Kuna wimbo nilishawahi kuuomba naona kimya mpaka leo ni wimbo wa hot pot family aliyeimba sijui in sogg dog hanter au Suma g ameimba kama kigugumizi fulani unaimbwa hivi maneno yake " ha ha ha hanana do....hotpot....kamili gado...mh mh mambo bado....mh mh mmh" Halafu kiitikio pia anaimba kwa kigugumizi na verse kwa kigugumizi pia koo na wengine mwenye nao tafadhali auweke hapa
 
Wakuu kuna nyimbo 1 ya jamaa wa kenya anaitwa Lenny km sjakosea, chorus yake ni "sasa bebigal, sio kamdigida nataka nikutach, nimekutafuta kwa shidaa sio kamdigida nataka nikutach"

Nna miaka zaid ya 5 nausaka huu wimbo bila mafanikio

Cc KIOO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom