Joseph 44
Senior Member
- Nov 14, 2022
- 100
- 65
Kama nilivyosema hapo juu, nchi yetu haina access za kununua game kwenye account za PlayStation. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikitafuta suluhisho la kununua hayo magame. Nasikia ukiwa Tanzania sio rahisi kununua mpaka ufuate utaratibu maalum, ambapo ni kufungua account na kupata redeem code – tena na zenyewe kwa magendo.
Sasa, swali langu ni kwamba: hizo redeem code nitazipata wapi? Na vipi kuhusu account – iwe ya nchi gani? Na je, zitakubali ukizijaza?
Swali langu la pili: ukiingia kwenye PlayStation Store kununua magame, unakuta mengine yameandikwa Extra au Premium Included, mengine yameandikwa Online Play Optional au Internet Required – hii imekaaje wakuu? Please, naombeni mnisaidie kwenu wakuu.