Ni wakati wa Mabeyo (aliyekuwa Mkuu wa Majeshi) kutuomba radhi

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,820
12,271
Je Mabeho. Ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi hadhani huu ni wakati wake wa kutuomba msamaha?

Je bado anaamini yupo sahihi? Ni kwa nini sisi Tanzania ni Nadra sana kupata wakuu wa Jeshi Wazalendo? Je haoni huu ni wakati wake wa kutubu na kutuomba msamaha?
 
Kama huwezi kufikiria jambo la maana unadhanai unaweza kujiandikia lolote basi ficha ujinga wako usije ukadharauliwa na jamii.
 
Nimemsikia anasema wamasai waondoke ngorongoro,

Hawa wakuu wa majeshi wastasfu wanateuliwa
kwenye board za mbuga za wanyama
Ili nao wale matunda ya mwarabu

Hi nchi hovyo sana, eti mkuu wa majeshi mstaafu anateuliwa mwenyekiti wa board ya mbuga, hii si ni rushwa??

Bila katiba kuondoa huu upuuzi tumekwisha
 
Safari Moja huanzisha nyingine. Kosa Moja huzaa mengine mengi. Ukiwa potential kwa umma na ukashindwa kuwa mwerevu, wapumbavu watakutumia mara kwa mara kuhalalisha Upumbavu wao kwa jina lako.
 
Back
Top Bottom