Diaee Sirae by tabu ley or rochereau (RIP)Nautafuta sana Wimbo wa 20% Ft Dulky Sykes Ana Ana Doo Mambo Bado
SawaDiaee Sirae by tabu ley or rochereau (RIP)
Kam unao nauomba nduguMike T ft Ferooz - Mnyalu
Hahahahaaaa ni Ridin Dirty.Mimi kwa kweli nautafuta wimbo wa chamillionaire unaitwa mandrole kama sijakosea ni rapper fulani mda sana sijaupata kweny platfom kibao
Jamaa anakimbizwa na askari izi anakamatwa kweny fance anakadamizwa kupigwa pingu kama kuna mtu anao naomba anitumie video
Hahahahaaaa ni Ridin Dirty.
Anaitwa chameleonear_riding dirtMimi kwa kweli nautafuta wimbo wa chamillionaire unaitwa mandrole kama sijakosea ni rapper fulani mda sana sijaupata kweny platfom kibao
Jamaa anakimbizwa na askari izi anakamatwa kweny fance anakadamizwa kupigwa pingu kama kuna mtu anao naomba anitumie video
Haahaa safi sana mkuu,mapini mazuri sana ,Ridin Dirty inanikumbusha mwaka 2005 wakati imetoka ,Kuna msela wangu huwa namkumbuka sana alidanja ,mdogo wake ndio aliyenipa hili pini kwenye flash wakati linatoka.Nimeupata aisee nimekumbuka mbali sana 🤣🤣😂😂🤣hizi ndo ngoma zangu huwaga sijua chrisi brown, tyga , drake sijafuatilii kabisa hawanivutii labda diamond
Ngoma zangu zile za kale marekani
Kama church hearthen - shaggy
Give me- shaggy
Dilema -nelly
Ludacris - get out the way
Miss independent - neyo
Shakira na wycle - hips don't lie
Bow wow - hold me
Wakaina r kelly 😉😁😆😉😁😆