yeah right hata historia ya Zanzibar mnataka tusahau! Hii Zanzibar ya pepo hiyo iliwahi kuwepo lini? Matatizo ya Kiuchumi, Kisiasa na Maendeleo ni nchi gani ambayo haina? Wengine tuliaminishwa kuwa nchi zote za Kiarabu ni pepo, maskini kina Khalid wametuonesha ile siri kuu. Tunaambiwa Oman ni pepo.. juzi tunaoneshwa kuwa ipo Pepo ya Wachache. Na hivi ndivyo mnavyotaka watu waamini kuwa Zanzibar ilikuwa Pepo kwa kila mtu, kumbe ilikuwa Pepo ya Wachache.
Kweli mnafikiri mkiwa nje ya Muungano ndio matatizo ya Kiuchumi, Kisiasa na Maendeleo yataondolewa? Really? SAudia na mafuta yake yote hayo imeweza vipi kuondoa matatizo yote ya Kijamii? Hata Libya, Iran, na Iraq zote ukiziangalia kwenye kipimo cha maendeleo zinaoneshwa ziko juu ya Tanzania lakini leo tunajua kuwa siyo vyote vinavyomeremeta dhahabu. Jamani msiwaadahe watu kuwa ati Zanzibar ikiwa nje ya Muungano basi pepo itarudi. Msije kujikuta mnabakia kuimbiana taarab za nyimbo za "iliyokuwa Zanzibar" huku watu wanatamani pepo isiyokuwepo.
Ushirikiano wetu unatuhakikishia sote na miye napendekeza zaidi Zanzibar a brighter future kuliko watu wanavyodanganyana.

zanzibar ambayo wewe unaijua ndio Wazanzibari wanaitaka...
Mnapenda kusafiria Pasi za Jamhuri ya Muungano wa TAnzania au mnataka Nchi ya Zanzibar iwe na pasi zake za kusafiria? ni swali rahisi ambalo halihitaji kumuitwa mtu mjinga au vyovyote vile.
Maadam wanaopiga kelee ni watu wa kuja mimi nadhani ndio maana WaZanzibar wataendelea kupata shida ndani ya nchi ya ugenini...Huku bara hao wa kuja, hutawasikia wala kuwaona wakipiga makelele tena hujificha wakati wa maandamano au mikutano, lakini zanzibar ndio wamekuwa wasemaji wakubwa sana na ukiwauliza watakwambia mimi sii Mzanznibar bali Myemen, Mu Oman. Mngazija na kadhalika.. Ni lini Wazanzibar mtakubali kuwa Wazanzibar kabla ya asili zenu?
Mkuu Mwanakijiji , usipoteshe watu kwa falsafa zako za uongo na kweli... Kilio cha wazanzibari ni Matatizo ya ki-UCHUMI ,SIASA NA MAENDELEO. Hakuna mtu anabaguliwa Zanzibar eti mweusi ,sio kweli . Mimi nimeshi kote Tanganyika na Zanzibar sijaona hicho kitu. Ikienda Zanzibar ,halafu waambie hii sio nchi , kweli watakutenga hata uwe na rangi kama mzungu wa ulaya. Huo ndio ukweli wa mambao.
yeah right hata historia ya Zanzibar mnataka tusahau! Hii Zanzibar ya pepo hiyo iliwahi kuwepo lini? Matatizo ya Kiuchumi, Kisiasa na Maendeleo ni nchi gani ambayo haina? Wengine tuliaminishwa kuwa nchi zote za Kiarabu ni pepo, maskini kina Khalid wametuonesha ile siri kuu. Tunaambiwa Oman ni pepo.. juzi tunaoneshwa kuwa ipo Pepo ya Wachache. Na hivi ndivyo mnavyotaka watu waamini kuwa Zanzibar ilikuwa Pepo kwa kila mtu, kumbe ilikuwa Pepo ya Wachache.
Kweli mnafikiri mkiwa nje ya Muungano ndio matatizo ya Kiuchumi, Kisiasa na Maendeleo yataondolewa? Really? SAudia na mafuta yake yote hayo imeweza vipi kuondoa matatizo yote ya Kijamii? Hata Libya, Iran, na Iraq zote ukiziangalia kwenye kipimo cha maendeleo zinaoneshwa ziko juu ya Tanzania lakini leo tunajua kuwa siyo vyote vinavyomeremeta dhahabu. Jamani msiwaadahe watu kuwa ati Zanzibar ikiwa nje ya Muungano basi pepo itarudi. Msije kujikuta mnabakia kuimbiana taarab za nyimbo za "iliyokuwa Zanzibar" huku watu wanatamani pepo isiyokuwepo.
Ushirikiano wetu unatuhakikishia sote na miye napendekeza zaidi Zanzibar a brighter future kuliko watu wanavyodanganyana.
Nadhani hufuatilii post au uwezo wa kuzielewa unaleta tabu.
Kama Zanzibar hawabaguani kwanini wapemba wanasema si sehemu ya unguja na wamepeleka madai hadi UN. Hiyo unaiita nini kwa lugha yako. Pili, Kwanini waunguja wasema mapinduzi daima, wapemba waseme hayo ni ya Nyerere na Okello?
Tatu, kwanini Waunguja waseme Wapemba hawana elimu, wapemba waseme wao ni bora kwa rangi na nywele.
Kama si CCM kulazimisha wakati huu ni lini Pemba iliwahi kutoa kiongozi, na unadhani ni kwanini.
