chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 20,725
- 31,307
Ushapata Dildo? Hizo ndio zinawapa kiburiKama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole.
Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni.
Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue siku yako ya hedhi lakini kuna baadhi yetu mnawaambia et kisa mpenzi nitamwambie alie nioa tu lakini sio hawa wa muda mfupi.
Ni hilo tu.

