Nibaki na mwanaume yupi kati ya hawa?

Nibaki na mwanaume yupi kati ya hawa?

IMANI,IMANI,IMANI. Nikitu kigumu maana hapo hakuna mkweli kati yao.

Huyo kaka akikuoa tuu nakuhakikishia ataridi kwenye din yake tena nawatoto.

Na huyo umpendae hakupend ila ww ndio unampenda sana ndo mana anakusumbua wala uelekeo haupo.

Nakushauri ufanye maamuzi sahihi ya kizaz kinachokuja ambacho ni chako.
 
Ulivyojieleza tuu hayo ni majibu tosha nakukumbusha harusi ni ya wengi Ndoa ni ya kwako peke yako na nguzo imara ktk maisha ya Ndoa ni upendo.
Upendo una nguvu zaidi ya break down japo inabidi utangulize akili vile vile kwa sababu kupenda siyo ujinga wala upofu na ukimuomba MUNGU atakuonyesha mumeo aliyekuandalia.
 
Unataka miujiza gani tukufanyie labda?
 
wala siwapotezei muda ni kutojitambua tu
kumbe bado hujajitambua, afadhali kama umelijua hilo. Ningekuomba uwaambie ukweli kuwa bado upoupo kwanza kutokana na mipango yako. Ila kuja kumpata yule mwenye sifa na vigezo uvitakavyo itabid umuumbe mwenyewe, cha kuzingatia dada angu kwenye dini na mwanaume mtafutaji na awe na mapenzi ya dhati na wewe, huyo atakufaa.
 
Unaonekana mrembo sana hadi mwanaume anakubali kubadili dini, anyway hapo hakuna mme, wadelete wote siku ukiwa tayari kwa kuolewa utapata atakayekufaa kwa wakati huo.
 
Stress ktk ubora wake, sasa kama humpendi c ungemchana tuu mapema hata mahari asilete, huyo wa b k b yeye atakupigisha katelelo tuu maana ushasema hana mpangi na wew, ckia mchane huyo chinga msimamo wako ki ustaarabu tu, ataelewa afu we ishi utakavyo, ila kuwa na mabwana watatu sio mpango wala nini
 
Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni humu ndani nikaona siyo mbaya nika share nanyi ili nipate maoni yenu tofauti. Nina mpenzi ambaye kanitolea posa huyu mwanaume ananipenda sana tatizo ni dini yeye muislamu mimi mkristo.

Na kabla ya kuja home kutoa posa alishaulizwa kabisa kama utabadili dini kuwa mkristo utaruhusiwa kuleta hio barua akajibu yuko tayari kubadili na barua ikaletwa, mwisho wa siku mambo yakabadilika ndugu zake baadhi ya ndugu zake wamekubali kubadili dini baadhi wamekataa.

Sasa hivi karibuni kanipigia simu anadai anataka tukaishi wote. Binafsi siko tayari kwa sasa kuishi na mwanaume mpaka pale nitakapomaliza mipango yangu kuweka sawa, na ukizingatia kipato cha huyu mwanaume ni kidogo tofauti na mimi,kwa upande mwingine kabla ya huyu kaka kuna mwanaume mwingine ananipenda sana na mimi pia nampenda, tatizo ni mtu mwenye wivu siyo mchoyo ila malengo hana kabisa ya kuja kuishi na mimi na hata wazazi wangu kipindi cha nyuma tulivyotambulishana wakaniambia huyu atanipotezea muda.Niko njia panda niende wapi huyu ambaye atanipotezea muda au yule aliyenitolea posa? Na huyu aliyenitolea posa sina mapenzi nae kabisa.

Naombeni mnishauri jamani huyu aliyenitolea posa kabila lake makonde na huyu hana malengo na mimi kabila lake muhaya na mkumbuke kuwa kwa sasa sina mpango wa kuishi na mwanaume naona nikibaki kivyangu ndo nakuwa na furaha zaidi kuliko kuwa na mwanaume, bila kusahau nina mtoto ambaye nampenda sana ndo furaha yangu ya kwanza iliyobakia, ikumbukwe kuwa hawa wanaume hakuna hata niliyezaa nae mtoto au watoto.
Siamini kama hujitambui kiasi hiki then unalalamikia wenzio hawana malengo wakati ya kwako mwenyewe huyawezi du.Kweli hapa hamna haja ya kukushauri kama ni mimi ningebaki na furaha yangu.
 
