ToniXrated
JF-Expert Member
- Sep 21, 2022
- 1,135
- 2,977
- Thread starter
- #61
Duh mkopo sio haram ila mkopo wenye riba ndani yake ndio haram...upo?!Amini nakuambia, tofauti na muislamu mwenzako, hakuna mkopeshaji asiyependa riba. Kwa andiko lako maana yake ni kwamba, hata akikupa sehemu ya pesa yake bila kukutoza riba (asiye muislamu) lazima kuwemo na riba aliyowatoza wengine.
Nachelea kusema, MKOPO NI HARAMU KWAKO