Mimi nimesihi kote huko najua vema kauli, kejeli na dharau, ni suala la muda tu utatambua haya tusemayo
Hawa wanaosema wanaonewa ni hawajui nyimbo wanazoimba. Maswali uliyoweka kuhusu Zanzibar ipi wanaitaka ni mtihani wa degree maana hawajui kuwa adui yao si Bara bali yumo miongoni mwao. Kuna kiongozi mmoja wa Znz anazunguka duniani kuungwa mkono na hoja yake si uchaguzi bali kuondoka ndani ya muungano. Asicho kijua ni kuwa yeye ana nywele za kimanga ambazo hazimruhusu kuwa kiongozi Unguja nyumbani kwa mapinduzi.
Huku mitaani naishi na wznz, hawa ni watu wa kawaida na wanaendesha maisha yao bila wasi wasi, wao muungano ni sehemu ya neema kwani wakienda bahari wanaleta pweza, wakirudi znz wamebeba viazi, watoto wanakwenda shule wanatibiwa n.k. kundi hili hawaoni Znz ya pepo yenye mito ya maziwa na asali bali Znz ya juhudi zao na fursa ya muungano.
Kuna kundi la wale waliosoma vitabu na kuamini kuwa Znz ya enzi hizo ilikuwa ni bora sana, znz ya sultani kwani tende, halua na mchele vilipatikana bure kutoka uarabuni. Kundi hili linaungwa mkono na wafanyabiashara kutoka uarabuni wanaotaka kurejesha usultan kwani nao wanatamani zama za usulatan wao a.k.a znz yao.
Na mwisho, ni kundi la hawa walioko nje. Wanaamini wana elimu sana ya kuweza kugeuza Znz kuwa kisiwa cha matunda, maziwa na asali. Wanaamini kuwa kwa vile wanaweza kuongea kiingereza hiyo ni elimu tosha inayoweza kuleta mabadiliko, na kuondoka katika muungano ni fursa yao kuwa mawaziri na makatibu wakuu. Ndio wanaoonekana katika internet, lakini waulize maswali mawili au matatu, hawana majibu ila matusi, kashfa(mzalendo.net), wao imani yao imejikita katika mafuta, misaada kutoka uarabuni na wanathubutu hata kusema Mzanzibar hahitaji visa kuingia Oman! yaani visa ya Oman ni kitu muhimu sana kwa maisha yao.
Wapeleke mswaada wa kura ya maoni ili warudishe nchi ya neema, nchi ya kusadikika, yenye mito ya asali, na mabwawa ya maziwa.
Matatizo ya kifamilia yapo katika kila jamii...Hata watoto wa familia moja kila mmoja hua anapendelea apendwe zaidi kuliko mwengine. Pamaja na yote hayo , waunguja na wapemba wamekua wakiishi kwa amani miaka yote. Mbegu za chuki zimetokea Tanganyika, na huo ulikua ni mpango maalum wa kuwagawa wa Zanzibar ili watawaliwe kirahisi.
Familia za Kipemba na Unguja zinaowana na zinaendelea kufanya hivyo mpaka sasa. Dini moja ,mila na desturi moja , tofauti sana na mnanyo jaribu kupandikiza. Wazanzibari wanamjua nani adui yao leo, kile kipindi cha kupandikiza chuki kimepita. Katibu mkuu mpya wa CCM alikwenda Zanzibar majuzi, anawambia wana CCM kama watalinda mapinduzi...Hapo hapo,amesahau kama wazanzibari kama wamshachoka na kauli zisizo na manufaa kwao. Waandishi wa habari walitaka kumuliza masuala ya katiba na kuhusu kura ya maoni, amekimbia na kukwepa masuala. Hii ndio sura yenu. Kile cha moyoni mnakificha, lakini sio zama hizi tena. YOU CAN FOOL SOME PEOPLE SOMETIMES ,BUT CAN NOT FOOL ALL THE PEOPLE ALL THE TIMES...
Kuhusu kauli za nani ana elimu nani hana ...hayo ni maongezi ya mitaani hayana ugomvi wala chuki kama wewe unavyotaka tuamini. Ni sawa ya hapa Tanganyika ya mazaramo kumtania mnengereko kila mmoja anaona yeye mjanja lakini hapigani kwa hilo.
kuna THREAD MPYA , nadhani Makaimati ameiweka , jaribu kuipitia labda kama atapenda unaweza kuelewa kilio cha wazanzibar, Kuna maneno ya ambae sasa ni mwanasheria mkuu wa Zazibar. ALI OTHMAN MASOUD... NAOMBA MAONİ YAKO BAADA YA KUIPITIA.
Wanzibari wasasa sio wale wa zamani, sio muda mrefu mbivu na mbichi zitajulikana....HIZI SIO ZAMA ZA NYERERE...MPAKA KIELEWEKE.
What Do you mean?Hakuna Zanzibar nje ya Muungano!
Umesema Ukweli Mkuu nakuunga Mkono sasa kwa maelezo yako wataka iweje? Muungano uvunjike au La?
hakuna zanzibar nje ya muungano! Nakumbuka kisa cha binti kumwambia mamaye kua "ungechelewa ningekuzaa"...
hakuna tanzania nje ya muungano!!!wazanzibari wakifanikiwa kuvunja muungano jina la tanzania litakufa na mutabakia na jina lenu halisi la tanganyika...zanzibar itabakia kuwa jamhuri ya watu wa zanzibar DAIMA NA MILELE
Takashi
Serikali tatu au Muungano na ufe....enough is enough...