Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 73,819
- 225,609
Kwani sasa husali!??Thanks, kuna nyimbo za zamani nilizokuwa nazisikiliza kipindi ni mdogo.
Naanza pia kuzikiliza ili zinipe inspiration ya kusali tena.
Kwani sasa husali!??Thanks, kuna nyimbo za zamani nilizokuwa nazisikiliza kipindi ni mdogo.
Naanza pia kuzikiliza ili zinipe inspiration ya kusali tena.
Mack amua ft chid benz
Kuna nyimbo ya Chid benz ft Ngwea ... achana na Speed 120 ipo ngoma moja ya zaman.. Ivi... Mc nimetoka mbali nio kwenye safari ..... msaada
Justine kalikawe Panapofuka moshi
Kwani sasa husali!??
Chindo & G Nako - Rihgt Here
- Bado Muda Kidogo
Ni vema ukirudiMambo ya dunia tu na ujana, ila sasa najiona kabisa nahitaji kurudi kanisani.
Niko in good spirit now.
Hawa wanaitwa ulyankuru barabara ya 13 arusha, "vumilieeeni iiiiiiiiii iiiii, vumilien hiiiii hiiii,. Wimbo mwingine wakt ule wa nuhuuuuuu.Wapendwa tumsifu Yesu Kristo.
Natafuta wimbo wenye lyrics zifuatazo:-
Yesu alipokuwa ameketi mlimani mizeituni,
Wanafunzi walimwendea wakimuuliza,
Tuambie mambo haya yatakuwa lini,
Nazo ni dalili gani za kuja kwake.
...
Nikipata MP3 au link ya YouTube itafaa pia.
Amani iwe nanyi.
Mkuu namba 1 na 5 umenikumbusha mbali sana
Hilo group linapatikanaje?Hizo nilizipata bongo old group la whatsapp
N furaha mbinguni malaika wanashangilia kondoo mmoja anaporudi kundiniNiko njiani kurudi.
Nimeona ukuu wa Mungu.
Linapatikana jamiiforums kupitia Google kuna link sikumbuki IPO ukurasa wa mia moja kama sijakosea we tafuta utalipata au mtafute rogath atakuelekezaHilo group linapatikanaje?
fundi wangu umeota unachukulia uhai wako na wasiojulikana?Niko njiani kurudi.
Nimeona ukuu wa Mungu.