KIOO tafadhali nitafutie kwenye maktaba yako ngoma ya Remmy Ongala na Super Matimila wimbo unaitwa Mariam.
 
Wakuu natafuta wimbo wa pst alex na marry atieno unaitwa nitapigana vita vyma
 
Ule unaopigwa sana kwenye shughuli anazikuwepo Rais, una kionjo flani hivi,

Tanzania yetu ndiyo nchi ya furaha

Nisaidieni wakuu unaitwaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom