hilo sisi hatukujali! Tulichofikiri ni kwamba yawezekana binti yule ni mgeni wa Dar es salam na huenda amepotea, ni vyema tumsaidie usiku ule kusudi asije kukutana na dhahama mbaya ya kubakwa na manyang'au yenye uchu wa ngono.

Nusu saa baadae, mvua ikakoma, ila Ndipo walipofika wasamaria wema na kuegesha gari yao pembeni, kisha wakatupatia msaada gari likatoka topeni. Tukaendelea na safari tukiwa na huyo binti huyo tusiyemjua ila tukaafikiana mimi na Laura yakifika mapambazuko, tufikishe taarifa za kumuokota binti uyo kituo cha polisi maana hata lugha tulikuwa hatuelewani.

Basi tukaahirisha safari ya kwenda lodge kwasababu ilikuwa ni usiku sana, nikamuomba Laura twende nyumbani kwangu yani kule hospitali ninapofanya kazi. Tulifika nyumbani kwngu Laura akawasha jiko la gesi kumuandalia binti yule japo uji maana mahoteli yote yalishafungwa na muonekano wake ulilifasiri njaa yake.
Baada ya maandalizi, looh! Binti akagoma kabisa kufungua mdomo. Kwani alikuwa kalegea mikono kutoka na kukosa nguvu juu ya kupatwa na njaa kali. Tukakajaribu kum’bana, lakini wapi! Hakuna hata kijiko kimoja kilichopenya kwenye kinywa cha binti yule.

Ilikua ni ajabu kweli, tukahisi labla sio mpenzi wa uji.
Laura akapata wazo, akaliendea kapu na kuchukua machungwa manne, akaanza kuyamenya. Nia yake ni kumtengenezea juisi ya machungwa binti yule walau aweke kitu chochote tumboni, kisha tumuandali sehemu ya kulala pale sebuleni.

Looh! Saa ngapi Laura asijikate kwenye kidole gumba, akaachia kisu haraka na kukipeleke kidole hicho mdomoni.
Haikusaidia, alipojikata ni pakubwa. Akaruhusu damu zidondoke chini, likawa kosa!

Binti huyo akachomoka kwenye na kupiga magoti pale Laura alipodondoshea damu zake chini, akaanza kuilamba damu iliyo sakafuni.
.
Mshangao ukatukumba, tukatazamama, tusiamini tuanachokiona. Binti tabasamu likamchanua na kulamba damu mfano wa paka mwenye njaa kali anayelamba maziwa yaliyonwagika chini. kufumba macho na kufumbua, Hamadi!
Laura akarukiwa na kung’atwa shingoni binti yule. Haikua mzaha wala maigizo ya Joti binti akang’ang’ania shingo mfano wa kupe. meno yakarefuka na kuwa mfano wa zombi, yakaanza kufanya kazi ya kuitoboa shingo ya Laura. Damu zikamchafua uso,. Nilibaki natetemeka huku nikipoteza ujasiri kabisa wa kumsogelea na kumsaidia Laura. Binti yule wa ajabu aliendelea kumnyonya damu Laura shingoni hatimaye Laura akadondoka chini nakufumba macho. Nikabaini moja kwa moja atakuwa amekufa. Yule binti alipoona Laura hahemi tena wala kujiongea, akamuachia na kunigeukia mimi huku akinitizama kwa macho yaliyokuwa yaking'ara mithili ya paka awapo gizani, yalitisha sana macho yake kiasi kwamba uvumilivu ulinisaliti nilidondoka chini kwa kishindo na kupoteza fahamu. Nilipozinduka sasa ajabu.........

Meza mate kwanza usije kupaliwa! na utamu wa Story. Je ilikuwaje baada ya Devi kuzinduka. Usikoseee...
 
SITASAHAU NILIVYOPATA UMAARUFU BAADA YA KULALA NA MAITI MOCHWARI LAKINI BAADAE YALIYONITOKEA SIKUTEGEMEA~05

Sikujua nilipoteza fahamu kwa muda gani? Lkn nilipozinduka na kufungua macho yangu nilishangaa kuona mifupa imekusanywa sehemu moja. Taratibu nikaanza kurejesha kumbukumbu zangu kichwani huku nikiwa nimeikodolea macho ile mifupa. Ndipo nikakumbuka mara ya mwisho kabla sijapoteza fahamu, yule msichana tuliyemsaidia kwa uungwana alimrukia Laura shingoni na kuitoboa shingo yake kwa meno marefu kama ya zombi na kuanza kumnyonya damu Laura mpaka akadondoka chini na kufumba macho yake. Ndipo yule msichana akanigeukia na kunitizama kwa macho makali sana na ambayo yalikaa kama ya paka akiwa gizani, ndipo ustahimilifu uliponishinda nikadondoka chini na kupoteza fahamu. Nilirejesha kumbukumbu juu ya kilichotokea kwasababu Laura hakuwepo wala yule msichana tuliyemsaidia hakuwepo. "Nafikiri hii mifupa ni ya Laura, yule binti sio binadamu wa kawada, atakuwa amekula nyama za Laura na kubakiza mifupa" Niliongea mwenyewe kwa sauti ya chini huku nikikagua mifupa ile, bado ilikiwa mibichi hali ambayo ilinidhibitishia dhahiri kwamba ni mifupa ya Laura. "Dah masikini binti wawatu Lauratulikubaliana nilale naye usiku mzima nimlipe elfu 50 lakini hajaambua chochote zaidi ya kukutana na dhahama ya kifo. Lakini pia huruma yake imemponza kwani angemuacha yule binti apite na hamsini zake usiku ule haya yote yangetokea?. Ila usilolijua ni usiku wa giza, na kwanini huyu binti amle Laura na kuniacha mimi hai wakati nilikuwa nimezimia, huenda jambo nyuma ya pazia. Ni jambo gani sana?" Mtungo wa maswali ulianza kupenyeza kichwani kwangu huku ubongo wangu ukichakata juu ya tukio lililotokea.

"Mh kwa kweli nashindwa kuelewa ila inabidi usiku huu nifanyw mpango wa kuitoa hii mifupa humu ndani nikaitupe maana kama nitatembelewa na mtu asubuhi basi ninaweza kuingia hatiani kwa kujitakia mwemyewe acha nikachukue roba" Nilipata wazo la kwenda kuitupa ile mifupa usiku ule, basi nikatoka nje kwenda kuchukua roba ili niiweke kwemye roba nikaitupe ikiwa ndani ya roba. Ajabu nilipotoka nje na kurudi nilishangaa ile mifupa imegeuka na kuwa pesa, vitita vya shilingi elfu kumikumi tupu ndivyo vilivyoonekana. Nikashusha pumzi kwa nguvu na kusema. "Hili tukio lililonikuta huenda lina uhusiano na huu utajiri niliouendea kwa mganga ili kuupata maana mbona hii mifupa imebadilka na kuwa pesa?. Niliwaza sana, mwisho nikaka shauri kwamba nilale pakikucha niende kwa mganga nikaongee naye vizuri kwani huenda ikawa kuna sehemu nakosea. Hata hivyo kwani nililala basi, nilala usingizi wa mang'amung'amu kama vile nimejiegesha tu hatimaye kukapambazuka. Wafanyakazi wenzangu niliokuwa nafanya nao kazi mochwari ndio walikuwa wa kwanza kunigongea. Moyoni nikasema bora hata niliitoa ile mifupa na usiku ule, basi nikawafungulia wakaingia ndani. " Dah Mr. Devi tulikuwa tunakuchukulia poa kumbe ulikuwa na mahesabu yako ya mbali?" Alisema Jerad mfanyakazi mwenzangu huku akitabasamu. "Kwanini" Nilimuuliza huku na mimi nikijitahidi kuonyesha tabasamu hafifu. "Nimeonda ndinga hapo nje kwanza bado ni nyiu (new) yani kitu aina ya Toyota Alphad" alisema Jerad. "Ah hilo ni gari la ndugu yangu ameniachia tu nikae nalo yeye anaenda masomoni nje ya nchi" Niliamua kudanganya. Sikutaka kusema ukweli kwani wangeanza kupeleleza vyanzo vyangu vya pesa na mnavyowajua binadamu wasingeshindwa kufikiri labda ninauza viungo vya maiti wa mochwari hivyo niloamua kuficha kiaina hiyo.

"Dah Hongera bwana, hiyo ndio raha ya kuwa na ndugu wenye pesa, sasa leo si utakuwa kazini?" Aliniuliza Jerad. "Hapana niliomba ruhusa ya siku mbili kwa boss bado hazijaisha" Nilimuambia. "Sawa mkubwa maana kule mochwari saivi du hata sipaelewi" alisema Jerad. "Kwanini?"_Nilimuuliza. " Jana wakati nafunga milango ya mochwari saa sita usiku nikasikia maiti ikikohoa kwa ndani, nilitega sikio tena kwa makini lakini sikusikia tena nikahisi ni wenge tu, unajua bwana hizi kazi zetu zina maajabu sana ?" alisema Jerad. "Aah itakuwa ni wenge lako tuu? Lakini kitu kama hicho hakiwezi kuwepo" Nilimwambia. Basi asubuhi ile tukaagana Jerad akaenda kazini na mimi nikaelekwa kwa mganga wangu nikiwa na gari langu. Basi nilifika nyumbani kwa mganga Masalakulangwa. Nikaingia kilingeni kwake na kuketi kwenye mkeka. "Naaaam naona sasa umeanza kufanikiwa ila unataka kukoroga mambo paka shume wewe aaaaa heiyaaaaaa" alianza kuongea mganga na kunitusi juu kama ilivyokawaida yake. "Nayakoroga mambo kivipi mganga ninataka kujua" Nilimuuliza huku nikiwa na shauku ya kutaka kujua wapi nakoroga. "Hutakiwi kutembea na mwanamke yoyote kimapenzi isipokuwa maiti tu, wewe ulijaribu kwenda kununua mwanamke ili ulale naye mizimu yangu ikakasirika ikamla yule mwanamke" Alisema mganga. "Heee kumbe! Sasa faida ya utajiri wangu ni nini mganga ikiwa sitaruhusiwa kutembea na wanawake na nilifikiri nikilala na maiti mara moja ndio basi. " Hebu nyamaza kunguni mjane wewe eti nyilifikiri nyikilala na nyaiti mara monya nyio basi shumburwe muwaka hovyo wewe, ingekuwa utajiri ni hivyo kila mtu angelala mara moja tu na maiti ili atajirike halafu aendelee na mambo yake. Lakini si hivyo, muone vile macho yamekutoka kama mbu aliyebemendwa,. Unatakiwa ulale na maiti kila jumapili saa nane usiku? Na hata siku za katikati ukisikia upwiru basi unatakiwa uifuate maiti ukamalizane nayo hayo ndio masharti ya utajiri wako!" Aliniambia mganga.

"Eee?" Nikaitikia kwa mshangao maana tayari nilianza kuona masharti yanakuwa magumu. "Eti ngweee unaitika umeitwa, hebu nitokee hapa kwangu kwendraaaaa" Alinifukuza mganga, "Na ole wako ugeuke nyuma nakugeuza sisimizi shoga chefuuuu" Nilipanda ndani ya gari langu na kuondoka bila kugeuka nyuma. "Mh huyu mganga kiboko leo atakuwa kavuta mbegu za bangi na wala sio bangi yenyewe maana si kwa mishombo ile dah ila ndio utajiri inabidi nikaze roho." Nilijisemea, basi bwana siku hiyohiyo nikatafuta kiwanja kikubwa, nikakilipia, nikamtafuta fundi na kumpa cotract ya ujenzi , kisha nikarudi nyumbani. Mjengo wangu ulianza kupandinshwa kwa kasi mpaka kufikia jumamosi ulikuwa umefikia kwenye lenta. Hatimaye sasa ikawa ni jumapili, nikatoa muongozo kwa wafanyakazi wenzangu niliokuwa nawasimamia, "Jerad mimi kila jumapili nitakuwa nawasaidia shughuli zote za Mochwari na nitaanza leo" Niliwaambia kama kawaida yao walifurahi wasijue nini malengo yangu. Basi Jumapili hiyo najira ya saa saba na dk 50 usiku nikainga ndani ya chumba cha Mochwari. "Mh leo silali na maiti ya kuruthumu acha nichague ingine" Niliongea mwenyewe huku nikizikagua maiti Mochwari mithili ya mtu anayechagua nyanya gengeni. "Aah hii hapa itanifaa kwa leo kwanza inatoka kesho ndugu zake wanakuja kuichukua, halafu pili huyu dada anaonekana alikuwa mdangaji hebu muone sura yake ipo kidangaji dangaji mitatuu kajichora kila mahali, vipini mpaka kwenye kiuno khaa hili ni danga hata nikilala na maiti yake sitapata dhambi kubwa" Nilijisemea na kuitoa maiti ile kwenye Jokofu nakuivua sanda kisha nikailaza sakafuni kama kawaida yangu. Nikazima taa na kushusha suruali yangu mpaka magotini shughuli ikaanza rasmi. Punde nikasikia msonyo mkubwa gizani "msiiiiiiiuuw malay mkubwa wewe umenikula mara moja leo umenisaliti na umehamia kwa mwingine, kawashe taa ni kuonyeshe" Ilikuwa ni sauti ya kike ya mwanamke yenye asili ya benzi kidogo ikisikika gizani ndani ya chumba cha mochwari. Nilisisimka mpaka nywele, nikashikwa na kigugumizi cha miguu kupiga hatua kwenda ilipo swichi ya taa. "Hutaki kuwasha taa eti? Acha niwashe mimi" Sauti hiyo iliongea . hamadi taa zikawaka na ndipo........

Acheni nikanywe chai kwanza maana si mchezo bablai..

𝐊𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐡𝐚𝐢𝐯𝐮𝐣𝐢 𝐰𝐢𝐧𝐨 𝐛𝐚𝐝𝐨 𝐢𝐧𝐚𝐚𝐧𝐝𝐢𝐤𝐚. 𝐍𝐚𝐫𝐮𝐝𝐢 , ni mimi muandishi wenu George aloyce
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom