Maelekezo hayo mkuu hapo hatua ya mwisho unaingia kwenye audio unasend tu broo
Screenshot_20181221-221500.jpeg
Screenshot_20181221-221521.jpeg
Screenshot_20181221-221533.jpeg
 
Jamani kuna huu wimbo, ni wakitambo hvi.. Miaka kama 2007,2008 ilibamba sana.. So naomba jina
la wimbo na wasanii waloimba, maana yupo Boy na girl..
Nafahamu kiitikio tu cha huyo girl
"Mwenzio naogopa.. Naogopa nitajikata mie.. Huuuuu uuuuumama"
Jamani, hz ni fani za watu me siwezi kuimba ila nadhan mtakuwa mumeupatapata huo wimbo..
hicho kibao kinaitwa "asali" ..artist Dr kareem
 
Hii namba nmeichek kule kwenye lile group la whatsapp,,la oldskool bro,,kule tayal waliishusha album yake yote ya ally mbogo,,search kule utzpata zote,,mm pia nimeztoleaa kule
Yeah nipo kule ila kuna raia kafuta madini yangu yote kwa simu yangu sasa kuwaambia wana kule kwa group la oldskuli wazitume tena naona kama usumbufu broo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom