Nataka kununua PS4 Games kwenye store yao, naomba ufafanuzi katika hili

danione

Member
Oct 26, 2011
58
95
Wakuu Habari,

Naombeni msaada nahitaji kununua gemes za Ps4 kwenye Store yao, ila shida inakuja hamna location ya Tanzania ukiwa unatengeneza account.

Iila nimetengeneza account nikaweka location US ila shida inakuja Kununua game account yangu ya Bank inakataaa Kuingia kwenye account yao ili niweze kufanya malipo naombeni msaada Jinsi gani naweza zinunua hizo games kwenye Store yao
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom