Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

Ndio maana wanajijengea hadi International airport majumbani kwao.
Au wanaweza kujenga branch kubwa ya Bank inayoweza kuhudumia wateja 1000 kwa siku wakati hapo wapo 30
Kuhusu branch ya bank sijajua kama Mobutu na Idd Amin walijenga kwao
 
Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Execution by Firing Squad )

Nicolae Ceausescu akiwa pamoja na mzee Rashidi Mfaume Kawawa.

View attachment 1563431

Picha kadhaa zilizopigwa kwa kukosa utaalam mahususi zinaonyesha hali ya watu kutoamini kile kinachoendelea katika chumba kidogo wakati ambao ndugu Nicolae na Elena Ceausescu, mtu na mkewe, walioitawala Romania kwa zaidi ya miaka 24, walipokuwa wanakabiliwa na kesi katika mahakama ya kijeshi (Military Tribunal) katika kambi yao mnamo mwezi Desemba 25, mwaka 1989.

Nicolae Ceausescu akiwa na mzee Ali Hassan Mwinyi.

(Mzee Mwinyi Mungu azidi kukupa afya njema, maisha marefu na baraka tele kwa maana ulizungumza kwa hekima na busara nyingi katika msiba wa mzee Mkapa kule kijijini Lupaso Masasi. Tanzania hii bado inahitaji wazee kama wewe)

Siku tatu kabla walikuwa bado na matumaini ya kuendelea kukandamiza maandamano makubwa yaliyoandaliwa na watu wao waliokuwa wamezama katika dimbwi zito la umasikini wa kutupwa, lakini hatimaye walisimamishwa kizimbani wakituhumiwa kwa mauaji ya kimbari, wazee wawili (Nicolae na Elena Ceausescu) walikuwa wamevaa makoti ya bei ghali ambayo yalikuwa ni mtego wa mwisho wa utawala wao.

Kuna baadhi ya picha kutoka katika makumbusho ya taifa zinaonyesha hao akina Ceausescus, wakiwa amepigwa na bumbuwazi lakini wakionesha ukaidi, wakiwatazama maafisa wa jeshi waliojazana kwenye chumba hicho, kwa askari anayeshikilia Kalashnikov aliyekuwa analinda mlango, na kwa mtu aliyesimama kuwahutubia akiwa amevaa suruali ya jeans na sweta nene la jeusi na kitambaa kilichokuwa na rangi za bendera ya Romania kilichovingirishwa mkononi mwake.

Dani Voinea alikuwa mwendesha mashtaka wa kijeshi ambaye alikuwa ameamriwa kuandaa mashtaka dhidi ya akina Ceausescus. Alisafiri kwa helikopta kutoka Bucharest hadi kambi ya Targoviste umbali wa takriban kilomita 80 ili kuipeleka hati ile ya mashtaka katika kesi hii iliyokuwa inaonekana kama vile ni ya maigizo tu iliyopangwa haraka haraka.

Shtaka kuu lilikuwa mauaji ya kimbari - ingawa haikujulikana ikiwa vifo hivyo vyote vya watu 60,000 ambavyo walituhumiwa kusababisha vilitokea wakati wa siku zile nne za mapinduzi au katika utawala wao wote - na adhabu waliopewa ilikuwa ni kuuwawa na kupigwa risasi.

Voinea alitoa hati ya kukamatwa kwa hao akina Ceausescus. Katika makao makuu ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti ilikutwa hati kutoka mwezi Desemba 17 na 19 ambapo Ceausescu aliamuru wanajeshi kufyatua risasi kwa waandamanaji huko Timisoara, jiji la magharibi ambalo mapinduzi yalianza kabla ya kulipuka huko jijini Bucharest mnamo mwezi Desemba tarehe 21.

Nicolae aliamuru maelfu ya watu kutiwa mbaroni na kupelekwa katika magereza, ambapo walipigwa. Kuzuiliwa kinyume cha sheria na mauaji ya wapinzani wa kisiasa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu na waliadhibiwa wakati huo na kifo. Kwa hivyo hii ndiyo dhana ya kisheria ambayo ilitumikia kutoa hukumu ile ya kifo.

Kesi hiyo ilifanyika katika mazingira ya taharuki, machafuko na hofu kubwa: karibu watu 250 walikuwa wameuawa na 1,000 waliumia katika mapigano na vikosi vya usalama kabla ya akina Ceausescus kukimbia Bucharest mnamo Desemba 22. Karibu wengine 900 walikufa na 2,150 waliumia katika vurugu za machafuko ambazo zilifuata kabla ya kukamatwa kwao siku hiyo hiyo.

Kikundi cha wanasiasa wachache wa kikomunisti na maafisa wa jeshi wanaojiita National Salvation Front (NSF) waliingia walipoona kuna mwanya wa kiuongozi na walidai kupigania haki za watu dhidi ya "magaidi" na vikosi vya siri vya waliokuwa wanamuunga mkono ndugu Ceausescu; ilikuwa kundi hili lililoamuru kuundwa kwa mahakama ya kijeshi huko Targoviste dhidi ya Nicolae na mkewe.

Watu walikuwa wakifa kila siku mitaani, ripoti za hujuma za 'kigaidi' zilikuwa zimeanza. . . na waandamanaji walikuwa wakidai kwamba Ceausescus ashtakiwe. Watu waliwachukia, kwa sababu walikuwa wamepokea hisia hizo za chuki kutoka waandamanaji wa mitaani. . . Nicolae alikuwa ameamuru watu wasio na silaha wapigwe risasi, watu ambao hawakuchukua wala kubeba hata kisu na walikuwa wakipigia kelele wakidai uhuru tu, na sio hata mkate, bali kuwa huru tu ndio dai lao kuu.

Ceausescu (aliyekuwa na umri wa miaka 71 wakati ule) aliishutumu mahakama ile kwa kuzusha tuhuma za uongo na akasema atakuwa tayari kuwajibika kwa bunge la Romania pekee, na wala yeye wala Elena (mkewe aliyekuwa na umri wa miaka 73 kwa wakati ule) - kiongozi mwenzake ambaye alikuwa kama vile naibu waziri mkuu tangu mwaka 1980 - hakuonyesha ishara yoyote ya kujutia maovu yake.

Elena aliendelea kutaka kuingilia kati na kukatisha kesi lakini Nicolae alikuwa anaweka mkono wake mdomoni mwa Elena ili kumfunga asiongee. Walionekana kufikiria kesi hiyo ilikuwa kwa sababu ya kuonekana tu na hakuna chochote kitakachotokea kwao. Punde tu wakati mikono yao ilipofungwa na kutolewa kwa nguvu ndipo walipoanza kupiga makelele.

Voinea alikuwa ameodnoka katika chumba kile cha mahakama kabla ya majaji wa jeshi kutoa uamuzi ambao wengi walikuwa wanautegemea wa kukutwa na hatia, na alikuwa amefika nje ya mahakama ile kabla kelele hazijamfanya ageuke. Wanajeshi kadhaa walikuwa wakimchukua Ceausescu nje na kumburuta chini kwa pamoja. . . Askari waliwasukuma ukutani na walipokuwa wakirudi nyuma walianza kupiga risasi.

Kwa kweli lilikuwa ni tukio la kushangaza sana. Ilikuwa ni tukio la kwanza la utekelezaji wa maujai dhidi ya kiongozi mkuu kabisa katika nchi na sio kitu ambacho kinaweza kusahaulika kirahisi kwa watu wa Romania.

USISAHAU: ENDELEA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA. USICHAFUE TASWIRA NJEMA YA TAIFA LAKO. USTAWI WA NCHI YETU UNAANZA NA WEWE. TIMIZA WAJIBU WAKO IPASAVYO.
A good communist is a dead one , mkomunist hafai kuishi
 
A communist is better off dead ,
 
Communism = Devilish rulling system , na Hamna majitu yalioliyoua watu wengi kama makomunist , haya majitu hayafai kuishi , ukianzia Bolsheviks under Lenin, the demon Stallin , Mao , Polpot , Mengitsu nk
 
Hapa nia yangu ni kuwajuza ndugu zangu wa JF waliokuwa hawafahamu kuwa hapo zamani kulikuwa na mtu anaitwa Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)
Huo ujamaa wa huyo Nyerere na rafiki zake umetuletea faida gani Sisi kama nchi ? ,Kama sio dictatorship ,misery , poverty na leadership crisis ambayo wote mnaishuhudia katika huu utawala ?, Nyerere failed miserably with his embrace of a failed & demonic system ( communism ) , angalia vi nchi vidogo kama South Korea , Singapore , Thailand , Taiwan vilivyofanikiwa spectacularly kuingia Hadi G20 Kwa kuembrace capilitalism , nchi zimefamikiwa in almost everything , Sisi na ujima WA kikomunisti mfumo ambao hata waliouanzisha walishauacha wamebaki na mapambio tu , Sisi madubwasha ndio bado tunapambana na uchumi WA mamachinja na peasants ,
Upuuzi
 
..hapo ni kutafuta wachawi tu.

