John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..
Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo....
Anahitajika rais mwanye jazba,bila kupata rais mwanye jazba hatutaweza kujenga taifa imara kwani kutakwa na mzaha mzaha.
Sijui lini nchi hii atatokea kiongozi wa aina ya sokoine au Agustino Mrema.hawa ndio wangeweza kuleta mabadiliko ya kweli na pia viongozi wa aina hii ni hadimu sana kutokea.