Huna mapenzi naye kabisa lakini unamvulia chupi! Kwa maneno mengine nawe unampotezea muda kama anavyokupotezea muda huyo unayempenda sana! Endelea tu na wote wawili huyo anayekupotezea muda na pia huyo unayempotezea muda.

Habari zenu wadau,

Mimi ni mgeni humu ndani nikaona siyo mbaya nika share nanyi ili nipate maoni yenu tofauti. Nina mpenzi ambaye kanitolea posa huyu mwanaume ananipenda sana tatizo ni dini yeye muislamu mimi mkristo.

Na kabla ya kuja home kutoa posa alishaulizwa kabisa kama utabadili dini kuwa mkristo utaruhusiwa kuleta hio barua akajibu yuko tayari kubadili na barua ikaletwa, mwisho wa siku mambo yakabadilika ndugu zake baadhi ya ndugu zake wamekubali kubadili dini baadhi wamekataa.

Sasa hivi karibuni kanipigia simu anadai anataka tukaishi wote. Binafsi siko tayari kwa sasa kuishi na mwanaume mpaka pale nitakapomaliza mipango yangu kuweka sawa, na ukizingatia kipato cha huyu mwanaume ni kidogo tofauti na mimi,kwa upande mwingine kabla ya huyu kaka kuna mwanaume mwingine ananipenda sana na mimi pia nampenda, tatizo ni mtu mwenye wivu siyo mchoyo ila malengo hana kabisa ya kuja kuishi na mimi na hata wazazi wangu kipindi cha nyuma tulivyotambulishana wakaniambia huyu atanipotezea muda.Niko njia panda niende wapi huyu ambaye atanipotezea muda au yule aliyenitolea posa? Na huyu aliyenitolea posa sina mapenzi nae kabisa.

Naombeni mnishauri jamani huyu aliyenitolea posa kabila lake makonde na huyu hana malengo na mimi kabila lake muhaya na mkumbuke kuwa kwa sasa sina mpango wa kuishi na mwanaume naona nikibaki kivyangu ndo nakuwa na furaha zaidi kuliko kuwa na mwanaume, bila kusahau nina mtoto ambaye nampenda sana ndo furaha yangu ya kwanza iliyobakia, ikumbukwe kuwa hawa wanaume hakuna hata niliyezaa nae mtoto au watoto.
 
Kulingana na kichwa cha hbr inavyosema nanukuu 'nibaki na mwanaume yupi kati ya hawa' mwisho wa kunukuu, nikushauri tu kwakusema kuwa ww mwenyewe haupo tayari na kubaki na yeyote.
 
Yaani vijana na mabinti wa siku hizi ni majangarest.
Jishauri dada, ukifika mahali hauoni hata wa kukuuliza habari zako anzisha Uzi hapa utafute mchumba ama bwana
 
Tatizo lako ni tamaa ndio inakusumbua kwanza wewe huna mapenzi na hao watu wawili unachoangalia ni urahisi wa maisha tu japo mwenyewe unajidanganya upo njia panda lakini sivyo acha tamaa kwanza moyo wako utakwambia wapi umependa
 
Ata mi naona
ona sasa unavokubali ushaur wa kipuuz huo, huishi na mtu asiyenafuture na wew ili iweje? atimize aja zake za kukutia dudu tu, then what? na kama haishi kwa malengo bs lazma ujue anawanawake zaidi ya mmoja anaowafanya starehe! wew vp? hebu kaa fikiria vizuri kama mtu mzma tena ulie na mtoto. ntarudi.
 
Mbona hii kama inanilenga mm direct, baki na mim bby coz nakupenda na mwanao nampenda pia na ww unajua ila nashukuru kumjua mwizi wangu mmakonde
 
1. Kuna mwanaume (Maskini) amekutolea posa na aliahidi kubadilisha dini but ndugu baadhi wamegoma.

2. Mwanaume wa pili unamuona hana malengo ya kuishi nawe.

3. Hauko tayari kuishi na mwanaume kwa sasa.

4. Furaha yako ni mwanao ambae hujazaa na yeyote kati ya hao wanaume wawili.

Jiulize unataka nini kwenye maisha kwa sasa!? Kulingana na maelezo yako ni kwamba hutaki kuwa na mtu. BADO UNATAKA TUKUSHAURI UAMUZI WA KUCHUKUA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom