Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..

Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo...
Itakuwa una ukaribu sana na mafisadi au ni Fisadi mwenyewe.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa

Namkubali ni Mchapa kazi na mwenye uwezo wa kuchukua maamuzi magumu, ingawa ......:confused2:

2. John Magufuli
Huyu anafaa kazi za utendaji zaidi km U PM unamfaa sana kwa kuwa ni mfuatiliaji anafuatilia hadi nukta ya mwisho.
Anajua urefu wa barabara zote za TZ, zenye lami na zisizo na lami.

3. Dr. Slaa.

Yuko Poa ila natakiwa awe na PM mchapakazi na apunguze jazba za kisiasa:bowl:

Wengine ni porojo tu.
:cheer2:
:cheer2:
 
Kwanini Magufuli munamuogopa?
Sidhani kama anaogopwa, lakini ninadhani kwamba hana simile. Anapaswa kuwa mtendaji, kwa maana ya kwamba akitoa kauli kwa kukurupuka, basi Rais awepo kwa ajili ya kuirekebisha. Ni mfuatiliaji sana na anataka mabadiliko ya haraka kwa kila jambo. Hana simile, sasa mambo mengine hayawezekani kwenda hivyo.

Ni dhahiri Magufuli angekuwa Rais angeshaagiza jengo la TANESCO livunjwe, sasa maamuzi ya level ya urais hayawezi kuwa yanafanywa kirahisi namna hiyo. Anatakiwa tu awe ni mtendaji, tukimpa kazi ya kufuatilia utekelezaji wa ilani, hatapindisha. Na ikitokea akapindisha, Rais atarekebisha. Sasa niambie yeye ndo Rais halafu amewaambia watu wapige mbizi kama hawawezi kulipa nauli. Tell me wananchi wamemjia juu what will happen?

Labda mtu ambaye ningesema ana staha nzuri na umakini mkubwa naweza kusema Mwakyembe. Lakini Magufuli, hapana. Yeye afanye kazi katika level ya mtendaji mkuu (PM).
 
Nimeipenda sana hii ingawa Binafsi Ningependa sana
1.Dr. Azaveri Rwaitama wa UDSM au
2.DR. Dau wa NSSF
Duh, mkuu unamfahamu vizuri Rwaitama wewe au unamsikia tu? Alishindwa kuongoza UDASA ndo ataongoza nchi? Hata umpe kijiji hawezi kuongoza. Yeye ni political analyst na si kiongozi!
 
Slaa ni nambari wani, EL mnataka nini kwake? chaguzi zote ndani ya ccm amewekeza mamilioni ili kutengeneza mtandao wa 2015, ni fisadi na mnafiki mkubwa. Magufuri kipindi cha Mkapa, aliuza nyumba za serekali, kamuuzia hata hawara yake na mdogo wake.
 
Hapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
Hawa wawili ni madokta wa ukweli. sasa huyu Lowassa sio dr. asomee hiyo PhD asije akajipatia ile feki kama ya jmk
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu......

Masahihisho:
1. Hon. Edward Lowassa
2. Hon. Dr. John Magufuli
3. Dr. Wilbroad Slaa
 
Ikiwa ni ndani ya CCM yeyote anaweza kuwa rais kwa vile hakuna mabadiliko yoyote yatatokea kiutawala endapo ni CCM itaendelea kutoa marais. Hata ungemleta Obama akawa mgombea wa CCM angekula na serikali ya wala rushwa tu!

Nasubiri mjadala wa nani anafaa kuwa rais baada ya kujibiwa ni chama gani anawakilisah!

......

Mkuu, kwa sasa kigezo cha kuwa rais siyo CHAMA chake tu bali na DINI yake pia. Wengi mtapinga lakini ukweli utabaki pale pale.
 
Rais - Edward Lowassa
Waziri Mkuu - John Pombe Magufuli
Makamu wa Rais - Dr. Slaa
 
......Tafadhali weka CV zao kwanza ndiyo tuendelee na mjadala...unaweza ukakuta wengine hapa wana Phd za KIPAIMARA....
 
John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..

Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo...

we ni wivu na nia agent unajulikana hata kama hafai mchango wako unaonyesha umetumwa unasifia na kuponda eti afadhali tunaiona kazi yake...
 
Lowasa mtendaji na hamuonei aibu mtu,alimchengia Sitta hakuamini macho yake,alimuomba amjengee ofisi ya Uspika yenye hadhi Uramo,akamwambia hapana akitokea Spika sehemu nyingine , tujenge tena? Pinda kwa upole wake akamjengea,ombi lingine lilikuwa ving'ora msafara wake, akamwambia sheria ya Jumuia ya madola hairuhusu,ni viongozi wakuu tu.Sitta akamjibu kwa mkato "SAWA KAKA TUTAONANA , JK TUMEMUWEKA WOTE"
 
Jaman kuna mtu kaleta point apa. Dr slaa asipokuwepo basi lowasa aingoze tz. Watu hawa wana uamuz wa kwel. Ila tunapaswa tupate mchanyato yan au dr slaa rais,maguful pm,mwakyembe katibu mkuu,zitto fedha,lowasa ulinzi,dah,tungepata nchi yetu iitayo Tanzania.
 
Ukifuata hotuba za NYERERE , SLAA hafai kabisa, ukija na dhambi ya ubaguzi, dhambi hiyo haitakuacha, Rais anayepata ushauri kwa mke wake hatufai kabisa.
Tatu bora yangu:
1. Rostam Aziz
2. Edward Lowassa
3. Zitto Kabwe

hawa watauza nchi na kuibadili jina kuwa KULA-NIA!!
 
Back
Top Bottom