Nibaki na mwanaume yupi kati ya hawa?

Nibaki na mwanaume yupi kati ya hawa?

Ila wewe binti, huyo mwanaume kipato chake hakieleweki lakini ulimruhusu hadi aje kutoa posa? What were you expecting? Afu hapo hapo eti haupo tayari kuishi na mwanaume kwa sasa hivi hadi ukamilishe mambo yako, ulikuwa unakubali posa ya nini?

Afu bado unauliza eti uende kwa asiye na malengo na wewe, jamani unataka mtoto wa pili bila ya ndoa eeh?
 
Ila wewe binti, huyo mwanaume kipato chake hakieleweki lakini ulimruhusu hadi aje kutoa posa? What were you expecting? Afu hapo hapo eti haupo tayari kuishi na mwanaume kwa sasa hivi hadi ukamilishe mambo yako, ulikuwa unakubali posa ya nini?

Kuna mabinti hawajielewi kabisa.
 
Wanawake mna kazi sana...utaishije na mtu usiyempenda?Mnafanyaje mapenzi?Kunakuwa na chemistry yoyote?Ndio maana kila siku mnalialia hamfikishwi
 
Tuna safari ndefu, no wonder hata umasikini umetutamalaki. Mleta mada anaonyesha kutojitambua kwa hali ya juu sana. So sad!!!
Ndo kukosa ufahamu sijui mmh. This is too much kutojitambua. Kwa style hii tutaepukaje umaskini sasa?
 
1. Kuna mwanaume (Maskini) amekutolea posa na aliahidi kubadilisha dini but ndugu baadhi wamegoma.

2. Mwanaume wa pili unamuona hana malengo ya kuishi nawe.

3. Hauko tayari kuishi na mwanaume kwa sasa.

4. Furaha yako ni mwanao ambae hujazaa na yeyote kati ya hao wanaume wawili.

Jiulize unataka nini kwenye maisha kwa sasa!? Kulingana na maelezo yako ni kwamba hutaki kuwa na mtu. BADO UNATAKA TUKUSHAURI UAMUZI WA KUCHUKUA?
Obviously huyu hajui atakalo, next episode ni mimba nyingine na atailelea nyumbani. Futseke...kuwa na dada wa hivi, namlamba kofi akili zimkae sawa coz usipoangalia utalea wapwa hadi uote kipara.
 
embu rudia vizuri kusoma kama ujaelewa rudia tena na tena ili uelewe tena
Mimi naona wewe mleta huu uzi ndio urudie kusoma maandishi yako. Manake jibu lipo wazi kuwa huyo muislam katoa posa lakini humpendi na huyo Muhaya anakupotezea muda lakini wewe mwenyewe unampenda bila kusahau wazee wako washakwambia kama huyo atakupotezea muda. Mwisho wa story yako unasema kwasasa haupo tayari kuwa na mtu kwasababu unajijenga kimaisha. Sasa bado tu hujapata jibu?
 
Daaaah...nisamehe bure lakini ukweli ni kuwa HUJITAMBUI aisee. You sound like a girl...not a woman/lady. Hata nimeshangaa uliposema kuwa una mtoto. Au ni ile mtoto kazaa mtoto.

Dada yangu kuwa makini sana na jinsi unavyo-set life goals na priorities zako...wakati ni ukuta. Usije kujuta baadae !!
 
Inaonekana hujielewi mleta mada[emoji35] [emoji35] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Achana na wote hawakufai Lea mtoto wako. Hao watakuja kukuvuruga . Kitokacho kwa Mungu huwa hakiji na confusion . Subiri wako
 
Mimi naona wewe mleta huu uzi ndio urudie kusoma maandishi yako. Manake jibu lipo wazi kuwa huyo muislam katoa posa lakini humpendi na huyo Muhaya anakupotezea muda lakini wewe mwenyewe unampenda bila kusahau wazee wako washakwambia kama huyo atakupotezea muda. Mwisho wa story yako unasema kwasasa haupo tayari kuwa na mtu kwasababu unajijenga kimaisha. Sasa bado tu hujapata jibu?
Bora na wewe umeona maana kiufupi binti hajui anataka nini.
 
Back
Top Bottom