Niache kazi Serikalini niende Botswana? Naomba ushauri

DeMostAdmired

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
1,598
Reaction score
3,854
Wakuu habari za siku mingi.

Mercy yupo mzima, yupo dar kwasasa na kila siku ananisumbua niende dar au aje nilipo tuonane.

Merry yupo tunasonga na maisha.

Nimekuja leo naombani ushauri.

Nilipata job govenment lakini at a time napambana na job ya govenment nilikuwa nishaanza kufatilia na nishaapply job na kufanya online interview huko nchini Botswana kupitia Ministry of child welfare ya Botswana.

Sasa Mungu akabariki nikapata job government sijakaa sawa wiki ilopita natumiwa email ya kwamba nimefanikiwa kupata post ya kazi huko Botswana na zimebak process chache na nahitajika pia niende embassy ya Botswana kwa ajili ya mambo ya visa na work permit.

Ila bado nasita kufanya maamuzi, mshahara wa Botswana ni around pula 11k sawa na 2.1m kama hivo na work permit ni kama 600k per year kwa kuanzia. Nina mchumba wangu Merry na nilikuwa nishaingia serikalini he nifanye maamuzi gani?
 
Subiri kwanza Merry aongee na mpenzi wa moyo wake ndo arudi kukushauri. Anaweza kukuruhusu uende kama yeye na mpenzi wake wana maelewano kwa sasa.
 
Back
Top Bottom