Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

Kama ni hivyo hiyo ni bahati kubwa sana.

Maana hata bank zetu hapa zinatoa interests kwa Fixed deposits mpaka 11% kwa mwaka. Maana yake it's double the amount of interest unayochajiwa.

Fanya utafiti vizuri maana bonds na treasury bills hawatoi gawio kila mwezi wakati wewe utatakiwa ku-service mkopo wako monthly.
Mkuu ni benki gani hiyo wanayotoa Fixed deposit kwa rate ya 11%, hiyo pia inaweza kuwa option nyingine naweza kuifikiria
 
Kama ni hivyo hiyo ni bahati kubwa sana.

Maana hata bank zetu hapa zinatoa interests kwa Fixed deposits mpaka 11% kwa mwaka. Maana yake it's double the amount of interest unayochajiwa.

Fanya utafiti vizuri maana bonds na treasury bills hawatoi gawio kila mwezi wakati wewe utatakiwa ku-service mkopo wako monthly.

Bank gani zinatoa interest ya 11% p.a kwy fixed acc??? Na kwa principle amount ngapi? Weka jedwali lote mkuu

Am interested...
 
you need consultation:
100,000,000 x 13.5% = 13,500,000 per annual X 6 = 81,000,000/= . Kila mwaka utalipwa 13,500,000 kama riba.
sina hakika mkopo wa 100m/= at 5.6% unapata kwa baba au mjomba, kwa sababu kwa Bongo hakuna taasisi ina rate ya hivyo.
Assume loan repayment is fixed amount p.a (principal plus interest) Jumla ya marejesho yatakuwa 133,600,000/= after 6 years; na kila mwaka utatakiwa kurejesha 22,266,667/=
How will you supplement the balance? nikiwa na maana kwamba unapata riba 13,500,000/= na unatakiwa kulipa 22,266,667/=
Huyo anayemkopesha yeye ni bora angenunua yeye hati fungani.
 
Wazo zuri, ila limeleta ukakasi baada ya kusema hiyo 100m nayo ni ya mkopo, yaani unakwenda kukopa ili uwekeze. Kama wewe bado kijana kwa nini usianze taratibu - lets say kila mwaka uhakikishe unanunua hati fungani za 10m, ili basi baada ya miaka 10 utakuwa umefikia malengo yako ya 100m.

Kama una miaka 28 kwa sasa so at age of 38 utakuwa una 100m. Ni vijana wachache sana huwa wana hela hiyo wakiwa wameitafuta kwa jasho lao bila kusaidiwa na familia watokazo.

Bado una nafasi ya kufanya maajabu - mtihani wa maisha huwa ni namna gani unachanga karata zako ujanani.
 
Ni kweli mkuu, niwewaza hivo kwa sabab interest wanayochaji ni ndogo sana na ni nafasi ambayo naweza kuitumia. Pia nataka mambo mengine yaendelee kama kawaida tu hata baada ya kuchukua mkopo na kununua hizo hati fungani. Nikisema nisave mwenyewe then ninunue hati kila mwisho wa mwaka inawezekana pia ila naweza nisiwe na consistency maana umri ukisogea na majukum yataongezeka. Asante kwa ushauri
 
Hapana Mkuu, hiyo ina tax exemption kama sikosei
Kama unahakika ni exemption
Ningekushauri chukua huo mkopo then, muda wa rejesho weka 10 years. Hapo 5,600,000×10=56,000,000 fixed rate.
Ukijumlisha na 100,000,000 itakuwa 156,000,000 so kila mwaka utakuwa ukirudisha 15,600,000.

Turudi kwenye hati fungani wekeza 100m kwa muda wa 20 years yenye interest ya 15.49 kila mwaka utakuwa unapokea 15,490,000 , Ukiangalia hayo mahesabu ni makali sana huo mkopo BOT ndio watakulipia hadi utaisha.

Faida kwa miaka 10 itakayo baki baada ya kumaliza mkopo
15,600,000×10=156,000,000+100,000,000 initio =256,000,000.
Hiyo 256,000,000÷20yrs=12M utakuwa unaingiza kila mwaka bila Jasho.
Za kuambiwa changanya na zako.
 
Habari za leo wadau,
Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka.
Background kidogo:
Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.
Mimi sio mtu wa biashara na pia kazi nayofanya hainipi muda wa kufanya biashara.
Nimewaza nichukua huu mkopo (100M) then niwekeze kwenye hati fungani za muda mrefu(15 years - 13.5% au 20 years - 15.49%, source:BOT)
Then hela nayopata kwenye hati fungani niitumie kurejesha mkopo wangu ambao utakuwa wa miaka 6.
Kwa maana hiyo mambo mengine yataendelea kama kawaida.

Ni wazo nimeliwaza sijui wanajukwaa mnalionaje, ushauri wowote unakaribishwa.
Asante
Hiyo rate ya 5.6% uliyoisema hapa kwa ajili ya kuchukualia mkopo, haipo kwenye Benki yoyote ile hapa Tanzania, vinginevyo watu wangekuwa wanafanya biashara ya kuchukua mikopo kwenye mabenki ya kawaida halafu wanaenda kununua hati fungani za BOT ili wapate fada kutokana na mkopo pekee. Kawaida, rates za hati fungani ambazo huwa zinatolewa na BOT, ni ndogo kuliko rates za FDR zinazotolewa na Mabenki ya kwaida, just in case umeamua kufungua FDR akaunti kwenye benki ya kawaida. Kwa mfano, ukitaka ku-invest tuseme million 100 BOT kwa kununua hati fungani za miaka mitano, kama tuseme BOT wanaweza kukupa rate ya 7% p.a.; mabenki wao kwa kiasi hicho hicho na muda huo huo wanakuwa wanatoa rate iliyo juu ya ile ya BOT,kwa hiyo wao wanaweza kukupa tuseme 9% au juu kidogo ya hiyo. Kwa hiyo kawaida rates za mabenki ya kawaida (kwa faida) ziko juu kuliko zile za BOT, na za kuchukua mkopo ndiyo ziko juu zaidi kuliko zile za riba ya faida inayolipwa kwa mteja kama faida.

Vinginevyo watu wangekuwa wanachukua mkopo Benki moja halafu wanaenda kuuweka Benki nyingine kwa faida. Haiko hivyo. Ni sawa tu na kwenye Bureau de Change. Ukinunua dola Tuseme kwa TZS 2200 halafu muda huo huo ukaamua kwenda kuiuza kwenye duka jingine, unaiuza kwa hasara na kwa bei ya chini kuliko ile uliyonunulia
Kwa hiyo hiki kitu ulichoandika hapa hakipo, labda kwa sababu mimi siyo mtaalamu basi nadhani wapo wengine wanaoweza kukusaidia

Kwa msaada zaidi unaweza kuangalia hapa:
 
Amesema mkopo hauchukulii benki za hpa ni benki ya nje

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mm nakupongeza Kwa kile unachotaka kukifanya najua upo ulaya au USA (riba ya mkopo)

Mm ushauri wangu ungetafuta mda wa kujifunza kuwekeza kwenye sector mbalimbali mfano stocks,bonds,real estate ,crypto etc.

Mwaka mmoja unatosha kutafuta elimu ya kuwekeza kwenye industry unayochagua then badae ndo unawekeza hela yako ulikojifunza.

Mafano mm nina mwaka wa pili najifunza kuwekeza kwenye USA stocks. Mwezi wa kumi naanza rasmi kununua hisa za makampuni ya USA japo last year November nilianza kununua Kwa udogo na nimeona faida kubwa hadi sasa (400%).

Nakushauri anza kwanza Kwa kujielimisha huku ukianza Kwa udogo.badae ukishakua vizuri unaweka hela yote.kuwekeza bila elimu ya ndani ni disaster.
 
Habari za leo wadau,

Nimepata hili wazo week hii, ushauri wenu kama linatekelezeka.
Background kidogo:

Mimi ni kijana, nina nafasi ya kupata mkopo kwa interest rate ya 5.6% kwa mwaka, kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua maximum ni 125M marejesho miaka 4-10.

Mimi sio mtu wa biashara na pia kazi nayofanya hainipi muda wa kufanya biashara.

Nimewaza nichukua huu mkopo (100M) then niwekeze kwenye hati fungani za muda mrefu(15 years - 13.5% au 20 years - 15.49%, source:BOT)

Then hela nayopata kwenye hati fungani niitumie kurejesha mkopo wangu ambao utakuwa wa miaka 6. Kwa maana hiyo mambo mengine yataendelea kama kawaida.

Ni wazo nimeliwaza sijui wanajukwaa mnalionaje, ushauri wowote unakaribishwa.

Asante
Jenga nyumba M100,hukosi kodi laki 5 kwa mwezi
 
Mm ushauri wangu ungetafuta mda wa kujifunza kuwekeza kwenye sector mbalimbali mfano stocks,bonds,real estate ,crypto etc.eka hela yote.kuwekeza bila elimu ya ndani ni disaster.
Ndiyo hicho anachotaka kufanya, anataka kuja kununua treasury bonds
 
Back
Top Bottom