Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Esther Wasira who was one of the main speakers said fear among youths who comprise 60 percent of the total population has provided loopholes for the few dishonest leaders to sign bogus contracts. This is typical EL Richmond scam.

I swear U DON'T KNOW AT ALL what was richmond scandal...!!! You only know the HEADING....

so u end-up discussing & concluding without KNOWING CONTENT....!!! U MASKED UR SELF FROM TRUTH....!!!

Go & Search....!!!

EL ni kafara just to hint you.... know the truth then u can keep quite or argue.....

Na ndio maana wengi HUFELI SANA MITIHANI ... jua ukweli wa somo.... U will pass

Eg kama ww hapa if i accredit you, u get this 00%

STATUS.. F... Failed...
 
Umebugi mzee,
Mi ninacho jua Lowasa analojua ktika nchi ni vijana kuwa ni bomu la taifa , sijawahi kuona anaonyesha vision ya nchi kama wewe unavyotaka kusema. hapo prezdaa ni Slaa tu.

1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji

na vigezo vingine vingi tu.
 
mi sijui kwanini watu wanampenda Lowasa!
labda wengi wameingizwa kwenye malipo yake nasikia anawalipa watu huyu jamaa!
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Hapo kwenye bold na red, nitahama nchi akiwa rais, maana itaonesha watanzania wote ni mazezeta!
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Mbona hakuna muislamu, unataka tuanze kuchomewa makanisa yetu mapema.
 
I swear U DON'T KNOW AT ALL what was richmond scandal...!!! You only know the HEADING....

so u end-up discussing & concluding without KNOWING CONTENT....!!! U MASKED UR SELF FROM TRUTH....!!!

Go & Search....!!!

EL ni kafara just to hint you.... know the truth then u can keep quite or argue.....

Na ndio maana wengi HUFELI SANA MITIHANI ... jua ukweli wa somo.... U will pass

Eg kama ww hapa if i accredit you, u get this 00%

STATUS.. F... Failed...[/QUOTE
What we know remains relevant until Lowasa Publicly declares if not him, who should be blamed for the Richmond Scam? Otherwise Lowasa continues to be the duty bearer of the Richmond scam, and therefore he has no moral authority to lead this country, labda awe mwenyekiti wa CCM itakapokuwa chama cha upinzani na siyo kikiwa chama tawala!
 
ni kweli simjui ila najua si kiongozi mzuri sana hii nchi itakuwa inauchache wa viongozi ndo maana!
Sasa tambua yeye atakuwa mmoja wa wagombea
 
Sasa tambua kuwa yeye ndio one of the proposed presidents in our country. Ukubali ukatae.....

Mkuu nani kampropose!?
Nchi hii haina watu wakutosha kuongoza nchi hii!
 
Back
Top Bottom