HardMartin
JF-Expert Member
- Jun 8, 2012
- 308
- 113
Hebu tuambie kwanza huyo uliyezaa naye yuko wap na unamahusiona yapi naye then ntafaham nikushauri nini.
Habari zenu wadau,
Mimi ni mgeni humu ndani nikaona siyo mbaya nika share nanyi ili nipate maoni yenu tofauti. Nina mpenzi ambaye kanitolea posa huyu mwanaume ananipenda sana tatizo ni dini yeye muislamu mimi mkristo.
Na kabla ya kuja home kutoa posa alishaulizwa kabisa kama utabadili dini kuwa mkristo utaruhusiwa kuleta hio barua akajibu yuko tayari kubadili na barua ikaletwa, mwisho wa siku mambo yakabadilika ndugu zake baadhi ya ndugu zake wamekubali kubadili dini baadhi wamekataa.
Sasa hivi karibuni kanipigia simu anadai anataka tukaishi wote. Binafsi siko tayari kwa sasa kuishi na mwanaume mpaka pale nitakapomaliza mipango yangu kuweka sawa, na ukizingatia kipato cha huyu mwanaume ni kidogo tofauti na mimi,kwa upande mwingine kabla ya huyu kaka kuna mwanaume mwingine ananipenda sana na mimi pia nampenda, tatizo ni mtu mwenye wivu siyo mchoyo ila malengo hana kabisa ya kuja kuishi na mimi na hata wazazi wangu kipindi cha nyuma tulivyotambulishana wakaniambia huyu atanipotezea muda.Niko njia panda niende wapi huyu ambaye atanipotezea muda au yule aliyenitolea posa? Na huyu aliyenitolea posa sina mapenzi nae kabisa.
Naombeni mnishauri jamani huyu aliyenitolea posa kabila lake makonde na huyu hana malengo na mimi kabila lake muhaya na mkumbuke kuwa kwa sasa sina mpango wa kuishi na mwanaume naona nikibaki kivyangu ndo nakuwa na furaha zaidi kuliko kuwa na mwanaume, bila kusahau nina mtoto ambaye nampenda sana ndo furaha yangu ya kwanza iliyobakia, ikumbukwe kuwa hawa wanaume hakuna hata niliyezaa nae mtoto au watoto.
umeona eee!!Ata mi naona

wala siwapotezei muda ni kutojitambua tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbavu zng mieObviously huyu hajui atakalo, next episode ni mimba nyingine na atailelea nyumbani. Futseke...kuwa na dada wa hivi, namlamba kofi akili zimkae sawa coz usipoangalia utalea wapwa hadi uote kipara.
asee nakutafuta wewe mtoto...nitafute fastaMoyo wako unakutuma kufanya nini kati ya hayo ma3?
Habari zenu wadau,
Mimi ni mgeni humu ndani nikaona siyo mbaya nika share nanyi ili nipate maoni yenu tofauti. Nina mpenzi ambaye kanitolea posa huyu mwanaume ananipenda sana tatizo ni dini yeye muislamu mimi mkristo.
Na kabla ya kuja home kutoa posa alishaulizwa kabisa kama utabadili dini kuwa mkristo utaruhusiwa kuleta hio barua akajibu yuko tayari kubadili na barua ikaletwa, mwisho wa siku mambo yakabadilika ndugu zake baadhi ya ndugu zake wamekubali kubadili dini baadhi wamekataa.
Sasa hivi karibuni kanipigia simu anadai anataka tukaishi wote. Binafsi siko tayari kwa sasa kuishi na mwanaume mpaka pale nitakapomaliza mipango yangu kuweka sawa, na ukizingatia kipato cha huyu mwanaume ni kidogo tofauti na mimi,kwa upande mwingine kabla ya huyu kaka kuna mwanaume mwingine ananipenda sana na mimi pia nampenda, tatizo ni mtu mwenye wivu siyo mchoyo ila malengo hana kabisa ya kuja kuishi na mimi na hata wazazi wangu kipindi cha nyuma tulivyotambulishana wakaniambia huyu atanipotezea muda.Niko njia panda niende wapi huyu ambaye atanipotezea muda au yule aliyenitolea posa? Na huyu aliyenitolea posa sina mapenzi nae kabisa.
Naombeni mnishauri jamani huyu aliyenitolea posa kabila lake makonde na huyu hana malengo na mimi kabila lake muhaya na mkumbuke kuwa kwa sasa sina mpango wa kuishi na mwanaume naona nikibaki kivyangu ndo nakuwa na furaha zaidi kuliko kuwa na mwanaume, bila kusahau nina mtoto ambaye nampenda sana ndo furaha yangu ya kwanza iliyobakia, ikumbukwe kuwa hawa wanaume hakuna hata niliyezaa nae mtoto au watoto.
mariabaaa tupeane mialiko ya eid valentinaSijambo,shikamoo kaka
Na huyu aliyenitolea posa sina mapenzi nae kabisa. - sasa wewe unataka utuvuruge sasa...majibu na maamuzi unayo unataka nini from usHabari zenu wadau,