Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Wewe ukakuwa mkenya huyo babu EL ni hatari kwa nchi 2015hii kuliko Nduli Amini 1978
 
1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji

na vigezo vingine vingi tu.

Mtoa hoja ebu fafanua vizuri katika kipengele cha uchapa kazi kwa watajwa hapo juu,sina shaka na utendaji wa EL na Magufuli kwani wameshashika nafasi mbalimbali kama viongozi waandamizi serikalini na utendaji wao umeonekana.Ebu nisaidie kwa upande wa padri Slaa ukija na mifano au vigezo vya kunishawishi kuamini utakuwa umenitendea haki.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Kikubwa kinachofanya watu wayapendekeze hayo majina ni uoga uliopo miongoni mwetu and being afraid of the unkown ndio tunaona bora ya 'Zimwi likujualo alikuli likakwisha'.

Lakini kwa hali ya sasa yanchi, kwa kweli anahitajika a serious social reformer mwenye huwezo wa Nyerere (au unaomkaribia) kwenye kujenga jamii yenye kuheshiama sio kwa kuhubiri tu bali kwa vitendo (including a zero tolerance approach).

Nchi inahitaji kiongozi mwenye huwezo wa kujua dira letu la uchumi linaelekea wapi, kuanzia kujua jinsi ya kutengeneza social classes equally (akijarabu kumpa kila mtu nafasi) na wenye huwezo ndio wapande madaraja kwa haki, jinsi ya kujenga uchumi wa taifa letu kwa kujitegemea na si kuomba omba kama wagogo, jinsi ya kutumia mariasili kwa faida ya taifa na si hizi hadithi za tukiingia madarakani tutavunja mikataba (hizo ni hadithi za hali nacha na zinakuja na outside consequences hawawezi fanya hivyo kamwe). We need an expert in modern economy.

Tunahitaji kiongozi mwenye uelewa wa diplomasia hili haweze jibizana huko ugenini kwa maslahi ya taifa lake kama hayati Nyerere alivyokuwa, kiongozi hatakae rekebisha na kuzuia mirija ya unyonyaji nchini na afafanue hizo njia.

In short kuna mengi wanaotaka kuwania uraisi wa Tanzania watuelezee, hivi atuchoki kuwa wapambe tu kila siku kisa jamaa wanajua kuongea be it wanachokiongelea akina uhalisia kwenye kutatua matatizo yetu ya muda mrefu, fisadi anaweza fungwa what next are we saying sera zilizopo zitatutoa kweli tukimaliza ufisadi ama ni ushabiki tu.
 
Nina shaka kama ilivyo kwa watanzania wengi, ubora wa kiongozi unaupima na kujitokeza kwao kufanyia kazi kwenye media zaidi. Hususan Magufuli, maamuzi na vitisho kwa makandarasi anatoa mbele ya kamera za TV. Ndio tunaita utendaji makini. Tuanze kujizoeza kuona kanuni na sheria zikitekelezwa kwa kuona vitendo bila hata ya kusikia kiongozi akipayuka kwenye media. Inakuwa kama akina Kova ambao kila kukicha wanatuletea habari za kukamatwa majambazi na silaha zao, wabeba madawa ya kulevya, n.k. lakini hawaonekani tena kutufahamisha kama kesi zimeishia wapi.
 
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya nchi yetu EL anaweza kuchaguliwa na chama chake kwa sababu wengi wao wamekosa uzalendo na wamekuwa ni wanaotumikia matumbo yao kila kukicha. Hatushangai kwa wanaojitokeza kumshabikia kwani hata ndani ya chama chao wapo wengi tu wanaoamini kuwa ndio chaguo la maana. Ila nawasihi watanzania kuwa tutakuja juta na kusaga meno kama chama chake kitamfanya kuwa mgombea wake na kwa kutumia mamlaka ya vyombo vya kiserikali akawa raisi wetu.

Sijui watanzania tunahitaji nini kuona kuwa mtu huyu ni hatari kwa mustakabali wa maisha na maslahi ya walio wengi. Kwani kama amekuwa akituhumiwa kuwa si msafi, ni fisadi ndani na nje ya chama, ni kipi kinachowafanya mshindwe kuelewa mpaks kila siku mnatupigia kelele na huyu mtu? Hivi katika watz wote zaidi milioni 40 hakuna mwengine zaidi ya EL? :A S angry:

Kweli mkuu NIWASHANGAA SANA WANAOMTAJA HUYU Mtu ni hatari sana kwa hili taifa UVCCM, uwt na Wazazi kote yeye ndiye mtu aliyetumia sana rushwa kuliko wengine hata raisi ameishia tu kulalamika bila kumchukulia hatua hivi hawa anawatumia kutoa Rushwa na sasa Hivi akija kuwaweka kwenye vitengo nyeti vya taifa ataweza kuwaambia waache kunyanyasa wanyonge kwa kuiba pesa zao kweli. MIMI NASISITIZA TATIZO KUBWA NI MFUMO ccm wametengeneza mtandao wa kuneemesha wachache na kufukarisha walio wengi haifai TENA.
 
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya nchi yetu EL anaweza kuchaguliwa na chama chake kwa sababu wengi wao wamekosa uzalendo na wamekuwa ni wanaotumikia matumbo yao kila kukicha. Hatushangai kwa wanaojitokeza kumshabikia kwani hata ndani ya chama chao wapo wengi tu wanaoamini kuwa ndio chaguo la maana. Ila nawasihi watanzania kuwa tutakuja juta na kusaga meno kama chama chake kitamfanya kuwa mgombea wake na kwa kutumia mamlaka ya vyombo vya kiserikali akawa raisi wetu.

Sijui watanzania tunahitaji nini kuona kuwa mtu huyu ni hatari kwa mustakabali wa maisha na maslahi ya walio wengi. Kwani kama amekuwa akituhumiwa kuwa si msafi, ni fisadi ndani na nje ya chama, ni kipi kinachowafanya mshindwe kuelewa mpaks kila siku mnatupigia kelele na huyu mtu? Hivi katika watz wote zaidi milioni 40 hakuna mwengine zaidi ya EL? :A S angry:

Kweli mkuu NIWASHANGAA SANA WANAOMTAJA HUYU Mtu ni hatari sana kwa hili taifa UVCCM, uwt na Wazazi kote yeye ndiye mtu aliyetumia sana rushwa kuliko wengine hata raisi ameishia tu kulalamika bila kumchukulia hatua hivi hawa anawatumia kutoa Rushwa na sasa Hivi akija kuwaweka kwenye vitengo nyeti vya taifa ataweza kuwaambia waache kunyanyasa wanyonge kwa kuiba pesa zao kweli. MIMI NASISITIZA TATIZO KUBWA NI MFUMO ccm wametengeneza mtandao wa kuneemesha wachache na kufukarisha walio wengi haifai TENA.
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Hapo namba 1(moja),hali yake ya afya mnaijua kwa sasa? Tuwe tunaandika mambo kwa reasons. Toka alivosema yupo teyari kwa vita(rejea kampeni za kumtafuta mbunge wa Arumeru mashariki) Je umewai msikia akiongelea afya yake?
 
1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji

na vigezo vingine vingi tu.
hawa wawili yaani Lowassa na Magufuli wamekuwa kwenye hii serikali ya CCM kwa nyakati tofauti wakibeba maamuzi mazito -- tujadili nini ni walifanya / wamefanya hadi tufikie hatua hii ya kuona wanafaa kabisa kuongoza nchi yetu.

Magufuli anaonekana ni mtu mwenye msimano lakini kumbukeni alivyoumbuliwa na waziri mkuu kuhusu vunja vunja na waliojenga pembenzoni kwa barabara kuu

Lowassa bado ni kitendawili kama alishiriki dili la richmond au alitumiwa tu kama chambo

Hakuna ubishi juu ya utendaji / uadilifu wa DR. Slaa
 
Urais urais, we are seek and tired tuongelee issue zingine jamani. Tuchambue sera za vyama na kuona uwezo wa viongozi wa chama kuzisimamia sera hizo. Names are useless at this point.
 
Hapo ni wawili tu, kumpigia kura Slaa ni sawa na kutupa kura yako chooni
 
Nani kasema Mungu??? Ila kwa taarifa yako wengi wanamuamini hadi sasa.....na itachukua muda mrefu watu kumsahau...
Ndio uhuru wa kuabudu endelea kuwa muumini wa mtume Nyerere,ni wendawazimu kuamini kila alilosema Nyerere lilikuwa sahihi au leo taifa la Tanzania haliwezi kwenda bila yeye.
 
Kampeni za urais tunaziendeleza; bila upande wa pili kung'amua !
 
Kwa 3 hao nakubaliana na EL. Magufuli anafaa u-PM. kwangu mie CCM wakimuweka EL nitampigia, Chadema wakimuweka Zitto nitampigia.
Kwa hali tuliyofikishwa na JK, tunahitaji rais dictetor, atakayerudisha hadhi ya rais, atakayesema acha unaacha mwenyewe, atakayenda ziara mikoani wenyeji watetemeke, vile hawajui siku wala saa, watabaki wasafi.
Namkubali EL bila kujali yeye ni fisadi au la, ila ninachoamini ni kwamba ataizalishia Tz kingi sana na (kama mwizi/fisadi ataiba sana ila ziada itakayobaki itakuwa kubwa sana kuliko kumchagua mtu msafi halafu hazalishi na hana uwezo wa kusimamia wezi, kama ni mwiz, wahenga wakasema ukitalka mtoto wako abaki salama, mpe mchawi!
Magufuli anafaa kwa kuwa naye anaweza ku-dictate, ila relatevely, anazidiwa na EL kwa maana EL ana kadiplomatic fulni.
EL - Hata Joyce Banda asingethubutu kuleta utata, awaulize msimamo aliokuwa nao akiwa waziri wa maji wamisri walipotaka tusiwape wasukuma wa mwanza, shinyanga, kahama maji ya lake!

Zitto yuko juu ya Dr, Dr anarusha tu naweza kusema umbeya anaopewa (Sorry umbeya means taarifa, kutaja mafisafi bila kuogopa mi naona sio kige\o cha kiongozi bora, ila Zitto anajenga hoja ya focus kiuchumi na siasa zenye maslahi ya kitaifa, basedkwenye sera and national focus na sio kujadili mafisafi mikutano yote!

yes, ni EL, Zitto, Mbowe, magufuli resp.
 
Ondoa namba 3, weka ZITTO ZUBERI KABWE. Babu amebakiza siasa za kukashfu tu hana tena sera huyo.

*NDO KAKUFUNDISHA NENO FISADI,KAKUTOA TONGOTONGO,hivyo hapo ulipo ushafaidishwa na kuelimishwa nae fisadi mkuu kakupa nini?*
 
Hapo kwenye red huyu mtu ni hatari kwa visasi hafai kuwa na maamuzi ya mwisho juu ya mustakabali wa nchi kwa kuwa atakayetofautiana naye kwa mtizamao anaweza kuishia jela kama Dk Slaa hatakuwepo ni bora hata ya Lowasa na ufisadi wake kuliko Magufuli
Si kweli mkuu ni mchapa kazi na mfuatiliaji nzuri wa taratibu na
sheria ambazop mmekubaliana, labda hilo la kutopindisha sheria
ndilo linalokufanya umuone mtu wa visasi.
 
Back
Top Bottom