Wakuu,
Miaka kadhaa huko nyuma katika tangazo la kipindi cha Nirvana EATV kulikuwa na beat fulani hivi kutoka katika wimbo ambao jina lake siukumbuki.

Naomba kwa aliye familiar na huo wimbo anipe jina lake.

NB: Huwa nahusisha wimbo huo na somebody Juliana...

Shukrani.
 
Kuna wimbo nimeutafuta sana...ni wazamani kidogo ni Bongo flava.. unaitwa BALAA/ WATU BALAA
KiitikioWatu balaa x2 ( kerooo)
Kuna mstari wanaimba
Kuanzia leo watu balaa,
Kukiwa balaa keroooo
MSAADA JAMANI NIIUPATE HUU WIMBO
 
WADAU NAOMBA WIMBO WA WATEULE MTAANI KUNA NJAA UNAOFIKA MPAKA MWISHO ULIOPO YOUTUBE HAUFIKI MWISHO.
MSAADA WENU NDUGU ZANGU.
 
Kuna wimbo tulikuwa tunauona zamani sana kwenye video sina uhakika kama ni wa hussein jumbe au vp...jamaa anaimba kuhusu kumpa talaka mwanamke ambaye anaonekana yypo bize sana kishangingi zaidi badala ya kujali ndoa.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom