Ni wakati wenu huu tambeni

Ni wakati wenu huu tambeni

Mkuu Fenestra Rotunda, tukimpa JPM muda wa kutosha, the aftermath ni
  1. Tanzania ya viwanda
  2. Tanzania ya Uchumi wa Gesi
  3. Tanzania ya Uchumi wa Kati
  4. Tanzania Donor Country
  5. Tanzania Tajiri
  6. Tanzania isiyo na umasikini
  7. Tanzania isiyo na mariachi
  8. Tanzania iliyofuta ujinga
  9. Tanzania free of corruption
  10. Tanzania isiyo na ufisadi
  11. Tanzania ya neema
  12. Tanzania ya upended
  13. Tanzania ya matumaini
  14. Tanzania ya religion ya SGR
  15. Tanzania ya umeme wa Stiggler
  16. Tanzania ya ATC kama Ethiopian Air
  17. Tanzania ya Barbara za Juu kwa juu
  18. Tanzania ya kutovaa mitumba
  19. Tanzania ya uwajibikaji
  20. Tanzania ya transparency
  21. Tanzania ya demokrasia ya Kiafrika
  22. Tanzania ya haki
  23. Tanzania ya haki za binaadamu
  24. Tanzania ya haki za kisiasa
  25. Tanzania ya haki za kujieleza
  26. Tanzania ya freedom of the press
  27. Tanzania ya Tume guru ya uchaguzi
  28. Tanzania yenye neema ya lila kitty
  29. Tanzania ya chi ya ahadi
  30. Mabomba nchi nzima yatatoa maji, maziwa na asali.
He only needs ample time kuikamilisha hayo tote, kipindi cha miaka 10 ni kifupi, hakitoshi, hivyo muda ukifika huo muda, Watanzania wazalendo wa kweli, watafanya the right decision kwa malachi ya taifa.
P
I dare you kuwa hata akipewa 50 years in power hayo yote hayatatekelezwa,why?transparency and accountability kwake bado saana,we know almost nothing of the government's expenditure kwa kuwa tunategemea CAG ndo awe mwanga katika hili but the guy has shut him down and sarcastically "hate "him na kumnyima access to all important government transactions and expenditures..what do you expect akiwa kwenye power that long??anaweza akafuta kabisa post ya CAG ili kusiwe na checks kwenye mambo yake anayoyafanya...this is really bad abd and sad at the same time.
 
Mkuu Fenestra Rotunda, tukimpa JPM muda wa kutosha, the aftermath ni
  1. Tanzania ya viwanda
  2. Tanzania ya Uchumi wa Gesi
  3. Tanzania ya Uchumi wa Kati
  4. Tanzania Donor Country
  5. Tanzania Tajiri
  6. Tanzania isiyo na umasikini
  7. Tanzania isiyo na mariachi
  8. Tanzania iliyofuta ujinga
  9. Tanzania free of corruption
  10. Tanzania isiyo na ufisadi
  11. Tanzania ya neema
  12. Tanzania ya upended
  13. Tanzania ya matumaini
  14. Tanzania ya religion ya SGR
  15. Tanzania ya umeme wa Stiggler
  16. Tanzania ya ATC kama Ethiopian Air
  17. Tanzania ya Barbara za Juu kwa juu
  18. Tanzania ya kutovaa mitumba
  19. Tanzania ya uwajibikaji
  20. Tanzania ya transparency
  21. Tanzania ya demokrasia ya Kiafrika
  22. Tanzania ya haki
  23. Tanzania ya haki za binaadamu
  24. Tanzania ya haki za kisiasa
  25. Tanzania ya haki za kujieleza
  26. Tanzania ya freedom of the press
  27. Tanzania ya Tume guru ya uchaguzi
  28. Tanzania yenye neema ya lila kitty
  29. Tanzania ya chi ya ahadi
  30. Mabomba nchi nzima yatatoa maji, maziwa na asali.
He only needs ample time kuikamilisha hayo tote, kipindi cha miaka 10 ni kifupi, hakitoshi, hivyo muda ukifika huo muda, Watanzania wazalendo wa kweli, watafanya the right decision kwa malachi ya taifa.
P
Mkuu Pascal mayalla by aftermath nlimaanisha kuwa endapo akitoka madarakani after a lengthy serving then yanaweza yakaanza mambo ya power struggle yatakayoleta machafuko since kila kiongozi atataka "ajimilikishe"taifa hili na kufanya watakavyo more than their predecessors. Angalia sehemu nyingi ambapo viongozi wameextend their term almost always kunatokea machafuko either kabla au baada ya kiongozi husika kutoka madarakani which is not healthy kwa wanaojielewa wa karne hii.
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Viwanda kwa policy na strategy gani mkuu?

Viwanda ni issue global ,tumefeli hata initiative how to achieve...always tunaanza na human capital(fuatilia nchi zinazo boom economy za East Asia -Tigers)
Viwanda unazungumzia value chain ambayo ina integration ya foward and backward linkage ,huwezi kuzungumzia viwanda bila kutaja biashara ..(business environment - domestic &foreign,Tanzania ni ya 141) hapa utazungumzia issues za custom union,common market,free trade na regional cooperation&integration
Foreign relation yetu...si nzuri pamoja na global trade challenges

Yaani sometimes unaona kabisa hadi msomi wa kiwango cha PhD wanaingizwa chaka na akina January Makamba na Nape ambao walitunga boob party policies

After all kuna nchi ambayo haihitaji viwanda?why inakua ni sera ya chama?je kikija chama kingine kifute sera hii?je wapi viwanda vilijengwa na term za presidency?(Europe spend over 200 years to industrialize)

Technology tunapata wapi??capital tunapata wapi?(kumbuka sera ya ccm private sector ndio inatakiwa ijenge viwanda what about enabling environment ya hao private players??)

Maswali ni mengi kushinda majibu and that's why we can conclude ni sera ambayo ilitungwa kwenye vacuum Lumumba
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Kwa mwandiko huu...hii akaunti imedukuliwa
 
Kwanini kusiwe na agenda ya kitaifa ambaye kila atakayekuja apite humo humo na apimwe kwenye vipaumbele hivyo hivyo. Vinaeza vikawa vinafanyiwa review kutokana na muda na mahitaji
 
In some hapo na uangalie target ya bandiko, maana watu hamchelewi kusema ni kuusaka UDC!.
P
Wew msukuma achana na fasihi za pwani. Uko bias,self centred na very hocused
 
Mkuu Fenestra Rotunda, tukimpa JPM muda wa kutosha, the aftermath ni
  1. Tanzania ya viwanda
  2. Tanzania ya Uchumi wa Gesi
  3. Tanzania ya Uchumi wa Kati
  4. Tanzania Donor Country
  5. Tanzania Tajiri
  6. Tanzania isiyo na umasikini
  7. Tanzania isiyo na mariachi
  8. Tanzania iliyofuta ujinga
  9. Tanzania free of corruption
  10. Tanzania isiyo na ufisadi
  11. Tanzania ya neema
  12. Tanzania ya upended
  13. Tanzania ya matumaini
  14. Tanzania ya religion ya SGR
  15. Tanzania ya umeme wa Stiggler
  16. Tanzania ya ATC kama Ethiopian Air
  17. Tanzania ya Barbara za Juu kwa juu
  18. Tanzania ya kutovaa mitumba
  19. Tanzania ya uwajibikaji
  20. Tanzania ya transparency
  21. Tanzania ya demokrasia ya Kiafrika
  22. Tanzania ya haki
  23. Tanzania ya haki za binaadamu
  24. Tanzania ya haki za kisiasa
  25. Tanzania ya haki za kujieleza
  26. Tanzania ya freedom of the press
  27. Tanzania ya Tume guru ya uchaguzi
  28. Tanzania yenye neema ya lila kitty
  29. Tanzania ya chi ya ahadi
  30. Mabomba nchi nzima yatatoa maji, maziwa na asali.
He only needs ample time kuikamilisha hayo tote, kipindi cha miaka 10 ni kifupi, hakitoshi, hivyo muda ukifika huo muda, Watanzania wazalendo wa kweli, watafanya the right decision kwa malachi ya taifa.
P
Ongeza
Tanzania ya watawala wenye kujitambua
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Kiofisi chako vipi umekifungua nini? Na wale uliowapunguza umewarudisha kazini? Kifupi hiyo miradi hamalizi, angalia deni la taifa lilivyokuwa, atafikia hatua hatokopesheka mark my words.
 
Nimewahi kusikia maneno kutoka kinywani Kwa Mzee wangu (Mkemia mkuu mstaafu)
Anasema Nyerere alikuwa na Udhaifu mmoja Wa kupendelea majina yale yale Kwa Kila kazi
Unasikia Yuko wapi Jakaya, utasikia John (yaan Malecela sisemi Magufuli)
Utasikia Samweli , Mara utasikia Butiku, au Warioba, na kipenzi chake saana alikuwa SALIM AHMED SALIMU
ila pamoja na kwamba aliwapendelea hakusita kuwakemea wanapofanya upuuzi

Ukaja wakati Wa Mwinyi akawaweka wote chini akaanza na Wa kwake

Ni wakati wao walitesa sana,

Wakati Wa Mkapa kuna kina Masilingi, Kina Zimbihile kina Kinyondo, kina Zombe, Kina Yona na Balali,

Wakati Wa Kikwete Kina Makamba, Kina Sadik hata Lukuvi wametamba

Awamu ya 5 ndio maajaabu kabisa imezungukwa na washamba sana

Leo hii Kina Makonda wanadhani wako juu ya sheria au ndio wenye nchi mpaka wanasahau mipaka ya kazi zao, ngoja wale mambo ndio wakati wao

Wakae wanajua mwaka 2025 kutakuwa na mwingine ambaye atakuwa na utaratibu wake
Bashite atakuwa anatumia tinted na kutembea usiku tu namuonea huruma sana huyo kijana
 
In some hapo na uangalie target ya bandiko, maana watu hamchelewi kusema ni kuusaka UDC!.
P
Wakati kale kaofsi kako kanakulipa kuliko UDC.
 
Ni kalikuwa... by then not now!, matangazo ya Saba Saba tuu pekee, nilikuwa na roll over 10m per day, hivyo kwa siku 10, it was over and above TZS 100,000,000, hive I could afford TZS 4m. per month eneo la mjini kati, but now very unfortunately, Saba Saba nimezuliwa, ofisi nimehama, wafanyakazi nimepunguza.
P
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Marais waliopita kila mmoja angesema aongezewe muda amalizie miradi yake, leo Magufuri angekuwa rais?
 
P,shaur yako utaitwa mchochez mwenyew kashasema hatoongeza hata dk.1
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
 
Nimewahi kusikia maneno kutoka kinywani Kwa Mzee wangu (Mkemia mkuu mstaafu)
Anasema Nyerere alikuwa na Udhaifu mmoja Wa kupendelea majina yale yale Kwa Kila kazi
Unasikia Yuko wapi Jakaya, utasikia John (yaan Malecela sisemi Magufuli)
Utasikia Samweli , Mara utasikia Butiku, au Warioba, na kipenzi chake saana alikuwa SALIM AHMED SALIMU
ila pamoja na kwamba aliwapendelea hakusita kuwakemea wanapofanya upuuzi

Ukaja wakati Wa Mwinyi akawaweka wote chini akaanza na Wa kwake

Ni wakati wao walitesa sana,

Wakati Wa Mkapa kuna kina Masilingi, Kina Zimbihile kina Kinyondo, kina Zombe, Kina Yona na Balali,

Wakati Wa Kikwete Kina Makamba, Kina Sadik hata Lukuvi wametamba

Awamu ya 5 ndio maajaabu kabisa imezungukwa na washamba sana

Leo hii Kina Makonda wanadhani wako juu ya sheria au ndio wenye nchi mpaka wanasahau mipaka ya kazi zao, ngoja wale mambo ndio wakati wao

Wakae wanajua mwaka 2025 kutakuwa na mwingine ambaye atakuwa na utaratibu wake
2025 tena wee vp wakati mama samia kabla mwaka huu kuisha anakuwa rais
 
Pole sana.mkuu yatakwisha.haya
Ni kalikuwa... by then not now!, matangazo ya Saba Saba tuu pekee, nilikuwa na roll over 10m per day, hivyo kwa siku 10, it was over and above TZS 100,000,000, hive I could afford TZS 4m. per month eneo la mjini kati, but now very unfortunately, Saba Saba nimezuliwa, ofisi nimehama, wafanyakazi nimepunguza.
P
 
Ni kalikuwa... by then not now!, matangazo ya Saba Saba tuu pekee, nilikuwa na roll over 10m per day, hivyo kwa siku 10, it was over and above TZS 100,000,000, hive I could afford TZS 4m. per month eneo la mjini kati, but now very unfortunately, Saba Saba nimezuliwa, ofisi nimehama, wafanyakazi nimepunguza.
P
Imekuwaje mkuu
 
Back
Top Bottom