Ni wakati wenu huu tambeni

Ni wakati wenu huu tambeni

Nadhani wengi mnaoumia na comment ya mayala pengine hamjamwelewa kiundani.The guy is being sarcastic na ana wa tip kuwa there is possibility the guy is here to stay longer than your constitution allow.
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Hivi kwako wewe binafsi katiba mpya ishawahi kuwa kipaumbele chako??unapowaza kumwongezea huyo miaka umeshawahi fikiria ajae baada yake atakavyocheza na katiba kwa matunda haya haya mnayopanda sasa hivi??tatizo unafikiri urefu wa kivuli chakona hujawahi shughulisha akili yako kuhusu aftermath ya uongozi wa jiwe.
 
Kukataa kufanya jambo/agenda za kitaifa kwa sababu ya "siyo agenda yangu" na jamii ikaridhia ni udhaifu wa hali ya juu wa jamii husika kwa ujumla wake.
 
Hivi kwako wewe hujawahi shughulisha akili yako kuhusu aftermath ya uongozi wa jiwe.
Mkuu Fenestra Rotunda, tukimpa JPM muda wa kutosha, the aftermath ni
  1. Tanzania ya viwanda
  2. Tanzania ya Uchumi wa Gesi
  3. Tanzania ya Uchumi wa Kati
  4. Tanzania Donor Country
  5. Tanzania Tajiri
  6. Tanzania isiyo na umasikini
  7. Tanzania isiyo na maradhi
  8. Tanzania iliyofuta ujinga
  9. Tanzania free of corruption
  10. Tanzania isiyo na ufisadi
  11. Tanzania ya neema
  12. Tanzania ya upendo
  13. Tanzania ya matumaini
  14. Tanzania ya reli ya SGR
  15. Tanzania ya umeme wa Stiggler
  16. Tanzania ya ATC kama Ethiopian Air
  17. Tanzania ya Barbara za Juu kwa juu
  18. Tanzania ya kutovaa mitumba
  19. Tanzania ya uwajibikaji
  20. Tanzania ya transparency
  21. Tanzania ya demokrasia ya Kiafrika
  22. Tanzania ya haki
  23. Tanzania ya haki za binaadamu
  24. Tanzania ya haki za kisiasa
  25. Tanzania ya haki za kujieleza
  26. Tanzania ya freedom of the press
  27. Tanzania ya Tume huru ya uchaguzi
  28. Tanzania yenye neema ya kila kitu
  29. Tanzania ya nchi ya ahadi
  30. Mabomba nchi nzima yatatoa maji, maziwa na asali.
He only needs ample time kuikamilisha hayo yote, kipindi cha miaka 10 ni kifupi mno, hakitoshi, hivyo muda ukifika huo muda, Watanzania wazalendo wa kweli, watafanya the right decision kwa maslahi ya taifa.
P
 
Paskal mayala inajulikans siku zote anawainda vyeo vitatu huko CCM, ukuu wa wilaya katibu Tawala na ukurugenzi lakini inaonekana magufuli kaamua kuziba masikio na macho kama hamuoni vile.
Wewe kweli MINYOO Pascal alishasema Hana shida na uongozi, wewe Ni nani wa kumlazimisha?
 
Ana
Hivi kwako wewe binafsi katiba mpya ishawahi kuwa kipaumbele chako??unapowaza kumwongezea huyo miaka umeshawahi fikiria ajae baada yake atakavyocheza na katiba kwa matunda haya haya mnayopanda sasa hivi??tatizo unafikiri urefu wa kivuli chakona hujawahi shughulisha akili yako kuhusu aftermath ya uongozi wa jiwe.
Ana angalia nyuma haangali anapo kwenda.
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Haha Mkuu Pasco, Lumumba hapa hawatakuelewa na wanaweza kukushangilia kweli hasa yule mwanaharakati huru 😂

Na Zanzibar nao wataandamana? 😂 , au baada ya 2025 Atakua Rais wa Tanganyika? Halafu tuchague wa Muungano😂
 
Awamu ya 5 ndio maajaabu kabisa imezungukwa na washamba sana

Leo hii Kina Makonda wanadhani wako juu ya sheria au ndio wenye nchi mpaka wanasahau mipaka ya kazi zao, ngoja wale mambo ndio wakati wao

Wakae wanajua mwaka 2025 kutakuwa na mwingine ambaye atakuwa na utaratibu wake
Niliposoma msg yako nilidhani kuna analysis unayoifanya juu ya tawala hizi, kumbe una hasira zako tu na utawala. Kwa nini umetumia neno washamba? Washamba ni watu wa aina gani kwa tasfsiri yako? Ni suala la elimu au ni tabia gani inahalalisha ushamba? Au wacheza disko ikulu ndo kinyume cha ushamba? something is wrong with you!

Nakuuliza kwa sababu kuna watu ambao ktk nchi hii walikuwa na uelewa wa chini sana lakini wakafanikiwa kifedha kwa kujidai ni watu wa 'mjini' ambao kwa maoni yangu ni wapuuzi wa aina fulani ambao ujuaji wao ulikuwa kwenye mambo ya hovyo tu; Ukuwadi, wizi, ulevi, kucheza disko, nk. Ndo hao ambao walifikia hatua ya kutuchagulia nani awe rais. It's over!

Acha kuandika hisia zako. Andika mambo ya manufaa, yanayoweza kumuelimisha mwingine, akaongeza ufahamu.
 
Nimewahi kusikia maneno kutoka kinywani Kwa Mzee wangu (Mkemia mkuu mstaafu)
Anasema Nyerere alikuwa na Udhaifu mmoja Wa kupendelea majina yale yale Kwa Kila kazi
Unasikia Yuko wapi Jakaya, utasikia John (yaan Malecela sisemi Magufuli)
Utasikia Samweli , Mara utasikia Butiku, au Warioba, na kipenzi chake saana alikuwa SALIM AHMED SALIMU
ila pamoja na kwamba aliwapendelea hakusita kuwakemea wanapofanya upuuzi

Ukaja wakati Wa Mwinyi akawaweka wote chini akaanza na Wa kwake

Ni wakati wao walitesa sana,

Wakati Wa Mkapa kuna kina Masilingi, Kina Zimbihile kina Kinyondo, kina Zombe, Kina Yona na Balali,

Wakati Wa Kikwete Kina Makamba, Kina Sadik hata Lukuvi wametamba

Awamu ya 5 ndio maajaabu kabisa imezungukwa na washamba sana

Leo hii Kina Makonda wanadhani wako juu ya sheria au ndio wenye nchi mpaka wanasahau mipaka ya kazi zao, ngoja wale mambo ndio wakati wao

Wakae wanajua mwaka 2025 kutakuwa na mwingine ambaye atakuwa na utaratibu wake
Acha wivu utakuua, wewe si mwanaccm au kwakuwa hujapata uteuzi roho inakuuma.

wanaccm pendeni chama hata bila uteuzi
 
Kwa kweli bashite kwa sasa ndiye pekee anayeweza kusema na kufanya lolote na asikemewe na yeyote hata rais nwenyewe
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Sukuma empire
 
Naunga mkono hoja Pamoja na mapungufu madogo madogo ila Anko Magu awe Rais wa Maisha na Chama kiwe Kimoja tu CCM Peke yke...
 
In some hapo na uangalie target ya bandiko, maana watu hamchelewi kusema ni kuusaka UDC!.
P
Pole sana!
 
Mkuu Fenestra Rotunda, tukimpa JPM muda wa kutosha, the aftermath ni
  1. Tanzania ya viwanda
  2. Tanzania ya Uchumi wa Gesi
  3. Tanzania ya Uchumi wa Kati
  4. Tanzania Donor Country
  5. Tanzania Tajiri
  6. Tanzania isiyo na umasikini
  7. Tanzania isiyo na mariachi
  8. Tanzania iliyofuta ujinga
  9. Tanzania free of corruption
  10. Tanzania isiyo na ufisadi
  11. Tanzania ya neema
  12. Tanzania ya upended
  13. Tanzania ya matumaini
  14. Tanzania ya religion ya SGR
  15. Tanzania ya umeme wa Stiggler
  16. Tanzania ya ATC kama Ethiopian Air
  17. Tanzania ya Barbara za Juu kwa juu
  18. Tanzania ya kutovaa mitumba
  19. Tanzania ya uwajibikaji
  20. Tanzania ya transparency
  21. Tanzania ya demokrasia ya Kiafrika
  22. Tanzania ya haki
  23. Tanzania ya haki za binaadamu
  24. Tanzania ya haki za kisiasa
  25. Tanzania ya haki za kujieleza
  26. Tanzania ya freedom of the press
  27. Tanzania ya Tume guru ya uchaguzi
  28. Tanzania yenye neema ya lila kitty
  29. Tanzania ya chi ya ahadi
  30. Mabomba nchi nzima yatatoa maji, maziwa na asali.
He only needs ample time kuikamilisha hayo tote, kipindi cha miaka 10 ni kifupi, hakitoshi, hivyo muda ukifika huo muda, Watanzania wazalendo wa kweli, watafanya the right decision kwa malachi ya taifa.
P
Hii namba 42 imeharibu hivyo vingine vyote bora usingeiweka
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
[/QUOTE
Sawa mwanasheria ....
 
Back
Top Bottom