St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,641
- 11,201
Huyu alitaka sisi tumpe ushauri halafu baadae aje na mrejesho wa kutulaumu tu.Bora na wewe umeona maana kiufupi binti hajui anataka nini.

Utoto upi? Ana mtoto tayari, anaserebuka na mhaya n.k labda na aliyeleta posa kapiga funguo kwanza,, asubiri uzee tu.Malizia utoto kwanza ndiyo uanze maisha ya kiutu uzima
Ameshajijibu anataka kuwa peke yake. Ila kwa upande mwingine kama hajielewi flan hivi. Mana kama posa imetolewa aliruhusu vipi na wakati hampendi,dini tofauti na ni hali ya chini. Huyu wa pili anampenda lakini jamaa anaonekana hana malengo. Sasa sijui tumshauri nn hapo.Moyo wako unakutuma kufanya nini kati ya hayo ma3?
Hawa ndo wanaorogwaga hawa! Mtu kapigana huko! Kajinyima maskin, kapelekewa posa kumbe mwenye kuposwa moyoni havimo!Ila wewe binti, huyo mwanaume kipato chake hakieleweki lakini ulimruhusu hadi aje kutoa posa? What were you expecting? Afu hapo hapo eti haupo tayari kuishi na mwanaume kwa sasa hivi hadi ukamilishe mambo yako, ulikuwa unakubali posa ya nini?
Afu bado unauliza eti uende kwa asiye na malengo na wewe, jamani unataka mtoto wa pili bila ya ndoa eeh?
Habari zenu wadau,
Mimi ni mgeni humu ndani nikaona siyo mbaya nika share nanyi ili nipate maoni yenu tofauti. Nina mpenzi ambaye kanitolea posa huyu mwanaume ananipenda sana tatizo ni dini yeye muislamu mimi mkristo.
Na kabla ya kuja home kutoa posa alishaulizwa kabisa kama utabadili dini kuwa mkristo utaruhusiwa kuleta hio barua akajibu yuko tayari kubadili na barua ikaletwa, mwisho wa siku mambo yakabadilika ndugu zake baadhi ya ndugu zake wamekubali kubadili dini baadhi wamekataa.
Sasa hivi karibuni kanipigia simu anadai anataka tukaishi wote. Binafsi siko tayari kwa sasa kuishi na mwanaume mpaka pale nitakapomaliza mipango yangu kuweka sawa, na ukizingatia kipato cha huyu mwanaume ni kidogo tofauti na mimi,kwa upande mwingine kabla ya huyu kaka kuna mwanaume mwingine ananipenda sana na mimi pia nampenda, tatizo ni mtu mwenye wivu siyo mchoyo ila malengo hana kabisa ya kuja kuishi na mimi na hata wazazi wangu kipindi cha nyuma tulivyotambulishana wakaniambia huyu atanipotezea muda.Niko njia panda niende wapi huyu ambaye atanipotezea muda au yule aliyenitolea posa? Na huyu aliyenitolea posa sina mapenzi nae kabisa.
Naombeni mnishauri jamani huyu aliyenitolea posa kabila lake makonde na huyu hana malengo na mimi kabila lake muhaya na mkumbuke kuwa kwa sasa sina mpango wa kuishi na mwanaume naona nikibaki kivyangu ndo nakuwa na furaha zaidi kuliko kuwa na mwanaume, bila kusahau nina mtoto ambaye nampenda sana ndo furaha yangu ya kwanza iliyobakia, ikumbukwe kuwa hawa wanaume hakuna hata niliyezaa nae mtoto au watoto.
Bado mtoto?Kwa maana hiyo upo under 18?Hata hivyo bado mtoto sijakuwa vizuri
Unahangaikia nini? Au unataka kuolewa fashion? Kwa ufupi hiyo yote mizigo achana nao mwanaume unayemoenda atakuja don't do that for urselfHabari zenu wadau,
Mimi ni mgeni humu ndani nikaona siyo mbaya nika share nanyi ili nipate maoni yenu tofauti. Nina mpenzi ambaye kanitolea posa huyu mwanaume ananipenda sana tatizo ni dini yeye muislamu mimi mkristo.
Na kabla ya kuja home kutoa posa alishaulizwa kabisa kama utabadili dini kuwa mkristo utaruhusiwa kuleta hio barua akajibu yuko tayari kubadili na barua ikaletwa, mwisho wa siku mambo yakabadilika ndugu zake baadhi ya ndugu zake wamekubali kubadili dini baadhi wamekataa.
Sasa hivi karibuni kanipigia simu anadai anataka tukaishi wote. Binafsi siko tayari kwa sasa kuishi na mwanaume mpaka pale nitakapomaliza mipango yangu kuweka sawa, na ukizingatia kipato cha huyu mwanaume ni kidogo tofauti na mimi,kwa upande mwingine kabla ya huyu kaka kuna mwanaume mwingine ananipenda sana na mimi pia nampenda, tatizo ni mtu mwenye wivu siyo mchoyo ila malengo hana kabisa ya kuja kuishi na mimi na hata wazazi wangu kipindi cha nyuma tulivyotambulishana wakaniambia huyu atanipotezea muda.Niko njia panda niende wapi huyu ambaye atanipotezea muda au yule aliyenitolea posa? Na huyu aliyenitolea posa sina mapenzi nae kabisa.
Naombeni mnishauri jamani huyu aliyenitolea posa kabila lake makonde na huyu hana malengo na mimi kabila lake muhaya na mkumbuke kuwa kwa sasa sina mpango wa kuishi na mwanaume naona nikibaki kivyangu ndo nakuwa na furaha zaidi kuliko kuwa na mwanaume, bila kusahau nina mtoto ambaye nampenda sana ndo furaha yangu ya kwanza iliyobakia, ikumbukwe kuwa hawa wanaume hakuna hata niliyezaa nae mtoto au watoto.
Hamna hata haja ya kumroga, muache tu aendeHawa ndo wanaorogwaga hawa! Mtu kapigana huko! Kajinyima maskin, kapelekewa posa kumbe mwenye kuposwa moyoni havimo!
Mtu hajakuroga kweli! ?
Utu uzima sio miaka.......ni uwezo wa kutatua changamoto zinazokukabiliHata hivyo bado mtoto sijakuwa vizuri