Ni wapi naweza kupata Kiwanja cha chini ya milioni 4 kwa Dar es Salaam?

Habari Wana JF,

Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4

Vigezo;
  • Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
  • Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
  • Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Njoo kisemvule nikupe viwanja chenye ukubwa wa futi 50 kwa 80 na chenji inabaki usafir wa mjini upo ni umbali wa mbande tu mbagala tu 0716671919 whssp
 
Kuna maeneo ya Kisemvule nayafahamu unapata kiwanja tena kikubwa tu kizuri hakipo bondeni na kimepimwa. Pi pameendelea maji umeme na daladala zipo.

Ila ndani ya Dar es Salaam mmmmmh ni ngumu sana.

Naishi Dar ila kwa maeneo nayoishi mm bila Mil 15 na kuendelea wala usifikirie kuhusu kiwanja

Karibu
Chamazi, Mbande, Msongola anapata kwa hiyo pesa ni Manispaa ya Ilala jijini DSM.
 
karibu kibaha nje kidogo ya jiji la dsm kuna viwanja vinapatikana mwanalugali 2 km kutoka barabara kuu
10k kwa skweamita1
viwanja vina anzia ukubwa wa 300 sqm kuendelea
njoo pm kwa maelezo zaidi
 
Achana na watu WA jf wwnakukatisha tamaa stop over kimara b ,mbezi ya makabe,msumi,Chanuka,Tabata unapata
 
Habari Wana JF,

Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4

Vigezo;
  • Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
  • Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
  • Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Habari Wana JF,

Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4

Vigezo;
  • Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
  • Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
  • Eneo la kutosha vyuma ya vyumba 3 na choo 2.
Nenda Kigamboni maeneo ya Cheka ay Mwasonge unapata eneo ila mbali na kivuko kidogo
 
Back
Top Bottom