Simply Kaiza
Member
- Nov 7, 2017
- 36
- 24
Wee kweli New Member karibu sana JF...!
Haha Kaka Mie Nipo Since 2012 Sema Nikaja Potea Miaka Kama 5 Hv Badae... Naomba Nisaidie Hizo Ngoma..
Wee kweli New Member karibu sana JF...!
Nakazia hapa mkuuu naomba huu wimboWakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale
Naomba mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA
Ktk albam yao ya ETAT MAJOR kama atakuwa nazo hata zote.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu
Nakazia hapa mkuuu naomba huu wimboWakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale
Naomba mwenye nyimbo za EXTRA MUSICA
Ktk albam yao ya ETAT MAJOR kama atakuwa nazo hata zote.
Natanguliza Shukrani zangu kwenu
Wimbo unaitwa Kazeze Jamaa anaitwa OCG,,usearch hapa utaupata,tayali walishauweka hapaKioo natafuta wimbo flani ukipigwa sana RFA miaka flani, jamaa anasikika hivi "oooh jamani eeeh sikilizeni niwaeleze hayaaa, oooh ukimwiii........", msaada please.
Mm mwenyewe wiki ijayo nataka nimsupport Maalim,niinunnue hii Diwani Ya MaalimMkuu kuna ngoma za Nash niliziweka hapa wadau wakaweka hoja za msingi kuwa tuwa-support kwa kununua album za Hip Hop ni kama Elf 7 au haizidi Elf 10 ili wafaidi matunda ya kazi zao kama kweli tunaipenda na kui-feel Hip Hop mkuu.
Unafikiriaje hiyo hoja ya wadau unakubaliana nayo mkuu...? Au...?
Naomba wimbo wa Mimi wa OtenPA1.
Mm mwenyewe wiki ijayo nataka nimsupport Maalim,niinunnue hii Diwani Ya Maalim
Daaaaah umetisha mpaka basi mkuu. Notifications za kutosha mtu mzima much respekt Buddah.
Much Love Bro...!
Thank Bro!!much respect to you,,unatisha sana mzee,,,Mungu azidi kutupatia afya bora na yenye uzima tuzidi kufurahia haya mangoma mzee
Threads Zote Hadi Ya 432... Nimepata Ngoma Nyingi Ambazo Nilikuwa Nazihitaji.. Ila Nahitaji Sana Ngoma Za K Sal Jamaa Aliyeimba Mkiwa Na Feruz Na Umeondoka MamA Rmx Ya Afande Sele Ambayo Kaimba Ditto Peke AkeHuu ni Uzi Maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
View attachment 628965