Ni wakati wenu huu tambeni

Ni wakati wenu huu tambeni

Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Paskali tunahitaji uchumi wa kati au zaidi kwanza.Tumechoka na kiinimacho cha maendeleo.
Lakini ili kufika hapo tunahitaji aina ya Sultan wa Dubai,au Raisi wa sasa wa China na asiwe na kikomo ndio mifano hai.
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.

Halafu anaeongea hoja ya kufuta vikomo vya urais ni wewe kabisa??

Yaani tufute vikomo vya uongozi kabisa?

Ni vitu unthinkable ila watu kama nyie ndio mnatushangaza!

Tukiangalia miaka 200 ijayo akitokea Hitler akatawala milele unadhani hii nchi itakua shithole kiasi gani?

Mlivyo myopic mnamuangalia Jiwe now,tunaangalia miaka 200 ijayo hatutapata marais wema tu kuna probability ya kupata kadhaa wa hatari kabisa,what will you do?

Kama tunaotegemea mna akili mtusaidie ndio mna suggest umama wa namna hii??
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Paskali weweeeeee...
Wasiokuelewa wacha waendelee kuzozana nawe!
 
Hao wengine awamu nyingine umewaraja mbwembwe tu lengo lako hasa liko kwa JPM
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Ataondoka tu hata 2020 kwa ndumba za Ruangwa kama maombi yatashindwa
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Mkuu muda mwingine uwe unaona hata aibu kidogo basi
 
Mkuu Kichomiz, asante kwa ushauri huo, bahati mbaya sana, sisi wengine, wakati Mungu alipokuwa akituumba, mgao wa aibu ulikuwa umeisha, hivyo tukaumbwa bila ya mshipa wa aibu.
P
 
Sawa mkuu lakini hebu jaribu kubalance mambo kidogo,usiegemee sana nyumbani basi
 
Bashite na yeye anachunwa pesa nyingi kijanja na wapambe wake kila Ndege mjanja hunasa kwenye Tundu Bovu, Akina Cyprian Musiba na Le mutuz na sasa kaja mshamba mwingine anaitwa Joseph Yona wanakula pesa zake kama hawana Akili nzuri, hujidai mjanja lakini hao watu wanaitafuna pesa yake kiulaini tu.
Genge la mapambio na kusifu kulikopitiliza hadi wanachefua, kwenye kundi usimsahau Habibu Mchange. Lakini Musiba na Mchange hawaivi chungu kimoja, wanapigania ubosi wa kusifia!
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Katie
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Katie ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kelli wa nchi hi, tutaandamana mabarabari kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

You mtindo wa taifa UK spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, keisha hugo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. Huyu tusimwache Hadi akamilishe.

P.
Unapima imani za watu sio bure
 
Kwahiyo hatoki?
 
Yes only if aliyepo atakuwa amekamilisha
  1. SGR nchi nzima
  2. Umeme wa Stiggler
  3. Tanzania ya viwanda
  4. Nchi ya uchumi wa gesi
  5. Nchi ya uchumi wa Kati
  6. Tanzania Kuwa a donor country
Kama kuna lolote Kati ya hayo halijakamilika, wananchi wazalendo wa Kweli wa nchi hi, tutaandamana mabarabarani kushinikiza katiba ibadilishwe, kile kipengele cha ukomo kiondolewe, huyu bwana aongezwe as much time as it takes kuikamilisha.

Huu mtindo wa taifa to spend millions mfano kwenye katiba, na kuachia katikati kwa matumaini anayefuatia atamalizia, kisha huyo anayefuata anasema sio agenda yake, it's not good at all. This time huyu tusimwache hadi akamilishe miradi mikubwa yake yote!.

https://www.jamiiforums.com/threads...-haja-kufanya-uchaguzi-wa-rais-2020.980346/[/
P.
R.I.p
 
Back
Top Bottom