Wakuu isha mashauzi ananyimbo inaitwa
Mapenzi hayana dhamana naitafta sana
Iliyopo neti inapiga upnde mmj wa spk
 
Cosmas Chidumule - Hosanna Original,

ukisearch google na youtube inakuja hosana amabayo si wimbo wa hosana.
Aongezee na wimbo unaitwa moyo wangu uwe na subira moyo subiri kwa bwana. Hapo chidumule alitambaa na maneno hatari
 
Siujui jina lakini una chorus ina maneno “tulia wangu mpenzi tulia, tulia nami nipate tulia...
 
Kuna wimbo sijajua aliimba nani baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo
I'm sorry mamii nateseka moyoni
Nimetekwa kimahaba na huyu jini mahaaba
Ooooooh raaziz ooooooooh kipeeeenzi oooooh sweeeet mwenzako sijiwezi
Mwenye nao anisaidie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom