Ipo hapa hapa, i search kwa jina umeondoka
 
Natafuta bongo flava ya kitambo chorus ulikuwa " ajiraaa ajira kwa watoto noma, tuwapeleke watoto shule ili wapate elimu, elimuu elimu ni muhimu".
 
Wakuu nautafuta sana wimbo unaoitwa KONDAKTA uliochezwa na mwanamuziki Daudi Kabaka kutoka nchini Kenya. Nimeutafuta youtube lakini nimekuta umefungwa. Naomba mdau yeyote aliye na wimbo huu anigaie tafadhali. Asante.
 
Bushoke huyo
 
Natafuta wimbo wa saida karoli kaisiki original you tube haupo kabsa naona mix tape tu na remix
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…