Niaje wana JF

Ukisikia kupuyanga ndio huku,Dogo akajua atasifiwa kwa koments na likes za kutosha ,sasa hapo siku nygne harudii tena
 
ahahaha dogoo uku sio kama Facebook au Instagram, uku hadi mods wanatumia majina na avatar fake
 
Hahahaaa kapotea njia huyu...mrudisheni alikotoka
 
Wajf wabaya nyie...! mmesababisha member mpya kaingia mitini, maskini mwenyewe alijiandaa kweli na bonge la selfie.....Hamisi huku watu ndivyo walivyo rudi usiogope
Achana na wapuuzi ndio maana tumeanzisha Makapuku Forum

Dogo hajavunja RULE YOYOTE ya Jf wanamsakama utafikiri kawaibia vyupi vyao
Jf sio ya baba zao
WANABOA
 
Achana na wapuuzi ndio maana tumeanzisha Makapuku Forum

Dogo hajavunja RULE YOYOTE ya Jf wanamsakama utafikiri kawaibia vyupi vyao
Jf sio ya baba zao
WANABOA
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Kaweka profile picture acheni roho mbaya basi, mwageni [emoji106] za kutosha.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kinyoya huyu
 
Wajf wabaya nyie...! mmesababisha member mpya kaingia mitini, maskini mwenyewe alijiandaa kweli na bonge la selfie.....Hamisi huku watu ndivyo walivyo rudi usiogope

haha hamisi kakimbia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…