Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

Ni watatu tu wanaofaa urais 2015

list yangu ni hii!
1. maji marefu
2. dovutwa
3. le mutuz.

Dovutwa ana sera moja tuu nayo ni kuwa atajenga kiwanda cha silaha ili kuepusha taifa na gharama kubwa za kuagiza silaha toka nje ya nchii ..........hi sera ni matata kweli kweli....
 
John Pombe Magufuri hafiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa kuwa raisi, ana jazba sana, anakurupukaaaaaa sana, ana kisasi sana hata na yeye ni mwiziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, ila anakula na kupuliza, angalau tunaiona kazi yake..

Halafu hata na yeye ameanza kuumwa umwa, nchi hii ni masikini na tuko nyuma, tunahitaji raisi mwenye akili sanaaaaaaaaaaa, mwenye afya bombaaaaaaaaaa, mchapa kazi sanaaaaaaaaaaaaa, atutoe from point A to point B kwa umakini sana, tunahitaji uchumi ukuwe, employment zipatikane kwa wingi, hospital, maji safi, barabara etc, etc, siyo lele mama na mchezooo...

kaoge jombaa unanuka
 
huyoo wa kwanza hatufai kabisa watz ila kwakuwa tumeshawajua enyi mafisadi endeleeni kumtaja kila kukicha kwenye jf kwani pesa yake ya kutuingiza mikataba ya hovyo ndo inayowafanya muone anafaa kuwa raisi. Ni maamuzi gani magumu aliwahi kuyafanya katika kipindi cha uongozi wake ktk nchi yetu? Kama si kutuingiza kwenye hasara na umasikini kwa mikataba yake ya kifisadi. Naomba myataje maamuzi magumu na vision aliyonayo kama si kupewa hela mmpigie debe jf???[/Q

Hata wewe umepewa hela uje umchafue Lowassa hapa JF. Ajabu ni kwamba watu wanatumia houba ya Nyerere kumkataa Lowassa, wakiambiwa wathibititshe ufisadi wake hawawezi. Wanaishia kuzungumzia Richmond lakini hawazungumzi Symbion iliyotokana na Dowans. Kama hamtaki awe Rais basi tumchague Pinda ambaye hana kashfa na wala hakutajwa na hotuba ya Nyerere. Hapo ni watu wawili tu either Dr Slaa au Edward Lowassa
 
huyoo wa kwanza hatufai kabisa watz ila kwakuwa tumeshawajua enyi mafisadi endeleeni kumtaja kila kukicha kwenye jf kwani pesa yake ya kutuingiza mikataba ya hovyo ndo inayowafanya muone anafaa kuwa raisi. Ni maamuzi gani magumu aliwahi kuyafanya katika kipindi cha uongozi wake ktk nchi yetu? Kama si kutuingiza kwenye hasara na umasikini kwa mikataba yake ya kifisadi. Naomba myataje maamuzi magumu na vision aliyonayo kama si kupewa hela mmpigie debe jf???
Hata wewe umepewa hela uje umchafue Lowassa hapa JF. Ajabu ni kwamba watu wanatumia houba ya Nyerere kumkataa Lowassa, wakiambiwa wathibititshe ufisadi wake hawawezi. Wanaishia kuzungumzia Richmond lakini hawazungumzi Symbion iliyotokana na Dowans. Kama hamtaki awe Rais basi tumchague Pinda ambaye hana kashfa na wala hakutajwa na hotuba ya Nyerere. Hapo ni watu wawili tu either Dr Slaa au Edward Lowassa
 
jamani mie lowasa hata mia yangu achukue tui lakini nampendaaaa wacha kabisa mwingine dr. slaa huyo magufuli anapenda sifa sana aende zake
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Kwa issues they stand for? Kwa personalities zao? Ungefunguka kidogo ingechangamsha mjadala zaidi, hasa iwapo utaunganisha kila mgombea na key issues wanazosimamia na jinsi gani zinawagusa moja kwa moja watanzania walio wengi, vinginevyo the very same thread itakuwa ni porojo tu;
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.

Migiro au membe kama ni CCM

Jepesi, bunduki au Mboowe kama ni CDM
 
Katika viongozi waliopo sasa hapa nchini kwetu haijalishi ametokea chama gani, wafuatao ndio wanaofaa kuwa rais mwaka 2015:

1. Edward Lowassa
2. John Magufuli
3. Dr. Slaa.

Wengine ni porojo tu.
Rais wa wapi labda wa Nyumbani kwako. Hao ndio uliowachagua wewe na familia yako.
 
hv kwel mnaomshabikia EL mnawaza nn? yaani kashfa ya 152 milion per day iliomtoa madarakani hamzioni? nafkiri kawahonga ndo maana mwampigia chapuo. Mafisadi hawatakiwi kabisaaaaaa
 
Kwa sasa hii nchi inahitaji kiongozi mwenye udikteta kidogo na mwenye kuthubutu.
Tumewaona hawa viongozi wanavyothubutu.
Kwa mfano hawa wawili Slaa na EL wamesimamia sera nzuri sana za maendeleo.

Nimekuwa nikimsikiliza EL akiongelea sana kuwawezesha vijana wanaomaliza chuo kwa kuwapatia miradi ili wautumie ujuzi wao kwa maendeleo ya nchi.

Kusema kweli sera hii ili nigusa sana.

Kwa updande wa Slaa pia naye anasera nzuri sana za maendeleo ya nchi.
Moja ya sera alizo nazo ni kupunguza bei ya vifaa vya ujenzi ili kila mtanzania aweze kununua na kujenga.
 
1. Wote hawa ni wachapa kazi
2. Wote hawa wanamsimamo.
3. Wote hawa wana vision na nchi
4. Wote hawa wanamaamuzi magumu kwa maendeleo ya nchi.
5. Wote hawa wakotayari kusimamia sheria kwa watendaji

na vigezo vingine vingi tu.
Hamna wezi humu kweli?
 
Back
Top Bottom