..hila za western powers haziwezi kufanikiwa kama kiongozi anayelengwa ameweka mambo yake sawa, na yuko karibu na wananchi.
..kabla ya hapo Waafghanistan walikuwa wakiuwawa na askari wa Soviet Union.

..au vita vya Angola ambapo Mpla ilikuwa ikiungwa mkono na Soviet Union, wakati Unita iliungwa mkono na United States.

..lazima kuwe na tatizo la ndani ktk nchi husika, na hao western au eastern powers wao wanachangamkia fursa tu.

..kwa mfano, Mpla alikuwa ana-finance vita kwa kutumia fedha za mafuta. Lakini mafuta yalikuwa yanachimbwa na Exxon Mobil ya Marekani. Na visima vya mafuta vilikuwa vinalindwa na askari toka Cuba. Halafu silaha zinanunuliwa toka Soviet Union. Umeona mkorogo huo?
Pia kama ambavyo vikosi vya majeshi ya Marekani na washirika wake walivyoua raia wasio na hatia huko Iraq na Afghanistan.
Unalojua vizuri mgogoro WA Afghanistan wewe au unasikia Tu kwenye redio mbao za Lumumba na wewe unameza , unajua ni kiasi gani wasoviet wameua huko Afghanistan ? , Unajua ni manyanyaso na ukatili kiasi gani walipitia mpaka kuamua kupambana kumtoa Mrusi huko ?
 
Kuna baadhi ya matatizo wao ndio huwa wanayatengeneza ili kuandaa mazingira ya kuwaingia watu "psychologically"

Kuna siku miaka kadhaa nyuma niliwahi kupigia sana kelele juu ya wimbo mmoja unaitwa TUPO BONGO BAHATI MBAYA.

Mkuu, kwani "Psychological Warfare" wewe huijui?
Bongo bahati mbaya kweli kwani nasema uongo ndugu zangu !
 
Alikuwa mgonjwa wa akili pamoja na mkewe waliojificha nyuma ya madaraka. Alikuwa mfukoni mwa mkewe. Walikuwa awajinga wa kawaida wasio na ujuzi wowote zaidi ya jinai na kujipenda wasijue walikuwa kama inzi juu ya maziwa. Vifo vyao vilifurahisha wapenda haki duniani sawa na vile vya mbwa kama Mobutu, Bokassa, Gnssingbe Eyadema, Omary Bongo, Felix Houphouet Boigny, Marcias Nguema, Jomo Kenyatta, Daniel Moi, Hastings Kamuzu Banda, Saddam Hussein, Adolf Hitler, Benito Musorini, Nero, Caligula, na wengine wengi.
 
Huyu hakuwa mjamaa mkuu
Yeye aliishi kifahari
Mjamaa pekee ni aliyekuwa Rais wa Uruguay

Ova
Si ndio hapo , utasikia Fala mmoja anajiita mi mjamaaa tunauenzi mfumo WA ujamaa , wewe unaujua ujamaa wewe ? Unauishi ujamaa ? . Kila nikiliona lijitu kama jiwe au kabudi na mazezeta wao huwa nahisi kutapika
 
Kama vile wajina wako Mobutu.

Ninasikia huyu jamaa Mobutu wa Zaire aliwahi kuagiza cake ikaletwa kwa ndege aina ya Concord straight kutoka Paris mpaka Gbadolite kijijini kwao kwa ajili ya harusi ya binti yake.

Just imagine dege kubwa kama Concord inabeba cake tu na rubani.

Hahahahaaaaaa!

Hiyo tena ni chumvi iliyokithiri.

Zaire haikuwa na airport ya kutua Concord ambayo ilikuwa inasafiri karibia na speed ya sauti.
 
Back
Top Bottom