Jagermaster
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 654
- 321
Zanzibar iliyo huru na choyo na hasada za wale wasio na utaifa!!!
Zanzibar........... Date of birth= long time ago
Tanzania........... Date of birth= 1964.
You lost your Zanzibar throgh Sultan's Signatures to foreign powers because he was so weak he failed to fight the British and he alwaya needed protectorate. The Longtime ago Zanzibar is like Roman, Empire, Tumbuktu, Mesopotamia, etc which their existance is in archives, and classical museums, you will never reclaim it. Benito Mussorin tried to restore the Roman empire, he ended in the hands of shame. Tunawakia kila la heri na mbio zenu za kudai zanzibar
Acha umalaya ninyi kwani lazima muolewena na Wakenya, kwani hamuwezi simama peke yenu?. Kama mtagusa hata hela ya chumvi kwa Mkikuyu na Mjaluo jaribuni. Tunawatakia kila na heri
Wanaitaka nchi "yao" ya Zanzibar; Wanataka kurudia "utukufu wa Zanzibar" kwa kuwa hapa walipo sasa hawaoni manufaa "yoyote" kwa Zanzibar. Wanasema wanaitaka nchi yao waliyonyang'anywa na Wadanganyika (ati Watanganyika). Wanataka warudishiwe nchi yao waliyonyang'anywa na Nyerere na watu wa bara.
Ni Zanzibar ipi hiyo wanayoitaka?
- Zanzibar ya historia ya kale (Zenj - nchi ya weusi?) ambayo ni zaidi ya visiwa vya Unguja na Pemba bali na mwambao wa Afrika ya Mashariki
- Zanzibar ya Sultani(ambaye naye utawala wake ulizidi mipaka ya Unguja na Pemba)
- Zanzibar ya Sultani chini ya Mwingereza
- Zanzibar ya baada ya Uhuru na Sultani akiwa bado ni Mkuu wa Nchi na serikali ya Mseto
- Zanzibar ya Mapinduzi kabla ya Muungano
- Zanzibar "mpya" ambayo haijawahi kuwepo yaani ya baada ya muungano
Ni ipi hasa wanayoitaka? Ni ipi hasa Zanzibar "proper". Isije kuwa ni kama nchi ya ahadi ambayo iko katika fikra za watu tu lakini haijawahi kuwepo; yaani ile nchi imiminikayo maziwa na asali na kwamba watu wa bara na dunia nzima wanataka kuwanyang'anya Wazanzibari. Na labda hapa itabidi tulijibu swali pia kuwa Mzanzibari ni nani hasa?
Mtu haombi chake na iko siku mtajikuta hamna Tanzania wala Tanganyika na jeuri yenu hio.
"Ule wakati wetu na Nyerere tlikuwa tunakubali lakini hawa vijana wa leo hwakubali, Bw. Sitta, ITS OVER".
- Hassan Nassor Moyo, Former Govt Minister and CCM Veteran
Bwana mwenye jina kubwa, kwanini unakuwa mkali na wingi wa matusi wakati wa kutuma post zako? Mwanzoni nilikuona mtu msomi mstaarabu lakini kumbe nilijidanganya sana.
Na kwanini likitajwa jambo la Zanzibar unakuwa mkali hivi?
Kwetu sisi hatuoni tofauti baina ya mkoloni mweupe au mweusi.
Haya mheshimiwa samahani nimeondoa ile thread yangu samahani kwa kukuudhi, ila kinachoudhi mpaka tunafikia hapo ni pale ambapo wazinzabar kama wewe wala hata siku moja hamzungumzi hata faida moja ya muungano. Muungano ni kama mzigo mzito kwa Zanzibar:alien: na kama bila muungano mungeishi kama mko peponi..Katika kipindi kama hiki ambacho inaonekana wazi hata watu wengi wa bara hawautaki muungano ni kipindi ambacho wastaarabu kama wewe, mungekuwa mtoe mapungufu gani yarekebishwe pande zote, na lazima kila mmoja awe tayari kupoteza mambo flani. Tatizo Wanzanzibar mko too opportunist katika hili. Mnataka mfaidi kila kitu kwenye muungano na wala hakuna hata mmoja anayeelezea kinagaubaga Mtanganyika wa kawaida anafaidika vipi na muungano ambacho Mzanzibar wa kawaida anakikosa. Mimi naona bora huu muungano ufe kwa sasa kwa kuwa sumu mlizopandikizwa na wana siasa wenu dawa yake ni ngumu sana kupatikana. Kwa sisi tulioishi visiwani na Tanganyika kwa muda tofauti sioni Tanganyika itadhurika kwa lipi kama muungano ukifa. Kitakachofuata labda ni kubadili jina na nchi tu. Sijui kwa upande wenu ila hali haiwezi kuwa nzuri kama mnavyotarajia. Na hiyo mipango ya kuweka Zanzibar bandari huru msiwe too optimistic kwa hilo, msitarajie baada ya kuvunjika muungano kama soko la Tanganyika mtalifaidi tena kama sasa. Kwa hili hata transist visa hatutatoa. Siwatishi lakini watu mkiachana kwa chuki ndio matokea yake. Kile kilichotokea North na South Korea ndio kinachonyemelea. Na sijui tukifungiana mipaka nani atafaidika
na nani atapata hasara. Story nyingi zilizojaa huku JF ni kuwa Zanzibar ilikuwa ni himaya kubwa, Zanzibar iliwahi toa misaada wala hata siku moja hamtambui kuwa kukuwa kwa Zanzibar kulidepend pia utawala wa Sultan ambao uliextend kutoka huko Kisimayu mpaka Mozambique, mpaka Unyamwezi, mpaka DRC huko akiwakilishwa na akina Tipputippu na hilo iliifanya Zanzibar ifaidi kwa biashara, pamoja na soko. Na hilo ndilo lilikuwa chimbuko la kukuwa kwa himaya ya Sultan na Zanzibar kwa ujumla. Kwa mazingira ya sasa wala si rahisi Zanzibar kutawala mpaka DRC, hata kisiwa cha Mafia tu itakuwa vigumu kukipata, na wala Zanzibar haitakuwa tena soko kuu la watumwa wala pembe za ndovu hayo Mazingira yamepitwa na wakati. msije mkalamba gharasa harafu mkaja tamani kulamba matapishi...Jiulizeni MBONA VISIWA VYA COMORO WAKO HURU LAKINI BADO HATA NYAMBA YA NG'OMBE TU WANAFUATA TANZANIA NA MOZAMBIQUE?. HIVI ZANZIBAR NINI MLICHONACHO KINACHOWATOFAUTISHA SANA VISIWA KAMA VYA COMORO?
.=takashi;1876917]Kama Zanzibar ya Sultan, Cheif ,ya Kifalme wewe haikuhusu
Umesahau kuwa dunia yote ilikuwa ni pori na neno nchi ni la wanadam, na nchi zilitokana na mipaka iliyowekwa na si Wazanzibar bali wakoloni.Zanzibar imekua nchi kabla ya Tanganyika. Wakati Zanzibar ipo kama nchi hapa (Tangayika ) ilikua ni pori tu.
Hapa umetusaidiaje kujibu hoja, maana hasira na ghadhabu ni kipimo cha udhaifu wa hoja au kujielelezaSema ulichokificha moyoni mwako usijifanye mwana falsafa mahiri,kumbe ndio wale wale maneno mengi mbele kiza.
Ni huko huko wapo Wazanzibar waliohamia na kuiacha nchi yao ya ahadi yenye mito ya maziwa na maji ya asali. Jiulize wanafanya nini hukoKama kweli unauchungu na nchi hii kwanza angalia Mtwara, Lindi , Sumbawanga , Loliondo na sehemu nyengine. Musijipe madaraka ya kutaka kutawala watu wakati nyinyi wenyewe hamna mbele wala nyuma.
Una chochote cha kuthibitisha maneno yako? au ni dhana tu iliyojengeka katika misingi ya chuki na hasira!Yule Mungu wenu (Nyerere) aliwadanganya na kawambia kama Zanzibar ni sehemu ya Tanganyika kwahiyo hamuwezi kuiwachia.
Hakuna sababu ya kudai serikali ya Tanganyika kwasababu hilo si tatizo la Watanganyika. Serikali ya Tanganyika itawasaidiaje ninyi Wazanzibar, hilo ni la Watanganyika na wanaweza kuamua ibaki Tanzania kama jina kwasabau nchi itabaki na mipaka yake.Kama kweli umesoma historia ya Afrika Mashariki basi majibu utayapata . Hapa humdanganyi mtu...sio watu wote akili zao zimefumba. Nenda ukawadanganye huko , sio hapa. Kama Nyerere ame ku-brain washed pole sana. Unachotakiwa kufanya ni kudai kuwepo kwa serikali ya Tanganyika na sio kuwalaumu watu wanao dai haki zao.
Bwana mwenye jina kubwa, kwanini unakuwa mkali na wingi wa matusi wakati wa kutuma post zako? Mwanzoni nilikuona mtu msomi mstaarabu lakini kumbe nilijidanganya sana.
Na kwanini likitajwa jambo la Zanzibar unakuwa mkali hivi?
Kwetu sisi hatuoni tofauti baina ya mkoloni mweupe au mweusi.
Haya mheshimiwa samahani nimeondoa ile thread yangu samahani kwa kukuudhi, ila kinachoudhi mpaka tunafikia hapo ni pale ambapo wazinzabar kama wewe wala hata siku moja hamzungumzi hata faida moja ya muungano. Muungano ni kama mzigo mzito kwa Zanzibar:alien: na kama bila muungano mungeishi kama mko peponi..Katika kipindi kama hiki ambacho inaonekana wazi hata watu wengi wa bara hawautaki muungano ni kipindi ambacho wastaarabu kama wewe, mungekuwa mtoe mapungufu gani yarekebishwe pande zote, na lazima kila mmoja awe tayari kupoteza mambo flani. Tatizo Wanzanzibar mko too opportunist katika hili. Mnataka mfaidi kila kitu kwenye muungano na wala hakuna hata mmoja anayeelezea kinagaubaga Mtanganyika wa kawaida anafaidika vipi na muungano ambacho Mzanzibar wa kawaida anakikosa. Mimi naona bora huu muungano ufe kwa sasa kwa kuwa sumu mlizopandikizwa na wana siasa wenu dawa yake ni ngumu sana kupatikana. Kwa sisi tulioishi visiwani na Tanganyika kwa muda tofauti sioni Tanganyika itadhurika kwa lipi kama muungano ukifa. Kitakachofuata labda ni kubadili jina na nchi tu. Sijui kwa upande wenu ila hali haiwezi kuwa nzuri kama mnavyotarajia. Na hiyo mipango ya kuweka Zanzibar bandari huru msiwe too optimistic kwa hilo, msitarajie baada ya kuvunjika muungano kama soko la Tanganyika mtalifaidi tena kama sasa. Kwa hili hata transist visa hatutatoa. Siwatishi lakini watu mkiachana kwa chuki ndio matokea yake. Kile kilichotokea North na South Korea ndio kinachonyemelea. Na sijui tukifungiana mipaka nani atafaidika
na nani atapata hasara. Story nyingi zilizojaa huku JF ni kuwa Zanzibar ilikuwa ni himaya kubwa, Zanzibar iliwahi toa misaada wala hata siku moja hamtambui kuwa kukuwa kwa Zanzibar kulidepend pia utawala wa Sultan ambao uliextend kutoka huko Kisimayu mpaka Mozambique, mpaka Unyamwezi, mpaka DRC huko akiwakilishwa na akina Tipputippu na hilo iliifanya Zanzibar ifaidi kwa biashara, pamoja na soko. Na hilo ndilo lilikuwa chimbuko la kukuwa kwa himaya ya Sultan na Zanzibar kwa ujumla. Kwa mazingira ya sasa wala si rahisi Zanzibar kutawala mpaka DRC, hata kisiwa cha Mafia tu itakuwa vigumu kukipata, na wala Zanzibar haitakuwa tena soko kuu la watumwa wala pembe za ndovu hayo Mazingira yamepitwa na wakati. msije mkalamba gharasa harafu mkaja tamani kulamba matapishi...Jiulizeni MBONA VISIWA VYA COMORO WAKO HURU LAKINI BADO HATA NYAMBA YA NG'OMBE TU WANAFUATA TANZANIA NA MOZAMBIQUE?. HIVI ZANZIBAR NINI MLICHONACHO KINACHOWATOFAUTISHA SANA VISIWA KAMA VYA COMORO?
Binafsi mi nashangazwa sana na debate za Muungano, huyu nyerere ambaye wanamuona kama adui wao aliwahi kutoa maneno kadhaa ambayo mi ntayaweka hivi: Wazanzibar, Nia mnayo! Ikiwa Uwezo mnao! Na sababu mnayo! What hinderace u to qualify from ur wishes? Kitoeni bana,kwanza mmemlaghai babu yangu kule tanga hata akawauzia shamba kuuubwa kwa bei chee, nadhani mkiondoka ntafurahi kwani litarudi kirahisi.
Hakuna kitu kiliwahi kuniachia maswali mengi kichwani kama historia ya huyu Mganda Field Marshal Okello na mchango wake katika mapinduzi ya Zanzibar na jinsi alivyoachwa solemba.Ujasiri wake na mkwara aliokuwa nao wa kutamba nchi zote tatu za Afrika mashariki.....hadi Zanzibariiii!! Mkjj, na wengineo wenye kujua undani wa hii ishu naomba mnipatie ilmu zaidi maana nilivutiwa kujua zaidi.Nitaomba ukiweza uanzishe thread mpya on this.
Binafsi mi nashangazwa sana na debate za Muungano, huyu nyerere ambaye wanamuona kama adui wao aliwahi kutoa maneno kadhaa ambayo mi ntayaweka hivi: Wazanzibar, Nia mnayo! Ikiwa Uwezo mnao! Na sababu mnayo! What hinderace u to qualify from ur wishes? Kitoeni bana,kwanza mmemlaghai babu yangu kule tanga hata akawauzia shamba kuuubwa kwa bei chee, nadhani mkiondoka ntafurahi kwani litarudi kirahisi.
nenda wewe huyo nyerere baba yenu wa taifa la tanganyika na amini mungu anamchoma rite now kwa aliyowafanyia watu wa znz na chuki zake kwa waislam kama walivyo wakatoliki wengine ...babu yako anashamba wewe maskini tu.
.
Ndiyo maana ya mjadala, ukiongelea muungano zanzibar inahusu, jibu hoja kama ilivyoletwa
umesahau kuwa dunia yote ilikuwa ni pori na neno nchi ni la wanadam, na nchi zilitokana na mipaka iliyowekwa na si wazanzibar bali wakoloni.
Hapa umetusaidiaje kujibu hoja, maana hasira na ghadhabu ni kipimo cha udhaifu wa hoja au kujieleleza
ni huko huko wapo wazanzibar waliohamia na kuiacha nchi yao ya ahadi yenye mito ya maziwa na maji ya asali. Jiulize wanafanya nini huko
una chochote cha kuthibitisha maneno yako? Au ni dhana tu iliyojengeka katika misingi ya chuki na hasira!
Hakuna sababu ya kudai serikali ya tanganyika kwasababu hilo si tatizo la watanganyika. Serikali ya tanganyika itawasaidiaje ninyi wazanzibar, hilo ni la watanganyika na wanaweza kuamua ibaki tanzania kama jina kwasabau nchi itabaki na mipaka yake.
Inasaidia zaidi katika mijadala kama hii kujibu hoja. Jazba na munkar ni sehemu ya mwisho kabisa ya utetezi kwa asiye na hoja. Bado swali linabaki pale pale zanzibar ipi mnaidai, ya sultan (kwasababu hamtambui mapinduzi) au mwingereza n.k.
Na kipi kinawashinda leo hii kuamua muondoke bara, mrudi mkaijenge nchin yenu? Wale 500,000 wanafanya nini bara?
Fyi hospitali ya mnazi mmoja haina wataalamu wote wametimkia bara, mbona hili hamjiulizi ni kwanini.
hahaha na wewe ulipotelea wapi duh!! au ndio umeshatangaza nia?
Bwana mwenye jina kubwa, kwanini unakuwa mkali na wingi wa matusi wakati wa kutuma post zako? Mwanzoni nilikuona mtu msomi mstaarabu lakini kumbe nilijidanganya sana.
Na kwanini likitajwa jambo la Zanzibar unakuwa mkali hivi?
Kwetu sisi hatuoni tofauti baina ya mkoloni mweupe au mweusi.
Haya mheshimiwa samahani nimeondoa ile thread yangu samahani kwa kukuudhi, ila kinachoudhi mpaka tunafikia hapo ni pale ambapo wazinzabar kama wewe wala hata siku moja hamzungumzi hata faida moja ya muungano. Muungano ni kama mzigo mzito kwa Zanzibar:alien: na kama bila muungano mungeishi kama mko peponi..Katika kipindi kama hiki ambacho inaonekana wazi hata watu wengi wa bara hawautaki muungano ni kipindi ambacho wastaarabu kama wewe, mungekuwa mtoe mapungufu gani yarekebishwe pande zote, na lazima kila mmoja awe tayari kupoteza mambo flani. Tatizo Wanzanzibar mko too opportunist katika hili. Mnataka mfaidi kila kitu kwenye muungano na wala hakuna hata mmoja anayeelezea kinagaubaga Mtanganyika wa kawaida anafaidika vipi na muungano ambacho Mzanzibar wa kawaida anakikosa. Mimi naona bora huu muungano ufe kwa sasa kwa kuwa sumu mlizopandikizwa na wana siasa wenu dawa yake ni ngumu sana kupatikana. Kwa sisi tulioishi visiwani na Tanganyika kwa muda tofauti sioni Tanganyika itadhurika kwa lipi kama muungano ukifa. Kitakachofuata labda ni kubadili jina na nchi tu. Sijui kwa upande wenu ila hali haiwezi kuwa nzuri kama mnavyotarajia. Na hiyo mipango ya kuweka Zanzibar bandari huru msiwe too optimistic kwa hilo, msitarajie baada ya kuvunjika muungano kama soko la Tanganyika mtalifaidi tena kama sasa. Kwa hili hata transist visa hatutatoa. Siwatishi lakini watu mkiachana kwa chuki ndio matokea yake. Kile kilichotokea North na South Korea ndio kinachonyemelea. Na sijui tukifungiana mipaka nani atafaidika
na nani atapata hasara. Story nyingi zilizojaa huku JF ni kuwa Zanzibar ilikuwa ni himaya kubwa, Zanzibar iliwahi toa misaada wala hata siku moja hamtambui kuwa kukuwa kwa Zanzibar kulidepend pia utawala wa Sultan ambao uliextend kutoka huko Kisimayu mpaka Mozambique, mpaka Unyamwezi, mpaka DRC huko akiwakilishwa na akina Tipputippu na hilo iliifanya Zanzibar ifaidi kwa biashara, pamoja na soko. Na hilo ndilo lilikuwa chimbuko la kukuwa kwa himaya ya Sultan na Zanzibar kwa ujumla. Kwa mazingira ya sasa wala si rahisi Zanzibar kutawala mpaka DRC, hata kisiwa cha Mafia tu itakuwa vigumu kukipata, na wala Zanzibar haitakuwa tena soko kuu la watumwa wala pembe za ndovu hayo Mazingira yamepitwa na wakati. msije mkalamba gharasa harafu mkaja tamani kulamba matapishi...Jiulizeni MBONA VISIWA VYA COMORO WAKO HURU LAKINI BADO HATA NYAMBA YA NG'OMBE TU WANAFUATA TANZANIA NA MOZAMBIQUE?. HIVI ZANZIBAR NINI MLICHONACHO KINACHOWATOFAUTISHA SANA VISIWA KAMA VYA COMORO?
HATUNA KITU WE JUST NEED OUR NECK TO BE FREE FROM THIS CHAIN..HIYO HAITOSHI

NYINYI KUWENI NA MNAVOKUWA NAVYO SISI TUNAJUA NN TUTAFANYA USITAKE TUANIKE MAMBO YETU HAPA THEN MUKAJA KUYATIA MKONO MAANA NYINYI WAZURI KWA HILO
Kuna contradictions sana katika siasa za Zanzibar leo, hata hivyo kosa kubwa sana ni watanzania wenyewe waliochagua kiongozi goigoi kama JK. Wazanzibari wanapopinga Muungano ulioasisiwa na Karume, huwa pia wanapinga mapinduzi yaliyoletwa na Karume kwani yote hayo yalipangwa bila ya kuwapo kwa kura ya maoni. Nilitegemea kuwa pamoja na kuwa tulikuwa na mwanzo mbaya ilikuwa ni jukumu letu kuuonyoosha leo kama ambavyo wakati wa chama kimoja mwaka 1977 ASP na TANU viliungana na kuwa na chama kimoja ili kuondoa tofauti za kisera. Ndoto ilikuwa ni kuwa miaka ijayo tutafikia mahali ambapo tofauti zetu za uzawa zitakuwa hazina maana tena ila tutakuwa tutaangalia utaifa wetu zaidi na kuwa na serikali moja, lakini naona wazi kuwa hili ombwe la uongozi linatupeleka kwingineko. Ninavyotabiri, naona kabisa kuwa siyo CCM wala CUF itakayokuwa hai katika miundo yake ya leo hii katika miaka saba ijayo kama haya mabadilioko ya katiba yataendelea.
I like this analysis!
Pia wasisahau wafanya biashara wao wakubwa wenye ari na nguvu na kasi ( Wapemba) wamajisimika bara kwa kiwango kikubwa. Wakijitenga itakula kwao! Pia bara ni soko lao na source ya karibu na ya bei poa ya mazao ya chakula ( viazi, mchele, matunda na mboga etc ) hata wakiwa na jeuri ya kusema wata import fom elsewhere bado itakula kwao.
Sijui ni Zanzibar ipi wanaitaka maana hata mapinduzi sasa wanasema ni ya Nyerere, lakini wanasherehekea kila mwaka na waasisi wao wanawaenzi.Tatizo la Wazanzibar wengi ni kuimba nyimbo wasizojua tungo zake. Maswali ya MM hakuna anayejibu bali tunasikia wanaonewa.Inasikitisha kuwa hakuna Mzanzibar anayeongelea kwa uchache faida za muungano.Sidhani muungano huu ni dudu linalaowaumiza Wazanzibar bila kuwa na hata faida moja.
Hii inatokana na kulishwa chuki ambazo ukiuliza hakuna anayeweza kuzifafanua, lakini zipo mioyoni mwao kwasababu ya kupandikizwa tu.
Nimefauatilia majadiliano mengi ya Wazanzibar, wao wanataka Tanganyika irudi, na sijui ni kwanini kwasababu lengo lao ni 'kuirudisha' Zanzibar. Hili la Tanganyika ni la Watanganyika na Tanganyika au Tanzania zinaweza kubaki hivyo endapo wahusika watakubali, ni majina tu.
Wanzanzibar hawasemi hatutaki muungano, wanachosema ni kuwa muungano kama upo uwe wa mambo fulani. Hii maana yake ni kuwa hawataki muungano lakini wanataka ushirikiano kwa mambo wanayodhani nje ya muungano yatawaumiza sana. Wanajua wazi kuwa ni kupitia muungano kuna fursa wanazofaidika nazo,lakini wamependikizwa chuki ya kuchukia tu hata yale mema yanayotokana na muungano, na kuaminishwa kuwa kusema hili ni faida ya muungano ni sawa na kufru na dhambi mbele ya S.W.T.
Sioni kwanini walalame, wana baraza la wawakilishi linalofanya kazi kikamilifu na kubadili kila wakitakacho. Wanashindwa nini kuamua mambo ya muungano? mfano ni kuzuia wabunge wa JMT kutoka Zanzibar, kumrejesha makamu wa rais JMT, wao kuondoka bara na kurejea kwao, kuwatimua wabara kutoka visiwani, kutangaza pesa yao kama wimbo wao wa taifa n.k.
Nimekuwa nauliza hili swali mara nyingi na sitachoka, Wazanzibar niambieni Mtanganyika ataathirika vipi kwa kuvunjika muungano! tukizingatia kuwa Wazanzibar 500,000 wanaishi bara wana ajira na biashara, na wanafaidika na huduma zote za kodi za wabara kama elimu ya juu n.k. Tafadhali nifahamisheni, Tanganyika itaathirika vipi.